Wakenya wanampambania Diamond mno kumsafisha bet

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,028
Nimekutana na hii petition mpya ambayo inataka ku reverse ile petition inayotaka Diamond kutolewa kwenye tuzo.

Kwenye petition hii nmeona pia wakenya wamo, hii picha hapa kuna mkenya utaona kasaini.

Wa tz tupi bize kushushana tu bila kuangalua uhalisia, Hivi kweli mlitaka Diamond akatae kumpigia show Magufuli, Hajipendi??

chng.it/QfvbjKNbP2

Screenshot_20210607_213529_com.android.chrome.jpg
 
Mpaka sasa sijaelewa kwanini mnampiga vita huyu dogo, ni kweli ana mapungufu kama binadamu yeyote ila ni mpambanaji na ametoka mbali sana kwenye maisha duni kule Tandale, tumpeni support, tumpigie kura kama wana Afrika Mashariki.
 
hao ndio chadema aka nyumbuzzz wanakwambia wanataka uhuru na haki lkn hawataki diamond ajichagulie chama sa sjui uo uhuru na haki wanaopigania ni upi?
 
Mkuu usiseme watz ni Chadema chama cha kutetea haki za watu wa kinyume cha kusini tawi la mtandaoni ndo wenye roho za kichawi namna hii wanataka kila mtu awe mwanaharakati
 
Mpaka sasa sijaelewa kwanini mnampiga vita huyu dogo, ni kweli ana mapungufu kama binadamu yeyote ila ni mpambanaji na ametoka mbali sana kwenye maisha duni kule Tandale, tumpeni support, tumpigie kura kama wana Afrika Mashariki.
Ni uchawi uchawi tu wa mijitu meusi mkuu
 
Mpaka sasa sijaelewa kwanini mnampiga vita huyu dogo, ni kweli ana mapungufu kama binadamu yeyote ila ni mpambanaji na ametoka mbali sana kwenye maisha duni kule Tandale, tumpeni support, tumpigie kura kama wana Afrika Mashariki.
Tatizo ni umaskini wa fikra,watu fukara siku zote humchukia aliyenacho,wao furaha yao,wanataka akose wawe mafukara wote,sasa wakiona dogo,aliyeishia la saba,toka familia maskini,mitaa ya Tandale anazidi kupaaa na kuwa na mkwanja mrefu,roho zinawauma,Mond sasa hv hapa bongo ana mkwanja na hadhi kama waziri mkuu,
Binadamu wakishindwa kueleza umefikaje hapo ulipo watakuchukia tu,
Angekuwa ni msaniii mwingine kama AY,Au Crazy GK,watu wasingeshangaa maana hawa wamezaliwa masaki,toka familia bora,sasa Mond,ni mtoto wa Tandale kwenye skwata,sasa anawakimbiza balaa,ipo siku Mond atafungua kampuni ya simu au magari,au kiwanda,hapo ndipo wabaya wake,watatamani ardhi iwameze
 
hao ndio chadema aka nyumbuzzz wanakwambia wanataka uhuru na haki lkn hawataki diamond ajichagulie chama sa sjui uo uhuru na haki wanaopigania ni upi?

Mnaharibu kwa kuweka milengo ya vyama kwenye hili, hata nyie CCM, inapaswa anayemponda Mondi aonwe yeye kama yeye bila kuwaponda Chadema wote, maana mnawapa hasira hata wasiokua na ugomvi na Mondi.
Tumpigieni kura, hii hapa namna
 
Mpaka sasa sijaelewa kwanini mnampiga vita huyu dogo, ni kweli ana mapungufu kama binadamu yeyote ila ni mpambanaji na ametoka mbali sana kwenye maisha duni kule Tandale, tumpeni support, tumpigie kura kama wana Afrika Mashariki.
Wabongo shida tu, hawana sera zaidi ya kurudishana nyuma. Utagundua hili ukianza kutoka kimaisha, yaani hadi wale waliokiwa wanakusuport mwanzo wataanza kukupiga majungu unaringa, unakiburi na nla bla kibaao.

Yaani ss tunapenda tuone mtu anahangaoka ila hatimizi ndoto zake. then tunakuwa nae na kumsuport daily, akichomoza tu, tunaanza kuumia roho.
 
Wabongo shida tu, hawana sera zaidi ya kurudishana nyuma. Utagundua hili ukianza kutoka kimaisha, yaani hadi wale waliokiwa wanakusuport mwanzo wataanza kukupiga majungu unaringa, unakiburi na bla bla kibaao.

Yaani ss tunapenda tuone mtu anahangaika ila hatimizi ndoto zake. then tunakuwa nae na kumsuport daily, akichomoza tu, tunaanza kuumia roho.
 
Wabongo shida tu, hawana sera zaidi ya kurudishana nyuma. Utagundua hili ukianza kutoka kimaisha, yaani hadi wale waliokiwa wanakusuport mwanzo wataanza kukupiga majungu unaringa, unakiburi na nla bla kibaao.

Yaani ss tunapenda tuone mtu anahangaoka ila hatimizi ndoto zake. then tunakuwa nae na kumsuport daily, akichomoza tu, tunaanza kuumia roho.
mkuu,, wabongo wana roho mbaya sana aisee....
 
Mpaka sasa sijaelewa kwanini mnampiga vita huyu dogo, ni kweli ana mapungufu kama binadamu yeyote ila ni mpambanaji na ametoka mbali sana kwenye maisha duni kule Tandale, tumpeni support, tumpigie kura kama wana Afrika Mashariki.
Bongolala roho mbaya ingekuwa Kenya ni nchi ya maana inayoelewea mimi maisha yangu ningefanya Kenya maana kidogo naona hamna ule uchawi ambao Tanzania tupo nao
 
Back
Top Bottom