Jean JINI Baleke karejea Dar es Salaam na Simba SC hivyo taabu iko pale pale

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,689
109,119
Mwambieni Yule Meno Kuungua wenu, mla Mirungi na Mporwa Wake zake aliyeandika katika Instagram Page yake kuwa Baleke kaondoka rasmi Simba SC kuwa amerejea rasmi Tanzania na Simba SC hivyo asipende kuwa na Kiherehere.

Imeisha hiyo.....!!
 
Kuwa mstaarabu ANGALAU KIDOGO hata kwa post moja tu!
Unaujua ustaarabu dogo?
Screenshot_2023-07-10-15-41-29-776_com.instagram.android~2.jpg
 
Kilema si tatizo . Tatizo ni tabia
View attachment 2683977
Unge-question personality yake siyo kukejeli ulemavu wake. Kama bado unazaa, basi sali sana kwani Mungu anaweza kukuzawadia mtoto ambaye ama atakuwa mbilikimo au atakuwa na ulemavu wa ngozi pia. Hayo yanatokea katika familia yoyote randomly wala siyo genetic na wala haina ujanja wa kuyazuia.
 
😀😀😀 ujinga mwingine bana yaani dume unalala unamuwaza mwanaume mwenzako tu.... Haya karudi kipeleke basi akifaidi!
 
Mwambieni Yule Meno Kuungua wenu, mla Mirungi na Mporwa Wake zake aliyeandika katika Instagram Page yake kuwa Baleke kaondoka rasmi Simba SC kuwa amerejea rasmi Tanzania na Simba SC hivyo asipende kuwa na Kiherehere.

Imeisha hiyo.....!!
baleke nae wakumtegemea,dah
 
Back
Top Bottom