dar es salaam

Dar es Salaam
Dar es Salaam is the largest city and financial hub of Tanzania. With a population of over five million people, Dar es Salaam is the largest city in East Africa and the sixth-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic center and one of the fastest-growing cities in the world.
  1. JanguKamaJangu

    Sheikh wa Dar es Salaam aliyetenguliwa asema hana mpango wa kukata rufaa

    Baada ya Alhad Mussa Salim kutenguliwa nafasi ya kuwa Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam huku nafasi yake ikichukuliwa na Sheikh Walid Omary ambaye amekainishwa nafasi hiyo, Alhad Mussa Salim amesema ataendelea kuwa ndani ya baraza katika nafasi nyingine. Amesema “Sijapewa taarifa rasmi lakini...
  2. R

    Baada ya Shekhe Mkuu wa Dar es Salaam kutenguliwa kituo kinachofuata ni Dkt. Malasusa

    Natabiri kuzalishwa kwa migogoro ya kidini itakayowaandama na kuwavunjia heshima viongozi wote WA Dini walioacha Dini awamu ya tano na kusimama kidete na watesi wa waumini wao. Kuna kamati iliitwa kamati ya Amani ya Dar , ilikuwa na Sura ya kidini lakini mwoneoano wa kisiasa. NI kamati ambayo...
  3. S

    UPATIKANAJI wa Vyombo vya Ndani Vya Mtumba (Dar es salaam)

    Habari zenu wana Jamii F. Naomba msaada kwa yoyote anayejua wapi wanauza vyombo vya ndani vya mtumba(masufuria, sahani, vikombe, urembo etc. Natanguliza shukran
  4. tang'ana

    Shule yetu ya kata ina matokeo mazuri kuliko shule nyingi za Dar

    Hii ni shule ya kata yetu mkoani Mara huko, shule haina muda mrefu tangu ianzishwe.. changamoto ni nyingi sana huko kijijini kwetu lakini ukiangalia matokeo ya hii shule in comparison na mashule mengi ya hapa Dar unaona kabisa hii shule imefanya vizuri sana. Hawa vijana wa Daslamu wasipokuwa...
  5. JanguKamaJangu

    Wakusanya ushuru wa maegesho Dar es Salaam wagoma

    Makusanyo ya maegesho ya magari jijini Dar es Salaam yanayokadiriwa kufikia Sh 25 milioni kwa siku huenda yakatoweka kutokana na mgomo wa wakusanya ushuru huo kutoka kampuni ya Excel Parking Service (EPS). Wakusanya ushuru hao wamegoma wakidai kutolipwa mishahara yao miezi miwili. Tofauti na...
  6. GENTAMYCINE

    RPC wa Dar es Salaam Muliro una Taarifa kuwa Mauwaji ya Kikatili kwa Madereva Bodaboda yamerejea tena?

    Ndani ya Wiki Moja nimetoka Kuhudhuria Misiba ya Madereva Bodaboda Wawili ( tena Vijana kabisa Masikini ya Mungu ) na Wote wameuwa Kikatili ( Kishalubela ) na Watu wanaowapora Pikipiki zao huku Wakiwatoboa na Kuwanyofoa Macho yao. Muda huu huu kuna Mwana ( Rafiki ) nae ananiambia atachelewa...
  7. Saa 7 mchana

    Msaada: Ratiba za minada ya wiki mkoani Dar es Salaam

    Mwenye kufahamu ratiba ya midana mkoa Dar es Salaam naomba anisaidie. Si lazima ujue ratiba ya minada yote ndio ushare, hata huo mmoja unaoufahamu ukichangia itasaidia sana. Asante
  8. Superbug

    Jengo la kitega uchumi Dar es Salaam

    Jengo hili ambalo miaka ya 80/90 ndio lilikuwa refu kuliko yote Dar es Salaam; lilijengwa miaka ya 60 na Dr Krizant Mzindakaya. Ndiye aliyesimamia ujenzi wake kwa gharama ya 40000/=tsh, ndio elfu arobaini tu!
  9. T

    Kuna siri gani tumehamishiwa wakuu wote wa wilaya za Dar?

    Nimeshtushwa sana baada ya kuona wakuu wote wa wilaya za Dar wakihamiswa kwa mpigo sijajua nini maana yake. Yaweza kuwa ni taa ya kijani kwa mkuu wa mkoa pia?
  10. A

    DOKEZO University of Dar es Salaam Business School (UDBS), kuvuja kwa mtihani (test) ya Information Management Systems (IM 305), uliofanyika tarehe 18/01/022

    Wakuu, Kama kichwa cha thread kinavyosema. Siku ya tarehe 18/02/2022 Saa saba Kamili ulifanyika mtihani wa INFORMATION MANAGEMENT SYSTEMS (IM 305). Baada ya kutoka kwenye mtihani huo, wanafunzi baadhi walionekana kuwa na huo mtihani kwenye simu zao, ukionekana kupigwa picha mapema kabla ya...
  11. GENTAMYCINE

    DAWASA kwanini mmekata Maji bila Taarifa Kawe huku mkijua kuwa ndiyo Dar es Salaam na Tanzania?

