Watoto wazuri ni maua ya dunia

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
29,421
40,409
Nilipata safari ya dharura kutokana na shughuli zangu katika mkoa wa kilimanjaro, Arusha na Manyara, dah kweli dunia hii kuna watoto waliobarikiwa.

Nilipokuwa napita pita njiani...nakutana na warembo matata wenye shepu zao, sura za kuvutia, tabasamu lisilohisha, na miili ya ushawishi n.k ukimuona huyu ni mzuri ukifika mbele yake kidogo unakutana na mzuri zaidi yake. Ningeulizwa nimuoe yupi, nisingekuwa na jibu la uhakika kwa sababu ukiwa na huyu ukitembea kidogo unakutana na mwingine mkali zaidi.

Kwa ujumla nilifurahia matembezi yangu kwa kuangalia maua ya dunia yanavyopendeza....nikasema moyoni, wanaume tutafute pesa na kulinda afya zetu, katika hii dunia kuna vitu vitamu sana bado havijalika.

Kweli hawa ni maua ya dunia,bila wao wanaume tusingepata faraja.
 
Kama huyu?
IMG_20200324_120045.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom