China watataka dunia nzima wawe wao tu - Marehemu Askofu Kulola

superkabisa

Member
Oct 13, 2019
67
49
Nimemkumbuka Askofu Kulola Leo sikuwahi kusali wala kuhudhuria moja kwa moja katika kanisa lake lakini naheshimu huduma yake sana alipita vijiji vingi karibu 8000 kipindi hicho ndio muhubiri aliyetembea sana kwa miguu na kufika vijiji Vingi kuhubiri kabla ya kuhubiri mijini.Na alihubiri neno na kujiandaa kuliko.mahubiri ya pesa tu.Alikuwa n mwalimu na sauti yake nzito akiongea taratibu sana na alieleweka vyema.

Nimekuwa mdau mkubwa wa kusikiliza mikanda yake akiwa katika mikutano yake mikubwa

Sikumbuki mwaka lakini nakumbuka ni awamu ya Rais Benjamini mkapa Dodoma miaka ya elfu 2 hivi alihubiri kuhusu nyakat za mwisho .Si kwa mawazo yake Bali kwa nukuu na ayosomayo katika Biblia alitukumbusha juu ya vita kuu ya dunia ambayo China atashinda na kuingia tamaa ya kutaka dunia nzima iwe na sura zao tu.

Ninaandika kile alichokiongea Askofu Kulola andiko hadi andiko.Kutokana na Changamoto ya kuiweka audio yake hapa.

"Jeshi la Kaskazin litaiharibu kushi.Alafu Jeshi la magharbi litakaloongozwa na mnyama na Yule mtunishi wake nabii walionesha maajabu dunian kwa miaka mitatu na nusu ya mwisho."

Kisha Kulola anaendelea "Watu watashangaa maajabu atendayo Mnyama ataamuru dunia ikatike.Atashusha moto kutoka juu,Atasema kwa sauti akitokea Jerusalem na sauti yake itaendea dunia nzima.
Atashashirkiana na jeshi la magharibi lenye silaha zinazokwenda pekee na askari watakuwa wachache na silaha moja ikianguka n kumaliza mji mzima."

Kwa sauti ya upole Kulola anaendelea "Makombora yatakuwa mengi nyukilia yenye nguvu kuliko bomu la atomic .
Sasa yatapita angani kama mvua yakienda bara hadi bara yanatoka kaskazin(Urusi) yanakwenda magharibi(ulaya) na yatatoka magharibi yatakwenda kaskazin.

Na neno linasema kaskazin itamalizwa yaan urusi ulaya itaungana na marekani watajitayarisha waiteke dunia nusu yake."

Kulola anagusa kuhusu Taifa lenye nguvu "Kabla ya kaanza kuiteka dunia jeshi kubwa duniani kuliko majeshi yote jeshi la Mashariki(China).China ni taifa kuu dunia kibiblia .China haina silaha za kuruka juu lakini watarusha silaha zitapita juu.Na za miguu na jeshi lenye askari m 200 kutoka mashariki litatembea na silaha zake"

Askofu Kulola anaeleza uhalisia wa Jeshi la China "Halitapita kwenye madaraja ya mito maana kuna silaha nzito daraja lolote haliwezi kuvumilia.Nao watatumia silaha za masafa marefu kuteketeza dunia.Ulimwengu mzima utakuwa na harufu za mizoga ya watu,maiti siku zile hakuna kuzika mtu hakuna miji tena maana ilikiwsha teketea.Bwana anayatazama haya apate kutimiza hasira yake juu ya dunia.

Na Hapohapo mediterania itaharibiwa itakuwa maji mekundu samaki watakufa wote yaan wanadamu na merikebu yaan manowari zitabamizwa na jeshi la mashariki yaan China.Wingu lile zito kama unavyosma katika ufunuo litafunika sehemu ya kati ya dunia jua lisionekane na ndege zote zitarudi chini na kwa kuangamizwa."