    Kwanza kwanini mkate Maji eneo la Kawe? Hivi hamjui kabisa kuwa Kawe wanakaa akina nani? Mnataka Kazi au hamtaki? Watendaji wa DAWASA kwa sasa naumalizia Usingizi wangu ila nikiamka Saa 2 Kamili naomba nikute Mabomba yote ya Kawe yanatiririsha Maji vinginevyo nitakuja hapo Ofisini Kwenu na...
  12. Roving Journalist

    Waziri Masauni akutana na kuzungumza na Mabalozi wa Uingereza, India, Palestina na UNHCR Nchini, Jijini Dar Es Salaam Leo Januari 24, 2023

    Na Mwandishi Wetu, MoHA Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amekutana na kufanya mazungumzo na mabalozi wa nchi za Uingereza, India, Palestina pamoja na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR) kwa nyakati tofauti kuhusu ushirikiano...
  13. BARD AI

    Ripoti: Zaidi ya Nusu ya Wanawake wa Dar es Salaam wana uzito uliopitiliza

    Licha ya jitihada zinazofanywa na wanawake waishio mjini ikiwamo jijini Dar es Salaam, ripoti ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) inaonyesha idadi ya wanaoelemewa na uzito inaongezeka. Ripoti hiyo ya utafiti wa Ufuatiliaji wa Kaya (NPS) ya mwaka 2020/21 inaonyesha asilimia 47 ya wanawake wenye...
  14. BARD AI

    Uber yarejea kutoa huduma za usafiri Dar

    Kampuni ya huduma za usafiri kwa njia ya mtandao ya Uber Limited, imetangaza kuresha huduma zake rasmi baada ya kuisimamisha huduma hiyo tangu Aprili 2021. Kampuni hiyo hiyo iliyositisha huduma zake Aprili 2022, ikipinga kanuni mpya za usafiri wa teksi mtandaoni zilizotangazwa na Mamlaka ya...
  15. Fbn

    Msiofahamu maeneo ya Dar es Salaam kwenye mahusiano tambueni hili

    Tuliozaliwa Dar ndio tunajua eneo fulani ukipenda huko kubari matokeo yake au majibu yake. Watu wengi wanakuja dar na kujikuta wameingia kwenye mahusiano na wenyeji au wakuja waliozoea. leo tunabaki kusema mikoa na makabila ila tuje Dar na wananchi wake: Kinondoni Hapa mapenzi kila mtu mjuaji...
  16. CM 1774858

    Halmashauri Kuu ya CCM chini ya Mwenyekiti wake Rais Dkt Samia Suluhu Hassan imeketi Leo Ikulu Jijini Dar es Salaam

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan ameongoza kikao Maalum cha Halmashauri Kuu ya Taifa kilichofanyika leo Jumamosi tarehe 14, Januari , 2023 Ikulu Jijini Dar Es Salaam. Ndg Dkt Samia Suluhu Hassan akiwa ni mwenye bashasha...
  17. complex31

    Hatua za kukabiliana na joto la Dar es Salaam

    Kwa hali ilivo Dar es Salaam wakati huu sio ya kawaida. Joto lililopo wakati huu linatukumbusha kufanya vitu vingi sana kwanzia kwenye miili yetu mpaka maeneo tunayoishi au kushinda. Unapaswa kunjwa maji mengi ya kutosha, kama hauendi haja ndogo mara kwa mara na ukienda mkojo unakua na rangi ya...
  18. Chance ndoto

    Phone4Sale Nauza iPhone 13 na 15

    Nauza iphone 13 plain Used 2 months UK GB 128 Bh 100 Inakuja na boksi yake na original usb charge wire haijawhi tumika. 1,800,000ml Tsh Dsm location 0783985530
  19. IamBrianLeeSnr

    Serikali kufanya kongamano la kwanza la kodi kitaifa, linalotarajiwa kufanyika Januari 11, 2023 jijini dar es salaam katika ukumbi wa JNICC

    Serikali kupitia Wizara ya Fedha na Mipango imeanzisha Kongamano la Kodi Kitaifa litakalowashirikisha wadau mbalimbali ikiwemo Sekta Binafsi ili kajadili namna ya kuboresha Sera za Kodi, kuchochea ukuaji wa uchumi, biashara na uwekezaji nchini. Hayo yameelezwa na Kamishna wa Sera kutoka wizara...
  20. M

    Vivuko vya Azam pale feri Dar es salaam kuna dalili za Ufisadi

    Nimepita maeneo ya feri Dar es Salaam kwa ajili ya kuvuka kwenda upande wa Kigamboni. Nilichokiona pale kwa kweli kimenifikirisha na kunitafakarisha sana na kunifanya niwaze sana juu ya mustakbali wa nchi hii. 1. Kuna dalili kampuni ya Azam imepewa dili kinyemela kufanya kazi ya kuvusha watu...
Back
Top Bottom