diamond

  1. my name is my name

    JamiiForums Tanzania Burna Boy awasili Marekani na kupokelewa na P. Diddy

    Leo msanii kutoka Nigeria ambae anatamba duniani kwa sasa Burna Boy amewasili nchini Marekani na kupokelewa na mkongwe wa muziki nchini humo P. Diddy. Hii inaonesha wazi mshindi wa tuzo za BET katika kipengele cha Best International Act ni Burna Boy. Na kwa sasa yupo nchini Marekani akisubiri...
  2. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz mziki sasa inatosha, kastaafu kwa heshima ukimbilie kwenye siasa

    Habari wanabodi, Ushauri kwa ndugu yetu Diamond Platinum naona sasa taa nyekundu kwake imeanza kuwaka ni kiashiria kwamba mwisho wa muziki wake umekaribia au kama sivyo basi anatakiwe akaboost kidogo mambo kwa babu, itakuwa alijisahau huwa watu wana renew kwa babu kila mwaka. Kwa sasa naona...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Wadau wa Muziki Nigeria wamponda Diamond Platnumz kwa kuiba nyimbo zao

    Kwa wale mliiona ile post ya Diamond kipande cha wimbo wake mpya na Wizkid akapost emoji ya kucheka mkae mkijua tu huko Nigeria jamaa washamchukulia ni kilaza anayegeza hits za huko na ku twist kidogo kisha kuwaletea Watanzania
  4. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Mnaoshindana na Diamond na ninyi basi anzeni kukata viuno ili mshindane vizuri

    Nimekua nikishangaa sana baadhi ya wanasiasa badala ya kufanya kazi ambayo Watanzania wamewatuma kufanya sasa wamegeuka kushindana na Diamond. Kijana wa watu anajituma kwa akili na uwezo wake sasa kuna wanasiasa wameibuka mitandaoni na kuanza kumsemasema kijana wa watu. Sasa mimi naona ili...
  5. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Baada ya ukimya, P-Funk afuta post aliyomuomba Diamond kumsaporti Rapcha

    Baada ya kuona kimya, imemlazimu P-Funk aifute tu, huenda ni kuhisi kadharaulika ila pia huenda WCB hawajafurahishwa na dogo Rapcha kuwashisha mara 2. Majuzi kazi ya Rapcha Lisa iliachiwa, ikawa trending namba 1 huku ikiipindua video ya Mboso na Baba levo Hayakupita masaa mengi WCB wakaachia...
  6. Lyetu

    JamiiForums Tanzania Kampeni dhidi ya Diamond Platnumz: Wanaharakati kuweni serious kidogo

    Habari za wakati huu wakuu. Naomba kuzungumza nanyi mnaojiita wanaharakati pamoja na wafuasi wenu. Hiki kinachoondelea huko mitandaoni sio tamko rasmi la Chama kuwa sasa wameamua kufanya vile, ila ukimya wa viongozi juu ya hili jambo unanambia kuwa chama kimebariki. Mi naomba mnifafanulie...
  7. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Petisheni dhidi ya Diamond Platnamz ili kumzuia kushiriki BET Awards haina mashiko

    Diamond Platnums Mtandaoni kuna petisheni inayoratibiwa na mwanaharakati anayejitambulisha kwa jina la Liberatus Mwang'ombe, na kunadiwa kupitia akaunti za twita za Maria Sarungi, Hilda Newton, kigogo2014, Tundu Lissu, pamoja na gazeti la mtandaoni la Ansbert Ngurumo liitwalo Sauti Kubwa...
  8. sky soldier

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya wanampambania Diamond mno kumsafisha bet

    Nimekutana na hii petition mpya ambayo inataka ku reverse ile petition inayotaka Diamond kutolewa kwenye tuzo. Kwenye petition hii nmeona pia wakenya wamo, hii picha hapa kuna mkenya utaona kasaini. Wa tz tupi bize kushushana tu bila kuangalua uhalisia, Hivi kweli mlitaka Diamond akatae...
  9. Akidi

    JamiiForums Tanzania BET wamposti Diamond Platnumz Instagram

    Wakati viumbe wa Twitter wakianzisha kampeni ya kutaka BET wamuengue Diamond kwenye tuzo za mwaka huu kwasababu za kisiasa na wivu binafsi. BET wenyewe hawana hata muda huo
  10. Keyboard_Warrior

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema aazimia kuondoa kazi za Diamond YouTube/Facebook

    Aliyekuwa mbunge wa CHADEMA, Mh Godbless Lema ameandika katika mtandao wa Twitter kuwa wapo katika mchakato wa kuondoa kazi/videos za Diamond Platnumz katika mitandao ya YouTube na Facebook. Godbless Lema anadai Diamond amekuwa akijali "njaa" kuliko haki, hivyo kijana Huyo kutoka Tandale ni...
  11. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Diamond usiwapuuze wanaokuandama sasa, hao sio shilawadu au Konde Gang. Chukua hoja zao

    DIAMOND USIWAPUUZE KINA KIGOGO NA WANAMTANDAO, HAO SIO KINA KONDE NA SHILAWADU Na, Robert Heriel Diamond hapaswi kupuuza hii movement ya Wanaharakati wa kimtandao na wanasiasa, asije akafikiri kundi hili nila Wale Wasanii wenzake ambao hata shule hawajaenda. Diamond anapaswa Ajue kuwa...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Je, Mapambano ya Wanaharakati na Diamond yana faida kwa nchi?

    Huu ni wito kwa Tuzo za BET zinazoendeshwa na kutayarishwa na Black Entertainment Television (BET) kumzuia Diamond Platnumz kushiriki tuzo. Movement #ChangeTanzania started this petition to bet awards and 3 others Hadi 8/6/2021 saa 02;00 Asubuhi, 19,566 have signed. Let’s get to 25,000...
  13. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania CHADEMA na Wanaharakati kuonesha chuki dhidi ya Diamond ni ukosefu wa ajenda

    CHADEMA NA WANAHARAKATI KUONYESHA CHUKI DHIDI YA DIAMOND NI UKOSEFU WA AGENDA Natumaini mko wazima. Kwa wiki hii mitandaoni kumetokea vituko vya wanaharakati pamoja na baadhi ya viongozi wa CHADEMA kuongoza kampeni ya kuhakikisha mwanamuziki komredi Diamond Platnumz hashindi kwenye tuzo za BET...
  14. Unique Flower

    JamiiForums Tanzania Ray C asema uzalendo uanzie kwa Diamond aache 'kuwachamba' wasanii wenziye

    Ray C amenikera kisa hivi anasema Diamond ana roho mbaya. Seriously? Kumbukeni Harmonize kabla hakuwa mwanamuziki wakina Rita walimkataa umeona eh? Ni Daimond ndio alimleta kwenye muziki akafika hapo alipo sio siri ni ukweli unaonekana. Sio kila kitu uwape watu. Kwa hiyo wanaomsema Daimond sio...
  15. Slowly

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz azidi kumpelekea Moto Burnaboy tuzo za BET

    Jua linazidi kuchomoza Kwa mtanzania Diamond Platnumz kwenye tuzo za BET dhidi ya nguli wa Mziki Burna Boy ... Akiwa under high criticism kuhusu support kwenye nchi yake mwenyewe nguli huyu wa Bongo fleva asiyejua kukata tamaa wala kupumzika ameendelea kupambana to the bitter end... Na sasa...
  16. W

    JamiiForums Tanzania Bananga kumpigia kura Diamond

    Wakuu, Duniani kuna watu na viatu, Bananga aamua kuwa mtu. ===== Nadeclare interest Mimi ni mshabiki wa diamondplatnumz Nitapiga kura Nitaomba kura kwa ajili yake Kwangu mm michezo, muziki na starehe hazina itikadi. Huwa nachagua vita vya kupigana Vita ndogo ina gharama kubwa kama hupigani...
  17. S

    JamiiForums Tanzania BASATA wamempongeza Diamond kuteuliwa kushiriki tuzo za BET

    Naona Baraza la Sanaa la Tanzania (BASATA), wametoa tamko la kumpongeza msanii Diamond kwa kuteuliwa kushirika katika hiyo tuzo na kusema iwapo atashinda, basi yatakuwa mafanikio ya nchi nzima. Cha kushangaza katika tamko lao ni kuweka picha ya Diamond katika hilo tamko na sijui kama ni sahihi...
  18. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Burnaboy anastahili kupata tuzo la BET, alisimama na Wananchi kupinga uonevu wa Serikali na Polisi

  19. N

    JamiiForums Tanzania Mashairi ya Diamond akiwashangaa Watanzania kulalamikia utekaji na forgery za vyeti vya watawala

    Anasema yeye hayamuhusu mnalalamika sana ACHA AKAE KIMYA ,kwenye kava aliweka picha ya mwalimu nyerere hali iliyomuudhi sana mtoto wa mwalimu akamuamuru atoe hiyo picha kwenye cover maana baba yake alikuwa hakai kimya kwenye MAOVU
  20. Leak

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz anavuna alichopanda. Wasanii wenzie wasilazimishwe kumuunga mkono. Mmesahau ya Fiesta kipindi cha Makonda?

    Wanajamvi Habari. Hivi karibuni baada ya msanii Diamond Platnumz kuchaguliwa kuwania tuzo za BET kumeibuka makundi mbalimbali hasa baadhi ya wasanii na wanasiasa kulazimisha wasanii na wadau wote wa muziki na wasio wadau wa muziki kumuunga mkono Diamond. Lazima tuseme ukweli kuwa hata Diamond...
Back
Top Bottom