Mwisho wa ufalme wa Magharibi Kulola anagusia "Jeshi la Magharibi litaangamizwa lote na jeshi la Mashariki litaangamiza dunia nzima.
Nao wataamuru watasema sasa tuishambulie dunia nzima tutawale na tuwe na sura moja tu duniani.
Ndio maana wako wengi dunia ,Tuwe taifa moja tu dunian,tuipige dunia yote mawazo hayo yataanza na watarudia jeshi lingine la kuongeza nguvu.

Hapo Mahubiri yanaisha kuhusu China ilivyotaka kuimaliza dunia wabaki wao tu.

Je tumeanza kuihisi mipango ya Uchina kuifahamu dunia nzima vyema.Haswa shambani (kwenye mali Afrika) .Au mpaka Marekani na Ulaya watapopatwa na tamaa ndipo ataibuka Ila kwa sasa hana hii mipango
moses+kulola.jpg
takwimu zinasema mwaka 2029 wachina watakuwa bilion 1 .44

takwimu zinasema kufikia mwaka 2029 wachina watakuwa bilion 1.44

#update nimeambatanisha audio fupi ya mahubiri yake kuhusu maelezo yangu japo ni ndegfu nimekata hapo
 
Attachments

  • kulola 1.mp3
    7.4 MB · Views: 11
Katika Wahubiri niliowahi kuwaelewa ni huyu Mzee, japo nilikuwa ni mdogo kiumri miaka ya 90 katikati, ila nilimuelewa sana
Alikuwa anafundisha kwa hekima kubwa sana,Kizaz chake mahubiri ya kuaandaa watu kiimani yalikuwa mazito kuliko mahubiri ya sasa japo si kwa wote nawaona wengi hawawajengi waumin wao hata Yesu aliwajenga ndio akafanya miujiza ilipohitajika
 
Nimemkumbuka Askofu Kulola Leo sikuwahi kusali wala kuhudhuria moja kwa moja katika kanisa lake lakini naheshimu huduma yake sana alipita vijiji vingi karibu 8000 kipindi hicho ndio muhubiri aliyetembea sana kwa miguu na kufika vijiji Vingi kuhubiri kabla ya kuhubiri mijini.Na alihubiri neno na kujiandaa kuliko.mahubiri ya pesa tu.Alikuwa n mwalimu na sauti yake nzito akiongea taratibu sana na alieleweka vyema.

Nimekuwa mdau mkubwa wa kusikiliza mikanda yake akiwa katika mikutano yake mikubwa

Sikumbuki mwaka lakini nakumbuka ni awamu ya Rais Benjamini mkapa Dodoma miaka ya elfu 2 hivi alihubiri kuhusu nyakat za mwisho .Si kwa mawazo yake Bali kwa nukuu na ayosomayo katika Biblia alitukumbusha juu ya vita kuu ya dunia ambayo China atashinda na kuingia tamaa ya kutaka dunia nzima iwe na sura zao tu.

Ninaandika kile alichokiongea Askofu Kulola andiko hadi andiko.Kutokana na Changamoto ya kuiweka audio yake hapa.

"Jeshi la Kaskazin litaiharibu kushi.Alafu Jeshi la magharbi litakaloongozwa na mnyama na Yule mtunishi wake nabii walionesha maajabu dunian kwa miaka mitatu na nusu ya mwisho."

Kisha Kulola anaendelea "Watu watashangaa maajabu atendayo Mnyama ataamuru dunia ikatike.Atashusha moto kutoka juu,Atasema kwa sauti akitokea Jerusalem na sauti yake itaendea dunia nzima.
Atashashirkiana na jeshi la magharibi lenye silaha zinazokwenda pekee na askari watakuwa wachache na silaha moja ikianguka n kumaliza mji mzima."

Kwa sauti ya upole Kulola anaendelea "Makombora yatakuwa mengi nyukilia yenye nguvu kuliko bomu la atomic .
Sasa yatapita angani kama mvua yakienda bara hadi bara yanatoka kaskazin(Urusi) yanakwenda magharibi(ulaya) na yatatoka magharibi yatakwenda kaskazin.

Na neno linasema kaskazin itamalizwa yaan urusi ulaya itaungana na marekani watajitayarisha waiteke dunia nusu yake."

