Salim Kikeke Mungu akulinde, umeionyesha dunia udhaifu mkubwa wa serikali ya Rais John Pombe Magufuli

G Sam

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
11,555
35,880
Namshukuru Mungu wangu muumba wa mbingu na nchi kwakuwa bado wapo wenye kuumia na jinsi hali inavyoenda. Wanaonyesha masikitiko yao makuu mbele ya runinga duniani.

Ndugu Salim Kikeke kwa makala uliyoiweka wazi leo na ushahidi ulioonyesha, nakushukuru sana.

Serikali ya Rais John Magufuli imekuwa dhaifu sana, siyo ya kutegemea na haijali utu wa watu wake. Umelithibitisha hili na asante sana.

Tuendelee kuchukua tahadhari na kumuomba Mungu hali siyo nzuri. Wapambanaji wamenyamazishwa, wananchi hawaelewi kilichopo.

Hongera Zanzibar kwa kuachana na upuuzi huu wa kuijidanganya.
 
Hakuna mahali Salimu Kikeke kamtaja Rais Magufuli usimchonganishe tafadhali.

Tatizo aliloliibua Kikeke ni udhaifu wa wizara ya afya katika kuzika waathirika na kujisahau kwa mawaziri wa afya wa Tanganyika tofauti na umakini wa waziri wa afya wa Zanzibar mh Hamad Rashidi!
 
Unadhani tatizo lipo kwa nani? Ni kwanini ujinga huu ujitokeze baada ya hotuba ya Rais Magufuli?
 
Back
Top Bottom