Baada ya ukimya, P-Funk afuta post aliyomuomba Diamond kumsaporti Rapcha

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,014
1623435596771.png

Baada ya kuona kimya, imemlazimu P-Funk aifute tu, huenda ni kuhisi kadharaulika

ila pia huenda WCB hawajafurahishwa na dogo Rapcha kuwashisha mara 2.

Majuzi kazi ya Rapcha Lisa iliachiwa, ikawa trending namba 1 huku ikiipindua video ya Mboso na Baba levo

Hayakupita masaa mengi WCB wakaachia nyingine ya Lavalava na Mbosso ila nayo haikufanikiwa kuipiku kazi ya Rapcha.

Nadhani ni wakati P-Funk ajuehuu mziki wa sasa ushindani ni mkali sana na wasanii kusapotiana imekuwa nadra sio kama zamani.

Ila pia atambue kwamba dogo tumeipenda kazi yake na ndio maana hadi saizi kakamata namba 1 youtube.

1623436781203.png
 
Hiyo ngoma imekua posted kweny wasafi media...mnataka airtime gani? Kila msanii Akiomba kazi yake ipostiwe na Mond itakuaje? WCB wakae wamuogope Rapcha kwa kipi?
Binafsi hiyo ngoma nimeijulia kweny page ya wasafi Instagram..nikaenda youtube

Dogo akaze tu atafika mbali...lakin haya maswala ya kumtak Diamond apost ili dogo kazi yale ifike ni ujinga...
 
View attachment 1815653

Baada ya kuona kimya, imemlazimu P-Funk aifute tu, huenda ni kuhisi kadharaulika

ila pia huenda WCB hawajafurahishwa na dogo Rapcha kuwashisha mara 2.

Majuzi kazi ya Rapcha Lisa iliachiwa, ikawa trending namba 1 huku ikiipindua video ya Mboso na Baba levo

Hayakupita masaa mengi WCB wakaachia nyingine ya lavalava na mbosso ila nayo haikufanikiwa kuipiku kazi ya Rapcha.

Nadhani ni wakati P-Funk ajuehuu mziki wa sasa ushindani ni mkli sana na wasanii kusapotiana imekuwa nadra sio kama zamani.

Ila pia atambue kwamba dogotueipenda kazi yake na ndio maana hadi saizi kakamata namba 1 youtube.

View attachment 1815682
 
Hiyo ngoma imekua posted kweny wasafi media...mnataka airtime gani? Kila msanii Akiomba kazi yake ipostiwe na Mond itakuaje? WCB wakae wamuogope Rapcha kwa kipi?
Binafsi hiyo ngoma nimeijulia kweny page ya wasafi Instagram..nikaenda youtube

Dogo akaze tu atafika mbali...lakin haya maswala ya kumtak Diamond apost ili dogo kazi yale ifike ni ujinga...

🗑️

🚮​

ila wabongo?? majibu yako yanaonyesha wazi hujaelewa maada ama umesoma tu kichwa cha maada ukakurupuka kuja kukomenti
 
Huenda ww ndio hujaelewa ulichopost....BS
Alieambiwa apost ni Diamond we unaleta ishu za wasafi, ni kama vile mtu hajaja msibani yeye katuma mwakilishi, ama umeombwa kwenda kumuombea mtu fulani sapoti wewe unatuma watu wengine, angetaka wasafi wapost sidhani kama kungekuwa na haja ya kupost huo ujumbe uliomhusu Diamond moja kwa moja

Sema tuachane na ivo, ila huenda majani angemcheki tu inbox Diamond,
 
ila pia huenda WCB hawajafurahishwa na dogo Rapcha kuwashisha mara 2.

Majuzi kazi ya Rapcha Lisa iliachiwa, ikawa trending namba 1 huku ikiipindua video ya Mboso na Baba levo

Hayakupita masaa mengi WCB wakaachia nyingine ya lavalava na mbosso ila nayo haikufanikiwa kuipiku kazi ya Rapcha.

Nadhani ni wakati P-Funk ajuehuu mziki wa sasa ushindani ni mkli sana na wasanii kusapotiana imekuwa nadra sio kama zamani.

Ila pia atambue kwamba dogotueipenda kazi yake na ndio maana hadi saizi kakamata namba 1 youtube.
Nyie watu bhana! Kwahiyo unataka kusema WCB na Diamond wanamuonea wivu Rapcha, au?! For what I know, sijawahi kuona Diamond aki-post ngoma za wasanii wengine ukiacha wale wa Wasafi!! Na kwavile Rapcha alishaachia ngoma, ndo mlitarajia Wasanii wengine wasi-post ngoma YouTube?! Au ni Wasafi peke yake ndio walitakiwa kuto-upload ngoma YouTube kwa kuwa Rapcha kaachia ya kwake? Ajabu zaidi, ngoma ya Rapcha inaonekana imepostiwa June 7, na ile ya akina Mbosso ni June 9! Sasa hayo unayoita "haikupita masaa mengi", ulitaka yapite masaa mangapi?
 
Hiyo ngoma imekua posted kweny wasafi media...mnataka airtime gani? Kila msanii Akiomba kazi yake ipostiwe na Mond itakuaje? WCB wakae wamuogope Rapcha kwa kipi?
Binafsi hiyo ngoma nimeijulia kwenye page ya wasafi Instagram..nikaenda youtube

Dogo akaze tu atafika mbali...lakin haya maswala ya kumtaka Diamond apost ili dogo kazi yale ifike ni ujinga...
Hata mimi nimeionea kwenye page ya Wasafi TV, ndipo nikaifuata YouTube
 
Nyie watu bhana! Kwahiyo unataka kusema WCB na Diamond wanamuonea wivu Rapcha, au?! For what I know, sijawahi kuona Diamond aki-post ngoma za wasanii wengine ukiacha wale wa Wasafi!! Na kwavile Rapcha alishaachia ngoma, ndo mlitarajia Wasanii wengine wasi-post ngoma YouTube?! Au ni Wasafi peke yake ndio walitakiwa kuto-upload ngoma YouTuibe kwa kuwa Rapcha kaachia ya kwake? Ajabu zaidi, ngoma ya Rapcha inaonekana imepostiwa July 7, na ile ya akina Mbosso ni July 9! Sasa hayo unayooita "hakiupita masaa mengi", ulitaka yapite masaa mangapi?

July 7 2020 au unamaanisha July 7 2021 ambayo haijafika bado
 
Doh hii nchi ngumu sana yan ina maana mpaka mond apost ndo atapasua huyo rapcha. Mbn rapcha anajua tu tena sana Sasa naona kila kitu naona anabebeshwa mondi mzigo akitatue wale chadema wanataka awasupport huyu nae anataka amsupport Kwani hamna wasanii wengine askal wenye connection mambele kama konde boy, ali kiba mpaka awe mond tu dooooh naona mond kashakuwa baba amsaidie kila mTz
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom