Diamond Platnumz azidi kumpelekea Moto Burnaboy tuzo za BET

Slowly

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
10,486
34,789
Jua linazidi kuchomoza Kwa mtanzania Diamond Platnumz kwenye tuzo za BET dhidi ya nguli wa Mziki Burna Boy ...

Akiwa under high criticism kuhusu support kwenye nchi yake mwenyewe nguli huyu wa Bongo fleva asiyejua kukata tamaa wala kupumzika ameendelea kupambana to the bitter end... Na sasa matunda yameanza kuonekana .....

Mashabiki zake wamedhidi kumpambania "Fiercely to the last " ili kushawishi tuzo hyo itue bongo land....

Tunaendelea kumtakia kila lakheri, shujaa wa Africa 🙏
upuuzi_daily-___CPtAgBlrXW5___-.jpg
 
Kwani hizo likes ndo kura zenyewe au!?

Likes ndo kura?

Hata mi jamaa kanishangaza sana, labda anadhani BET ni sawa na kili Music award

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app

Kuna ushabiki mwingine ni uwendawazimu kabisa.

Mleta maada yupo sawa lakin? Au bado ana fikra za ki You tube?

sikuwahi kujua kuwa mataga wa madale wana vichwa vitupu namna hii.

Kati ya vitu vinavyoua uwezo wa kufikiria na kujenga hoja ni;

1. Kupenda mtu/kitu kupitiliza.

2. Kukosa exposure

3. Ubinafsi

Kati ya hayo, huyu mkuu wetu anangukia hapo namba moja.

Naungana na wewe, huu ni ushabiki maandazi.

Huyu mleta mada kunatatizo mahali
Ngoja niwajibu Tu kiroho safi nyie vichwa maji , nimesema mashabiki Wana ushawishi pia na sio kwamba ndo wanapiga Kura , support inapokuwa kubwa zaidi unaongeza ushawishi wa kushinda ...mmenielewa nyie viroboto
 
Jua linazidi kuchomoza Kwa mtanzania Diamond Platnumz kwenye tuzo za BET dhidi ya nguli wa Mziki Burna Boy ...

Akiwa under high criticism kuhusu support kwenye nchi yake mwenyewe nguli huyu wa Bongo fleva asiyejua kukata tamaa wala kupumzika ameendelea kupambana to the bitter end... Na sasa matunda yameanza kuonekana .....

Mashabiki zake wamedhidi kumpambania "Fiercely to the last " ili kushawishi tuzo hyo itue bongo land....

Tunaendelea kumtakia kila lakheri, shujaa wa Africa 🙏View attachment 1808849
Lsbda useme azidivkupelekewa moto
 
Ngoja niwajibu Tu kiroho safi nyie vichwa maji , nimesema mashabiki Wana ushawishi pia na sio kwamba ndo wanapiga Kura , support inapokuwa kubwa zaidi unaongeza ushawishi wa kushinda ...mmenielewa nyie viroboto
Uncle Shamte mbona unapata tabu sana 🤣

Diamond hata watanzania wote wampigie kura hawezi kushinda hiyo BET.

Sasa mtu aliyeshinda Grammy anawezaje kushindwa kupata BET hata kama wewe ndio ungekuwa Judge ?
 
Sawa manager wa kondegang
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom