Habari Nzuri kwenye tasnia ya Muziki (bongo flavour) nchini Tanzania ni kuwa msanii Namba Tatu Africa Baada ya Burna Boy ma Wizkid na Namba moja Tanzania ameingia studio na king wa West coast SNOOP DOGG.
DIAMOND PLATINUMZ amepost kwenye Instagram page yake na kuambatanisha na maneno...
Masheikh, Masharif, Maustadh naombeni mje mtujuze, je kiutaratibu inakuaje pale muislam anapovaa msalaba? Au ni pambo tu halina ubaya?
Maana naona Nassib Abdul maarufu kama Diamond Platnumz amekuwa na utaratibu wa kuvaa msalaba siku za karibuni ilhali yeye ni muislam.
Ukisikia "kizungu-chefu chefu" ndio cha huyu Bwana mdogo nguli wa bongo fleva.
Huyu Bwana mdogo wa Tandale sijui katoa wapi hii kizungu ya kimarekani? Sijui ndio kuwa NIGGA? — Bado sijamuelewa vizuri.
You garrah gooh... i garrah duuh, i garrah fyoko, yoooo ma nigga, i garrah nyokooh...
UPANDE WA PILI WA HOTUBA YA MWALIMU YA KUAGA
Kiasi naogopa kufanya uchambuzi wa hii hotuba kwani kuna mambo nadhani Mwalimu Nyerere kasahau au hakupenda watu wayasikie.
Mwalimu hakupokelewa na wazee alipokelewa na Abdul Sykes 1952 tena si New Street kwenye ofisi ya TAA bali nyumbani kwake Mtaa...
Wasafi Fm kupitia ukurasa wao wa instagram waliweka maneno ya msanii kutoka Nigeria ambaye alikuwa anasema kuwa wasanii waache kununua viewers wa youtube na akasisitiza kuwa anawambia wasanii wengine sio wanigeria maana wa uko Nigeria awawezi kununua viewers wa Youtube.
Kwenye hili sikubaliani...
Akiwa Marekani baada ya kukosa tuzo BET sadala katua studio kwa swizzbeats ambako sijui ana project gani, ila katika picha kaposti kwa insta ameonekana kachafua shingo na mikono kwa lundo la macheni, mapete na masaa ambayo wataalamu wa mambo ya vito vya thamani wa instagram yaani...
WCB lebo ya Diamond imegeuka kuwa kiwanda cha kutoa mastaa katika levo za juu mno,
Kuna waliofata nyayo za kijana lakini hali hairidhishi, kuna lebo kama kings music ya alikiba na konde gang ya harmonize hizi lebo wasanii wake wamekuwa wakipata wakati mgumu kutoboa ikafika kipindi hadi wasanii...
Diamond amejijenga Sana kimziki Hilo halina ubishi, inawezekana kuna mapungufu pia , hata hvyo katengeneza team work yenye nguvu Sana ,....
Kwa sku za hvi karibuni kapigiwa kelele Sana negatively, kelele hzo hazijaathir chochote career ya mshikaj , Sana Sana zimempa hipe kubwa Zaid, .... ...
Rapa namba moja duniani kwenye kucheza na ulimi "tongue twist" aitwae Busta Rhymes ameiambia dunia kupitia ukurasa wake wa Instagram kwamba Michael Jackson wa Africa ni Diamond Platnumz.
Busta amefikia kumuita Diamond ndio Michael Jackson wa Africa baada ya kuona uwezo wake mkubwa kiasi cha...
Wadau wa mziki wanadai pale Wcb hakuna ubunifu
Diamond anasikiliza nyimbo za kinaijeria ili afanye remix
Director kenny anaangalia video za wengine ili afanye remix
Reyza anasikiliza beat za wengine ili azifanyie remix
WCB = WE COPY THE BEST
Hii ni Aibu huyu sadala analitia aibu taifa kwa...
Juma Jux kwenye ukurasa wake wa instagram katupia picha ya mjengo wake pamoja na ndinga zake ikiwemo Mercedes Benz mpya na bmw.
Kwa mtizamo wangu naona jux ana maisha mazuri kuliko msanii yeyote Bongo akiwemo mondi na kiba. Mondi anatumia toyota na kiba anatumia x5 la kizamani.
Nawasalimu katika jina la Chama Cha Mapinduzi chama kiendelee. Kabla baadhi yenu hamjaanza kunisumbua kutaka nitoe maoni yangu kuhusu kushindwa kwa komredi Simba kwenye tuzo za BET, nimeona niyatoe mapema. Kama kawaida maoni yangu ndo yatakuwa msimamo wa JF. Soma kwa makini.
Kwanini kashinda...
1. Je, wale 'Washadadiaji' wa Mitandaoni tunajua kuwa aliyeshindwa huko BET siyo tu Msanii Diamond Platinumz pekee bali hata Watanzania wote tumeshindwa?
2. Je, wale 'washadadiaji' wa Mitandaoni tunajua kuwa Kitendo cha Diamond Platinumz Kuikosa hii Tuzo ya BET kuna Fursa kadha wa kadha...
Mimi mpenzi wa Clouds Power Breakfast, Leo Tena sisikilizi na XXL. Naruka kwa kina Gadna siku inaishia. Walikuwa na bifu na Diamond Platnumz hawachezi nyimbo wala kutaja jina lake. Naona wanalitaja kwa kasi now, mpaka Mwijaku.
Je, Kusaga aliwapatanisha?
WAMASAAI WAMESEMA MAVAZI ALIYOVAA *DIAMOND KATIKA TUZO HUKO BET NI MAVAZI YA KIKE
Urembo aliovaa shingoni kuanzia alioubana na ulioning'inia ni mavazi ya wanawake wanaovuka rika.
Pia nguo aliyovaa ni yakike na haivaliwagi kama khanga au taulo kama umetoka kuoga.
Kitu pekee alichobeba cha...
Mhariri Mwananchi anaandika 'Diamond aangukia utosi huko Marekani'
Unafikiri ungekuwa muhariri leo ungekuja na kichwa gani cha habari kwenye gazeti lako?
DIAMOND ACHANA NA WASHAMBA/MALIMBUKENI. TAMBUA NAFASI YAKO.
Na, Robert Heriel
Kitu ambacho kinakwamisha Watanzania tuliowengi ni USHAMBA/ULIMBUKENI.
Ulimbukeni ni like kitendo cha mtu kupata kitu Kwa kizuri au cha thamani Kwa mara ya kwanza, kitu kile kikamfanya atende kinyume na desturi na...
Nisiwe mnafiki mimi ni mmoja kati ya watu wenye wivu na mafanikio ya Diamond kwani yeye mwenyewe ana wivu juu ya mafanikio ya wasanii wezake wa kitanzania.
Kama na wewe umefurahi Diamond kukosa tuzo tujuane hapa.
Leo napiga bia nyingi kufurahia tuzo ya Burnaboy...
Hiii ni post maalum kwajili ya watu wenye wivu na chuki ambao mafanikio ya Diamond yamegeuka kuwa mwiba kwao, Kila anachofanya sasa wanakilinganisha na nje ya nchi maana hapa ndani kakosa mpinzani.
Hii imekuwa too much sasa, Mara ya kwanza wiki chache kanunua ile cadillac toleo la 2015...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.