Mashairi ya Diamond akiwashangaa Watanzania kulalamikia utekaji na forgery za vyeti vya watawala

njaakalihatari

JF-Expert Member
Feb 12, 2019
4,084
8,663
Anasema yeye hayamuhusu mnalalamika sana ACHA AKAE KIMYA ,kwenye kava aliweka picha ya mwalimu nyerere hali iliyomuudhi sana mtoto wa mwalimu akamuamuru atoe hiyo picha kwenye cover maana baba yake alikuwa hakai kimya kwenye MAOVU
acha nikae kimya 1.PNG
acha nikae kimya 2.PNG
acha nikae kimya 3.PNG
acha nikae kimya 4.PNG
 
Kumsagia kunguni haitoshi sasa kwa kinu mnamketisha mnataka kutwanga😂😂😂😂 alooh
 
Back
Top Bottom