Ray C asema uzalendo uanzie kwa Diamond aache 'kuwachamba' wasanii wenziye

Unique Flower

JF-Expert Member
Apr 19, 2019
12,714
24,888
Ray C amenikera kisa hivi anasema Diamond ana roho mbaya. Seriously?

Kumbukeni Harmonize kabla hakuwa mwanamuziki wakina Rita walimkataa umeona eh? Ni Daimond ndio alimleta kwenye muziki akafika hapo alipo sio siri ni ukweli unaonekana.

Sio kila kitu uwape watu. Kwa hiyo wanaomsema Daimond sio vizuri. Mimi ni nampenda Jesh

=======
Aliandika Ray C kupitia Instagram,

Kuanzia leo nimeokoka..🤣.Anyway kufupisha tu maneno...Tunachokizungumzia sasa ni uzalendo sio mtu binafsi!Na Uzalendo unaanza kwako mwenyewe !!!Ok kwa kifupi tu Lile cheko lako la Pepsizo la fiesta kwakweli lilinikera sana hasa ukizingatia show ilikuwa ya wasanii wenzio wa hapohapo Tanzania...(Ulikuwa sio uzalendo)🙇‍♀️😰.Kuna kabati pale kwako limejaa matuzo makubwa makubwa.Naamini Watanzania walichangia sana kujaza tuzo kwenye lile kabati kwa upendo na kujibana matumizi!wengine kujinyima hata chakula kuweka bando kuvote ututoe kimasomaso na kweli kwa upande wa kututoa kimasomaso muziki wetu kuheshimika barani Africa hilo umeliweza asilimia 150!!Yanayoendelea mitandaoni hasa twitter nadhani hata wewe huelewi mbona watu wameanza kuchange ghafla wakati miaka kama mitano nyuma watu tulikuwa hatuskii wala hatuambiwi kitu ni D D tu (mmoja wapo mimi)pitia posti za nyuma!!!!..nadhani hapo katikati ulikuwa unatuchamba sana 🤣🤣🙇‍♀️!kama vile I got money more than you mazafantaz!😱(Sio Uzalendo)!!au zile interview za madongo kusanya wasanii wote Tanzania wafanye show na mimi nifanye show tuone nani atajaza.(Sio Uzalendo)🙆‍♀️Kuna mda unakaa unajiuliza huyu dogo mbona hivi tena !Bora hata saivi unatupa break kidogo unawachamba Forbes 🤣🤣🤣(ingawa hata vile haipendezi kimataifa)😥 Vichambo vyako vingi vimewagawanya mashabiki.Huo ni ukweli.PLS kuwa humble sasa..Na pia punguza machawa wa ajabu wanaropoka sana wanakera.Sema nini tunasonga mbele.Anza kufanya macolabo pia na wenzio hapo Bongo.(Na simaanishi wasanii wa WCB tu)😎Wengine ambao wanapambana na wanafanya vizuri kwenye Game!!!Washike mkono wenzio babaa utapata baraka zaid sababu Uzalendo uanzie kwako pia sio kwenye team yako tu .Au vipi babaa😉Nitaendelea kusapotii yeyote anaefanya poa na kwenye ukweli ntasema pia.Si ndio maana ya kuwa dada au🤷🏽‍♂️.Mpaka BUNGE limetushawishi kukusapoti na ni kweli tunakusapoti watanzania sasa basi tuendelee kubaki kwenye uzalendo huohuo kuwa na wewe pia wainue wasanii wenzio wengine kwa kushirikiana nao waonekane Africa ishangae na ione kuwa Tanzania kuna vipaji balaa! Anyway wabongo fanyeni kama mnajikuna mkavote tuchukue na hii tuzo.GO GET THEM BRO❤️@diamondplatnumz
 
Ukisikia mtu analaumu kuwa fulani ana roho mbaya, muepuke kama ukoma maana ni mlalamikaji tu.
 
Ray C amenikera kisa hivi anasema Diamond anaroho mbaya. Seriously?

Kumbukeni Harmonize kabla hakuwa mwanamuziki wakina rita walimkataa umeona eh? Ni daimond ndio alimleta kwenye muziki akafika hapo halipo sio siri ni ukwepi unaonekana.

Sio kila kitu uwape watu. Kwa hiyo wanaomsema daimond sio rvizurii. Mimi ni namlependaza Jesh
Diamond ana roho mbaya sana, ila anapenda kuonesha kisura cha huruma kwenye public.

Anyway, kwa Harmonize ile ni biashara hakuna msaada pale. Tena alifanya biashara nzuri na ikamlipa.
 
Ray C amenikera kisa hivi anasema Diamond anaroho mbaya. Seriously?

Kumbukeni Harmonize kabla hakuwa mwanamuziki wakina Rita walimkataa umeona eh? Ni Daimond ndio alimleta kwenye muziki akafika hapo alipo sio siri ni ukweli unaonekana.

Sio kila kitu uwape watu. Kwa hiyo wanaomsema daimond sio rvizurii. Mimi ni namlependaza Jesh
Mbona yeye enzi zake alikuwa na maringo, mpaka ndugu zake wanyalu aliwakataa, na hakuna aliyemtoa.
 
Ray C amenikera kisa hivi anasema Diamond anaroho mbaya. Seriously?

Kumbukeni Harmonize kabla hakuwa mwanamuziki wakina Rita walimkataa umeona eh? Ni Daimond ndio alimleta kwenye muziki akafika hapo alipo sio siri ni ukweli unaonekana.

Sio kila kitu uwape watu. Kwa hiyo wanaomsema Daimond sio vizuri. Mimi ni nampenda Jesh
Sijaelewa,.msema kweli ni mpenzi wa MUNGU
 
Kuna huyu mwamba anaitwa darasa naye kadai ( kimafumbo) kuwa Diamond akiwa Oman kuna mapromota walimfata wakitaka awaunganishe na Darasa kipind hcho anatamba na wimbo wa Mziki, Diamond akawajibu kuwa huyo ni teja waachane naye ..... Darasa andai kuwa Taarifa hzo kapewa na Harmonize (kimafumbo )
Maswali ya kujiuliza

1. Inawezekanaje international promoter afanyie kazi maneno ya mtu....

2.unamtaka msanii, si booking address ipo hata kwenye acct ya youtube ya msanii husika.

3.Eti kawaambia ni teja , nao wakaamini, Teja ambaye wimbo wake ulitambaa East Africa nzima na Mitandaoni alikuwa talk of the town , nakumbuka krismas alilishika Dar live yoteee.... Inaingiaje akilini kama sio uongo wa wazi kabisa wa Harmonize.

Harmonize anatumia outdated strategy za kipind cha WW2, Darasa naye ni kichwa maji kutokana na kufulia ...bas kumletea maneno mshindi wa BET 2021...!!
 
Hivi Ray C a.k.a Mla ngada alikuwa wapi kipindi clouds inapambana kumpoteza diamondplatnumz?

Je ni wasanii wangapi walikuwa upande wa diamondplatnumz kipindi anapigana vita?Tuanzie hapo.
Kipindi hicho alikua anakula unga
 
Tulia uandike vizuri na punguza jazba.

Pili huwezi kupendwa na kila mtu,so Ray C kumchukia Chibu ni wivu wake na anastress zake nyingine za kimaisha, ambazo hazimpunguzii kitu Diamond.
Hiyo hao chini aisee sijaandika mimi wameongeza maneno aisee pole mie nimeishia jeshi nampend basi hizo swaga zingine sizielewi na zimeongezewa maneno
 
Hivi Ray C a.k.a Mla ngada alikuwa wapi kipindi clouds inapambana kumpoteza diamondplatnumz?

Je ni wasanii wangapi walikuwa upande wa diamondplatnumz kipindi anapigana vita?Tuanzie hapo.
Achana na huyo amenikera
 
Kuna huyu mwamba anaitwa darasa naye kadai ( kimafumbo) kuwa Diamond akiwa Oman kuna mapromota walimfata wakitaka awaunganishe na Darasa kipind hcho anatamba na wimbo wa Mziki, Diamond akawajibu kuwa huyo ni teja waachane naye ..... Darasa andai kuwa Taarifa hzo kapewa na Harmonize (kimafumbo )
Maswali ya kujiuliza

1. Inawezekanaje international promoter afanyie kazi maneno ya mtu....

2.unamtaka msanii, si booking address ipo hata kwenye acct ya youtube ya msanii husika.

3.Eti kawaambia ni teja , nao wakaamini, Teja ambaye wimbo wake ulitambaa East Africa nzima na Mitandaoni alikuwa talk of the town , nakumbuka krismas alilishika Dar live yoteee.... Inaingiaje akilini kama sio uongo wa wazi kabisa wa Harmonize.

Harmonize anatumia outdated strategy za kipind cha WW2, Darasa naye ni kichwa maji kutokana na kufulia ...bas kumletea maneno mshindi wa BET 2021...!!
"Mshindi wa BET 2021" kwe kwe kwe
 
Back
Top Bottom