Godbless Lema aazimia kuondoa kazi za Diamond YouTube/Facebook

George Betram

JF-Expert Member
Oct 10, 2015
4,018
4,907
Aliyekuwa mbunge wa CHADEMA, Mh Godbless Lema ameandika katika mtandao wa Twitter kuwa wapo katika mchakato wa kuondoa kazi/videos za Diamond Platnumz katika mitandao ya YouTube na Facebook. Godbless Lema anadai Diamond amekuwa akijali "njaa" kuliko haki, hivyo kijana Huyo kutoka Tandale ni hatari zaidi ya gaidi.

Diamond ana "tabu" sana mwaka huu!

Screenshot_20210607-055506.png
 
Huku ni kuingilia uhuru wa mtu.
Mondi ana haki ya kushabikia chama chochote cha siasa na pia kumshabikia mwanasiasa yeyote aliyewekwa na chama chochote cha siasa.

Kushambulia kazi yake kisa tu ni mshabiki wa chama ambacho Lema hakubaliani nacho sio haki hata kidogo.

Huu mtindo mpya wa kuhusisha maisha ya mtu na ushabiki wake wa kisiasa utatuvuruga sana watanzania.
 
Kuwa mwanaCcm haikufanyi ushindwe kupinga udhalimu. Hiki kitu naona wengi hamuelewi.
 
hivi hawa hawajui kuwa Diamond is bigger than chadema. hivi diamond agombee urais na mbowe/lissu/lema nani atapata kura nyingi
Diamond pamoja na umaarufu wake Hana qualifications za kuwa Rais. Standard seven Hana uwezo wa kuoongoza hii nchi. Usifikiri urais ni namba ya kutunga verse na kufurahisha watu tuu. Akina mwana FA wanazo angalau qualifications za kugombea urais
 
Aliyekuwa mbunge wa CHADEMA, Mh Godbless Lema ameandika katika mtandao wa Twitter kuwa wapo katika mchakato wa kuondoa kazi/videos za Diamond Platnumz katika mitandao ya YouTube na Facebook. Godbless Lema anadai Diamond amekuwa akijali "njaa" kuliko haki, hivyo kijana Hugo kutoka Tandale ni hatari zaidi ya gaidi.

Diamond ana "tabu" sana mwaka huu!

View attachment 1810929
Kwa hiyo huko uhamishoni ndo mikakati waliyofundishwa kuwang'oa maccm ndo hii? very low😆😆😆
 
Kwanini huyu mjomba tu? Kuna wasanii kibao Tanzania ni wanachama wa CCM na wamefanya kampeni kila mtu aliona, Kwanini yeye tu?
Shida siyo kufanya kampeni Ccm.

Kipindi Naija watu wanauawa Diamond aliweka tweet kupinga yale mauaji. Aisee watu wamnanga sidhani kama huwa anatamani kuangalia ile tweet mara mbilimbili. Unajua ni kwanini?

Wasanii wa Bongo ni wanafiki sana. Matukio yakitokea Bongo wanakaa kimya. Wanalamba matako serikali. Yakitokea huko nje ndio wanajifanya kupiga kelele.

Pitia hiyo Tweet, kama ukishindwa kuelewa watu wanacholalamika sitakuwa na cha kukusaidia.
 
Sio rahisi kama anavyodhani. Hiyo sio mitqndao ya chadema...

Ungeandika bila neno chadema ungeonekana una maana! ILA kwa sababu unetanguliza ujinga na akiIi unaitumia tu kutafuta herufi za kutype na Sio kuwa unachotype haya ndo madhara yake
 
Huku ni kuingilia uhuru wa mtu.
Mondi ana haki ya kushabikia chama chochote cha siasa na pia kumshabikia mwanasiasa yeyote aliyewekwa na chama chochote cha siasa.

Kushambulia kazi yake kisa tu ni mshabiki wa chama ambacho Lema hakubaliani nacho sio haki hata kidogo.

Huu mtindo mpya wa kuhusisha maisha ya mtu na ushabiki wake wa kisiasa utatuvuruga sana watanzania.
Unamuharibia mwenzako kwa hiyo diamond alikuwa na haki kushabikia wauuaji?
 
Back
Top Bottom