Dar es Salaam is the largest city and financial hub of Tanzania. With a population of over five million people, Dar es Salaam is the largest city in East Africa and the sixth-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic center and one of the fastest-growing cities in the world.
Mhasibu wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, Alinanuswe Mwasasumbe (60) amefikishwa katika Mahakaka ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na mashtaka 13 yakiwemo ya kughushi nyaraka, matumizi mabaya ya madaraka, kutakatisha fedha na kuisababishia hasara Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam ya...
Tarehe 21 Juni, wanafunzi wa shule za upili wa Taasisi ya Confucius katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Tanzania (UDSM) walitembelea chuo kikuu cha wazi cha Jinhua, mkoani Zhejiang, China, ambapo walijifunza utamaduni wa sikukuu ya jadi ya China –Duanwu.
Sikukuu ya Duanwu ni moja ya sikukuu nne...
Description
To work as a cashier
Minimum Education O-Level
QUALIFICATION: Minimum NBAA DIPLOMA IN ACCOUNTS
Send your CV and application letter to: teseandtecho@gmail.com
Deadline; 10 JULY 2023
TANTRADE yapokea vizimba vya mabanda ya kisasa kwa ajili ya maonesho ya 47 ya biashara ya kimataifa ya Dar es salaam (sabasaba)
Mkurugenzi mkuu wa mamlaka ya maendeleo ya biashara Tanzania (TANTRADE) Bi. Latifa Khamis leo tarehe 22 Juni, 2023 amepokea udhamini wa viti, meza na vizimba 170 vya...
Nchi yetu kila kitu kinahitaji ubinafsishaji; mfano mdogo sana na chuo kikongwe cha Dar es salaam. Mwezi wa pili tuliona wanafunzi wakilalamika hadi kutaka kuandamana ndipo wakatoa vyeti. Leo tena kampuni yetu inafanyisha usahili wanafunzi wa UDSM wanakuja na matokeo. Ukiuliza wanakujibu...
Kumekuwa na mzozo mkubwa kuhusu hii bandari ya Dar es salaam na DP World.
Sio vibaya kuwa na wawekezaji katika nchi lakini tuangalie na mikataba tunayoingia nao, twende mbele turudi nyuma ufanisi wa Bandari ya ya Dar es salaam ni mbovu kupita maelezo yani haufai.
Naongea hivi nikiwa na...
Kumekuwa na malalamiko makubwa sana kwa bandari ya Dar es Salaam kukabidhiwa kwa DP World, lakini sababu kubwa zaidi ni wizi wa mapato ya Serikali uliokithiri pamoja na dhuluma kubwa kwa wateja wanaoagiza mizigo bandarini.
Mizigo inayopita bandarini ni mingi sana lakini Serikali imekuwa haipati...
Habari wanajamvi,
Niende kwenye mada moja kwa moja. Nataka kufungua banda la chips hapo Dar, mm nikiwa makazi yangu yapo Tanga .Nataka nimueke kijana afanye kazi ili kila siku anitumie faida au kila mwisho wa week.
Kwanini Dar kwa sababu fursa kuwa kubwa kwa sababu ya mzunguko wa watu kuwa...
Ninachojua NSSSF Ina hela nyingi Inashindwaje kuchukua biashara muhimu ya bandari ya Dar es Salaam?
Tusipende kuwainua mataifa mengine kuliko sisi. Hata sisi tunaweza, kuna mijengo ya matrillioni ya NSSSF, wanashindwa kununua mitambo ya kunyanyua makontena?
SERIKALI ya Tanzania, imeshauriwa kurekebisha baadhi ya vifungu vinavyolalamikiwa na wananchi katika mkataba wa ushirikiano wa kuendesha bandari ya Dar es Salaam, kati yake na Kampuni ya Dubai Port World (DP World).
Ushauri huo umetolewa leo tarehe 19 Juni 2023, katika mjadala wa kulinda na...
Nimeona chanel ten mkuu wetu wa mkoa wa Dar es Salaam amewakaribisha wale wote ambao wangependa kuelewa nini kipo ndani ya mkataba wa mwendeshaji wa bandari yetu, mtausoma, kipengele kwa kipengele, na pengine hata kopi atakupatieni mkalale nazo ili mjiridhishe.
Nashukuru mama Samia kwa kuwa...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linawatahadharisha wananchi kuhusu taarifa zinazozagaa kutoka kwa mtu mmoja kuwa kutakuwa na maandamano siku ya Jumatatu Juni 19, 2023 kwenda Ikulu ya Magogoni, Dar es Salaam.
Taarifa hiyo anayodai kuwa aliifikisha Polisi, tayari amejibiwa kwa...
Ndg zangu Watanganyika bila kuwasalimia ninakumbuka kuwa ACT wazalendo na Chadema wametoa msimamo wao kuwa bandari yetu Isiuzwe kwa warabu au wajomba wa Samia huko Oman.
Je, ni nini msimamo wa CCM? Au wao kukaa kimya Ndio wameshakubali bandari iuzwe?
CCM njooni JF Leo tar 10.6.2023 kabla...
Kazi kwenu si mlikataa kubadiliaha jina sasa “wenyewe” wamekuja kuchukuwa Bandari yao, jina letu la Mji wetu ni Mzizima na siyo Dar es salaam kwanza (Dar es slaam) jina baya hata kulitamka ni shida, …
Plasduce Mbossa, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari, athibitisha kutokuwepo kwa mkataba wa miaka 100: "Upotoshaji ulioenezwa kuhusu mkataba wa miaka 100 ni wa kushtua, hakuna sehemu yoyote katika mkataba iliyotaja kipindi hicho kirefu.
Watu wanaosambaza taarifa hizo walikuwa na...
Ubinafiswaji kwangu naichukulia kama tabia ya wavivu.
Bandari tuwape JKT waiendeshe.
Kweli hatujui source of income kwetu ni ipi? Dah
Mwafrika ni hasara kwa Mungu nahisi!! Miaka 60 ya uhuru hatuwezi kuendesha mambo yetu mpaka tuwapigie magoti watu wengine?
Mkataba Kati ya Serikali ya Tanzania na kampuni ya DPW ya Emirates Dubai umeacha maswali mengi na kuamsha hisia za kudai Katiba mpya kwa nguvu zote.
Ni mkataba ambao ulisainiwa kwa mwendokasi bila kuchukua tahadhari juu ya madhara yake yaliyo dhahiri. Mkataba huu haukubaliki kwa sababu nyingi...
Kwa kweli kuna watu wanajua kubalans maisha ya Dar. Mtu ana mtaji wa elfu 50 anaingiza faida ya elfu 15 mpaka 20 na anaishi Dar vizuri tu.
Nawashangaa sana Wasomi wengi wakipewa milioni 1 wanadai haitoshi wanaishia kuidumbukiza kwenye starehe
Huko hai Kilimanjaro alikozaliwa mwenyekiti wa Chadema Taifa, wananchi wameanza maandamano ya kupinga kuuzwa kwa bandari ya Dar es salaam.
Maandamano hayo yataanzia nyumbani kwa Freeman Mbowe hadi ofisi ya mbunge wa Jimbo la Hai.
Iwapo mbunge huyo wa Jimbo la Hai ataungana na wabunge wengine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.