Kulola anagusa kuhusu Taifa lenye nguvu "Kabla ya kaanza kuiteka dunia jeshi kubwa duniani kuliko majeshi yote jeshi la Mashariki(China).China ni taifa kuu dunia kibiblia .China haina silaha za kuruka juu lakini watarusha silaha zitapita juu.Na za miguu na jeshi lenye askari m 200 kutoka mashariki litatembea na silaha zake"

Askofu Kulola anaeleza uhalisia wa Jeshi la China "Halitapita kwenye madaraja ya mito maana kuna silaha nzito daraja lolote haliwezi kuvumilia.Nao watatumia silaha za masafa marefu kuteketeza dunia.Ulimwengu mzima utakuwa na harufu za mizoga ya watu,maiti siku zile hakuna kuzika mtu hakuna miji tena maana ilikiwsha teketea.Bwana anayatazama haya apate kutimiza hasira yake juu ya dunia.

Na Hapohapo mediterania itaharibiwa itakuwa maji mekundu samaki watakufa wote yaan wanadamu na merikebu yaan manowari zitabamizwa na jeshi la mashariki yaan China.Wingu lile zito kama unavyosma katika ufunuo litafunika sehemu ya kati ya dunia jua lisionekane na ndege zote zitarudi chini na kwa kuangamizwa."

Mwisho wa ufalme wa Magharibi Kulola anagusia "Jeshi la Magharibi litaangamizwa lote na jeshi la Mashariki litaangamiza dunia nzima.
Nao wataamuru watasema sasa tuishambulie dunia nzima tutawale na tuwe na sura moja tu duniani.
Ndio maana wako wengi dunia ,Tuwe taifa moja tu dunian,tuipige dunia yote mawazo hayo yataanza na watarudia jeshi lingine la kuongeza nguvu.

Hapo Mahubiri yanaisha kuhusu China ilivyotaka kuimaliza dunia wabaki wao tu.

Je tumeanza kuihisi mipango ya Uchina kuifahamu dunia nzima vyema.Haswa shambani (kwenye mali Afrika) .Au mpaka Marekani na Ulaya watapopatwa na tamaa ndipo ataibuka Ila kwa sasa hana hii mipango
Yoooooooo
 
Katika Wahubiri niliowahi kuwaelewa ni huyu Mzee, japo nilikuwa ni mdogo kiumri miaka ya 90 katikati, ila nilimuelewa sana
Ajabu wakati wa mahubiri haya hata drone hazikuwa zikifikiriwa nilikuwapo kwenye moja ya mahubiri yake uwanja wa nyakabungo na bustani za gandh hall enzi hizo mahubiri yalikuwa kuhusu kwenda mbiguni sasa mahubiri ni namna ya kuishi kwa ufahari duniani na kutoa sadaka kubwa na zawadi kwa mwenye kanisa ama kununua bidhaa zake
 
Sasa hivi wanaambia ponds raha dunia na mbinguni pia
 
Unataaaka niseme...!

Moses Kulola - EAGT

Mch. Lazaro - TAG

Kakobe - FGBF

Hao ndio waanzilishi wa makanisa ya Pentekoste yafahamikao kama ya kiroho kutoka Marekani (Assemblies of God) na walipokea vyombo pamoja mkoani Mbeya. Walifanya injili kwa tabu na mazingira magumu sana hasa Kulola kwa kujaribu kupinga Doctrine na Liturgia za Roman, Lutheran, Anglican n.k

Hiyo ni kabla ya hizi Ministries na Makanisa ya watu wa kupiga pesa...!

Pamoja na kudhoofika bado Mosses Kulola na Uzee wake alikuwa anafunga kula ilifikia mahala utumbo ukajikunja na akakatazwa na Daktari kufunga.

Amemwacha Mzee Mwizarubi (EAGT) kama katibu na miongoni mwa wazee wa huduma hiyo waliobaki.

Well, nimewaelezea tu ninavyomfahamu ila am not belong to EAGT neither TAG

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom