Diamond Platnumz anavuna alichopanda. Wasanii wenzie wasilazimishwe kumuunga mkono. Mmesahau ya Fiesta kipindi cha Makonda?

Leak

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
52,206
42,067
Wanajamvi Habari.

Hivi karibuni baada ya msanii Diamond Platnumz kuchaguliwa kuwania tuzo za BET kumeibuka makundi mbalimbali hasa baadhi ya wasanii na wanasiasa kulazimisha wasanii na wadau wote wa muziki na wasio wadau wa muziki kumuunga mkono Diamond.

Lazima tuseme ukweli kuwa hata Diamond mwenyewe huwa haungi mkono wasanii wote kwenye kazi zao na wadau wote kwenye kazi zao hivyo tusiwalaumu au kuwalazimisha watanzania wote kumuunga mkono Diamond.

Lazima tukubali Diamond ana makundi na yanajulikana na ndiyo yanayo mgharimu sasa kwa hiyo watu waache nature/asili ichukue nafasi.

Nakumbuka kipindi kile cha Paul Makonda alipokuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar-es-salaam alizuia kufanyika kwa tamasha la Fiesta na Diamond na kundi lake ndio waliongoza kuchekelea na kuwabeza Clouds....

Diamond alikuwa anajua fika kipindi kile wasanii wenzie wengi walikuwa wanapata kula kupitia lile tamasha lakini alichekelea kufungiwa kwa hilo tamasha hadi kukwaruzana na wakina Fid Q ... Kwa hiyo watu waache wachague cha kufanya wasilazimishwe uzalendo maana Diamond sio mzalendo.

Wasanii wanampost tu kwakuwa wasionekane wabaya na wengine wanafanya hivyo kwakuwa ni mmiliki wa radio lakini si kwamba wanapenda maana ukweli ni kwamba Diamond huwa hatoi support kwa wasanii wenzie....

Watu waache wawe huru kabisa maana Diamond atavuna alichopanda watu wasilazimishwe kumuunga mkono.
 
Bila support ya hao wasanii na tena media kibao zikimbania na bado kapata nomination (na si mara ya kwanza), most viewed and paid artist kwenye platforms zote unazozijua wewe.

Hao wanaosapotiana mbona hatua hawapigi wakafika alipo? Let us learn to appreciate.

Get hate or motivated
 
Wanajamvi Habari.
Hivi karibuni baada ya msanii Diamond Platinumz kuchaguliwa kuwania tunzo za BET kumuibuka makundi mbali mbali hasa baadhi ya wasanii na wanasiasa kulazimisha wasanii na wadau wote wa muziki na wasio wadau wa muziki kumuunga mkono Diamond.
1.Kwani mara ya mwisho hiyo clouds fm kupiga nyimbo ya Diamond lini?
2.Mara ya mwisho Diamond kushiriki Fiesta lini?

Diamond hawezi kumfurahisha kila mtu kijana, amepata tuzo kibao bila msaada wa hiyo clouds na chawa wao, hakuna alielazimishwa kupiga kura kabisa, kwanza hizo blah blah zenu wala Diamond hajawai zungumza chochote , zaidi ya kupost Tangazo lake la BET, relax kampigie Burnaboy ni haki yako
 
Bila support ya hao wasanii na tena media kibao zikimbania na bado kapata nomination (na si mara ya kwanza), most viewed and paid artist kwenye platforms zote unazozijua wewe.

Hao wanaosapotiana mbona hatua hawapigi wakafika alipo? Let us learn to appreciate.

Get hate or motivated
Ni kweli mtoe Diamond hao wanao suppotiana wamepata nini? ahahahhahah haha
 
Sijasoma zaidi ya heading, but at this point ni uzwazwa kudhani Dayamondi anahitaji sapoti ya msanii au media yeyote ile ya bongo kuendelea. Hiyo BET yenyewe haimpeleki popote apate au asipate. Rayvanny ana BET imemuongezea nini? Bado yupo chini ya Mondi sio.

Tuzo za BET zimeshajifia. At this point in time BET zinamuhitaji zaidi Dayamondi kuliko Dayamondi anavyohitaji hiyo tuzo. Nani anaenda BET siku hizi? A-list artists wote wameacha kutokea BET toka 2010 huko.

Mnapigana a losing battle. Mkubali jamaa is a one man army. On his own level.
 
1.Kwani mara ya mwisho hiyo clouds fm kupiga nyimbo ya Diamond lini?
2.Mara ya mwisho Diamond kushiriki Fiesta lini?

Diamond hawezi kumfurahisha kila mtu kijana, amepata tuzo kibao bila msaada wa hiyo clouds na chawa wao, hakuna alielazimishwa kupiga kura kabisa, kwanza hizo blah blah zenu wala Diamond hajawai zungumza chochote , zaidi ya kupost Tangazo lake la BET, relax kampigie Burnaboy ni haki yako
Utadhani amewaomba.

The guy kapambana mpaka hapo alipo wengine wakifanya kila figisu lakini wapi! Leo hii haohao wameanza kumpost baada ya kuona wameshindwa sasa.
 
Wanajamvi Habari.

Hivi karibuni baada ya msanii Diamond Platnumz kuchaguliwa kuwania tuzo za BET kumeibuka makundi mbalimbali hasa baadhi ya wasanii na wanasiasa kulazimisha wasanii na wadau wote wa muziki na wasio wadau wa muziki kumuunga mkono Diamond.

Lazima tuseme ukweli kuwa hata Diamond mwenyewe huwa haungi mkono wasanii wote kwenye kazi zao na wadau wote kwenye kazi zao hivyo tusiwalaumu au kuwalazimisha watanzania wote kumuunga mkono Diamond.

Lazima tukubali Diamond ana makundi na yanajulikana na ndiyo yanayo mgharimu sasa kwa hiyo watu waache nature/asili ichukue nafasi.

Nakumbuka kipindi kile cha Paul Makonda alipokuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar-es-salaam alizuia kufanyika kwa tamasha la Fiesta na Diamond na kundi lake ndio waliongoza kuchekelea na kuwabeza Clouds....

Diamond alikuwa anajua fika kipindi kile wasanii wenzie wengi walikuwa wanapata kula kupitia lile tamasha lakini alichekelea kufungiwa kwa hilo tamasha hadi kukwaruzana na wakina Fid Q ... Kwa hiyo watu waache wachague cha kufanya wasilazimishwe uzalendo maana Diamond sio mzalendo.

Wasanii wanampost tu kwakuwa wasionekane wabaya na wengine wanafanya hivyo kwakuwa ni mmiliki wa radio lakini si kwamba wanapenda maana ukweli ni kwamba Diamond huwa hatoi support kwa wasanii wenzie....

Watu waache wawe huru kabisa maana Diamond atavuna alichopanda watu wasilazimishwe kumuunga mkono.

Nikuambie tu kua
Kama ilivyo kwa hayo makundi
Basi ndivyo ilivyo kwa diamond bila hata izo fiesta
Haung’ai bila ya competition
 
1.Kwani mara ya mwisho hiyo clouds fm kupiga nyimbo ya Diamond lini?
2.Mara ya mwisho Diamond kushiriki Fiesta lini?

Diamond hawezi kumfurahisha kila mtu kijana, amepata tuzo kibao bila msaada wa hiyo clouds na chawa wao, hakuna alielazimishwa kupiga kura kabisa, kwanza hizo blah blah zenu wala Diamond hajawai zungumza chochote , zaidi ya kupost Tangazo lake la BET, relax kampigie Burnaboy ni haki yako

pamoja na kwamba siungi mkono mawazo ya kichawi dhidi ya diamond,lakini pia ni ujinga kuamini mond amefika pale alipo kwa uwezo wake peke yake.
hii pekee ni kuungana na hao wanaopiga mawe kwamba asiwategemee.

mimi ninachoshauri,aendelee kujipigia promo,na hata akishinda akauke.jibu kwa mchawi ni mafanikio yako sio maneno yako.
 
Bila support ya hao wasanii na tena media kibao zikimbania na bado kapata nomination (na si mara ya kwanza), most viewed and paid artist kwenye platforms zote unazozijua wewe.

Hao wanaosapotiana mbona hatua hawapigi wakafika alipo? Let us learn to appreciate.

Get hate or motivated
Umemuelewa mtoa mada?
 
Wanajamvi Habari.

Hivi karibuni baada ya msanii Diamond Platnumz kuchaguliwa kuwania tuzo za BET kumeibuka makundi mbalimbali hasa baadhi ya wasanii na wanasiasa kulazimisha wasanii na wadau wote wa muziki na wasio wadau wa muziki kumuunga mkono Diamond.

Lazima tuseme ukweli kuwa hata Diamond mwenyewe huwa haungi mkono wasanii wote kwenye kazi zao na wadau wote kwenye kazi zao hivyo tusiwalaumu au kuwalazimisha watanzania wote kumuunga mkono Diamond.

Lazima tukubali Diamond ana makundi na yanajulikana na ndiyo yanayo mgharimu sasa kwa hiyo watu waache nature/asili ichukue nafasi.

Nakumbuka kipindi kile cha Paul Makonda alipokuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar-es-salaam alizuia kufanyika kwa tamasha la Fiesta na Diamond na kundi lake ndio waliongoza kuchekelea na kuwabeza Clouds....

Diamond alikuwa anajua fika kipindi kile wasanii wenzie wengi walikuwa wanapata kula kupitia lile tamasha lakini alichekelea kufungiwa kwa hilo tamasha hadi kukwaruzana na wakina Fid Q ... Kwa hiyo watu waache wachague cha kufanya wasilazimishwe uzalendo maana Diamond sio mzalendo.

Wasanii wanampost tu kwakuwa wasionekane wabaya na wengine wanafanya hivyo kwakuwa ni mmiliki wa radio lakini si kwamba wanapenda maana ukweli ni kwamba Diamond huwa hatoi support kwa wasanii wenzie....

Watu waache wawe huru kabisa maana Diamond atavuna alichopanda watu wasilazimishwe kumuunga mkono.
Diamond asijione yuko salama kupostiwa na wasanii ambao hua hapendi kazi zao kufanya vizuri, in short wanajua kwamba diamond hua anawabania, huu unaweza ukawa ni mtego mkubwa sana kwa diamond. Asipokua makini ndio itakua mwisho wake!
 
Kipindi Diamond amsuswa na media zote hapati hata airtime, nitajie msanii mmoja aliyetoka mbele kumtetea Diamond?

Kipindi kile Diamond anaandaa matamasha ushajiuliza kwa nini baadhi ya wasanii walio wengi walikuwa wanakataa kushiriki? Ukishiriki basi airtime na show unabaniwa (walilizungumzia hili Linah na Chemical)

Hivi hujiulizi kwa nini album ya A boy from Tandale alienda kuizindulia Kenya na si Tanzania?

So kama ipo ipo tu wapige wasipige kama umeandikiwa kupata,utapata na ndio maana hata Stoneboy na Black Coffee walichukua BET na hawakuwa wakubwa kivile.Waache kupiga wampigie wamtakae hawa shikiwa bunduki kumpigia kura Diamond.
 
Back
Top Bottom