diamond

  1. itel Mobile Tanzania

    JamiiForums Tanzania Sababu za Diamond Platnumz kutumia itel A37 hizi hapa

    Takribani wiki mbili baada ya itel kumtangaza balozi wake ambaye ni Diamond platnumz, sasa imebainishwa sababu za Diamond platnumz kuipenda simu hiyo ambayo ni tolea jipya la itel A37 ambayo imezinduliwa rasmi mwishoni mwa wiki iliyopita jijini Dar es Salaam. Miongoni mwa sababu zilizoelezwa na...
  2. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Dili la bilioni 11.5 diamond naona kapigwa, ni ndogo kwa brand ya WCB

    Label ya WCB wasafi ni label kubwa sana yenye wasanii wanaotukisa Africa mashariki, Ni label ambayo ukienda nchi kama Rwanda watu wamekariri mashairi ya kila nyimbo za Diamond na Zuchu Ni label kubwa sana, hapo Kenya WCB inatikisa vilivyo Kwa haraka haraka hii Bilioni 11 ni kubwa sana kwa...
  3. Shadow7

    JamiiForums Tanzania Diamond Mfalme wa Youtube kwa wasanii Kusini mwa Jangwa la Sahara, aweka rekodi nyingine

    Msanii wa Bongo Fleva Diamond Platnumz amepiga hatua nyingine kubwa katika kazi yake ya muziki. Diamond kwa jina halisi Naseeb Abdul amekuwa mwanamuziki wa kwanza kusini mwa jangwa la sahara kupata subscriber milioni tano katika mtandao wa Youtube, kupitia chaneli yake ya youtube. Mbali na...
  4. Shadow7

    JamiiForums Tanzania Madee: Diamond alitupigia simu saa tisa usiku wasanii tukutane studio

    Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Madee ameleza namna alivyowaza mbali kuimba wimbo wa hadithi ambao umeelezea mambo aliyofanya hayati Magufuli, huku akienda mbali zaidi aikisema kuwa atatunga kitabu kwa ajili ya huo wimbo.
  5. Shadow7

    JamiiForums Tanzania Diva amenyanyulia mikono Diamond, ndio msanii namba moja kwa sasa Tanzania

    Habari wadau, Kupitia Instagram yake ameandika haya:- “Mtangazaji namba 1 wa kike Tanzania niliwahi Piga Picha Na Msanii Namba 1 Tanzania saa Hii na tuna wimbo wetu unaitwa Piga Simu .. so acha nipost. Apa tulikuwa Marafiki sana apa …sana… semeni ukweli asa hivi ni msanii gan anamshinda...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Mr flavour wa Nigeria aomba media za Nigeria zimpe heshima inayostahili Diamond Platnumz

    Msanii mkubwa kutoka Nigeria Mr Flavour amefunga mengi wakati anahojiwa na moja ya media kubwa ya Nigeria hapo Jana. Mr flavour amevilaumu vyombo vya vingi vya Nigeria kutosapoti vyakutosha sana miziki ya nje japo kuwa yeye pia ni mnigeria. Akatolea mfano Ngoma ya diamond "Waah" imeweka record...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz apata shavu kutoka kwenye movie ya Coming 2 America

    Wimbo Hallelujah wa Diamond Platnumz wapata shavu kwenye filamu ya Coming 2 America, itakayo achiwa tarehe 5 March 2021. Source:SnS.
  8. Kigoma Independent

    JamiiForums Tanzania Sanamu ya msanii DIAMOND na ZUCHU pale Posta Kama wasanii Namba moja wakiume na wakike hapa Tanzania

    Habrini wanajamvi: Nimesikitiahwa sana na mtu mmoja ambae ametoa ya moyoni kwa kupinga kuwa ZUCHU sio msanii namba moya wa kike hapa nchini[emoji23][emoji23][emoji23]. Inabidi watanzania tuache kukaza fuvu kwa kujifariji na wakati namba hazifanganyi na kipaji akijifichi, na kwa Hali hii ZUCHU...
  9. figganigga

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji, NIDA na RITA, mfungulieni Kesi ya Uhujumu Uchumi Diamond Platnumz kwa Kumiliki nyaraka fake za Serikali. Vitambulisho vyote anyang'anye

    Salaam Wakuu, Vyombo vya Serikali viache double standard. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimzawadia kofia msanii Naseeb Abdul maarufu kama Diamond Platinumz baada ya kutumbuiza maelfu kwa maelfu ya wananchi waliohudhuria mkutano wa kampeni Uwanja wa CCM...
  10. Leak

    JamiiForums Tanzania Baba Levo: Natamani nife wa kwanza kabla ya Diamond, akitaka lolote ntamfanyia. Wadau wamfananisha Baba Levo na Gigy Money

    Wasalaam Wana jamvi. Msanii Baba Levo ameweka wazi kuwa anatamani Mungu amchukue hata leo ili watoto wake walelewe na Diamond. Baba Levo amesema hayo akieleza hisia zake baada ya Diamond kumlipia ada za watoto wake wawili wanao soma TUSIME SEC. Baba Levo anasema anatamani Mungu amchukue hata...
  11. ommytk

    JamiiForums Tanzania Hivi mwanamziki Diamond Platinum Dangote wa Tanzania ana uhusiano familia ya Dangote Nigeria

    Wanajf habari wakuu naomba tu kujua mwanamziki Diamond Platinum Dangote wa Tanzania je ana uhusiano wowote na tajiri billionaire kutoka Nigeria aliko dangote?
  12. Lady Ra

    JamiiForums Tanzania Maswali ya Kujiuliza Juu ya Kauli ya Mama Diamond juu ya Baba Diamond

    1. Mama Diamond anasema kuwa, mzee Abdul hakuwa baba mzazi wa Diamond, inakuaje tena (yeye huyo huyo) aseme kwamba, mzee Abdul aliikataa mimba? Alikataaje kitu (mimba) ambacho si chake? Na kama ni kweli ALIIKATAA, maana yake ni kwamba, basi mama Diamond alitaka kumpa hiyo mimba. Kwanini alitaka...
  13. lup

    JamiiForums Tanzania kwa mfano wa yanayoendelea familia ya diamond ni halali wanaume kufa mapema kuliko wanawake kwenye ndoa,

    za jumapili na weekend kwa ujumla, ni wazi kwamba wengi wetu tunajua nini ambacho mama diamond amekiwasha huko anga za habari na kusababisha kila mahali kuwa ngumzo tu, kwa yanayoendelea nin halali kabisa kwa familia nyingi kupoteza wanaume kwa maana ya kufa na wanawake kuwa ndio wenye nyumba...
  14. Hisha Sorel

    JamiiForums Tanzania "Baba" Diamond awe fundisho tosha kwa wanaume mnaosumbua wanawake wakipata mimba: msikimbie mimba, wala msizingue kama wazazi

    Nashangaa sana ninapoona wanaume wanamtetea yule mzee! Kwani angekuwa karibu na mwanae (hata kama ni wa kumlea) angeweza kusukumwa na mkeo (mama diamond)? mi sidhani. Hivi angechukulia majukumu yake serious kama mzazi na kujitolea kwa asilimia 100% Diamond kweli angemsahahu? I doubt it...
  15. sajosojo

    JamiiForums Tanzania Ishu ya baba wa msanii Diamond gazeti la ijumaa lililipoti 2012

    ojs entertainments We do Post entertainment newz in this blog, your welcome JUL 16 BABA WA DIAMOND MAPYA YAIBUKA SIKU chache baada ya baba mzazi wa kachala wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul Juma ‘Diamond Platnum’, mzee Abdul Juma kufunguka kuwa mwanaye huyo hamthamini toka amepata...
  16. The Boss

    JamiiForums Tanzania Diamond anakosea sana...

    Nimejikuta nashindwa jizuia kuongea chochote..kuhusu Daimond na Baba yake Mzee Abdul.. Kwa maoni yangu kama. Diamond alikuja kugundua Mzee Abdul sio Baba yake ndo Alipaswa kumheshimu zaidi Kwa Chochote Mzee Abdul alichompa hata kama ilikuwa ni malezi ya siku moja tu.. Diamond alipaswa sasa...
  17. matumbo

    JamiiForums Tanzania Familia ya Diamond ilivyotawala entertainment industry ya bongo

    Pengine kwa wengine inaweza kuonekana familia ya ajabu au familia iliyokosa maadili mema ya kitanzania. Kwa lugha rahisi ni typical familia ya kiswahili. Lakini kwa watu walio kwenye industry ya burudani haswa media wanajua ukubwa wa hii familia kwa sasa. Content yao ni mali kama Almasi...
  18. A

    JamiiForums Tanzania Mama Diamond: Mzee Abdul alinikuta nina mimba ya Naseeb (Diamond) na aliikataa. Ricardo Momo na Diamond ni ndugu, baba yao ni Salum Idd Nyange

    Habar wanaJF, Aliyesema kuwa wanawake na mama zetu tusiwaamini hakukosea leo kwani huenda wazazi wetu wa kiume walio tulea sio baba zetu. Leo Rikardo Momo amesema kuwa mzee Abdul sio baba yake Diamond na kusema kuwa yeye na Diamond wanachangia baba na baba yao anaitwa Mzee Salim Nyange. Haya...
  19. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Congo laongelea uhusiano wa Diamond na baba

  20. Dong Jin

    JamiiForums Tanzania Dah! Huu wimbo wa Pepsi alioimba diamond ni balaa

    Huyu jamaa makampuni yanavyogongana kutaka awatangazie biashara zao huwa hawakosei. Nilikuwa sijawahi kulisikia hili tangazo la pepsi, huu wimbo nakiri kabisa kuwa ni hit song kwa upande wa matangazo Hili ni la pili baada ya lile la Cocacola la kuonja msisimko. Mwenye nalo la Pepsi atupie hapa
Back
Top Bottom