MURUSI
JF-Expert Member
- Jun 25, 2013
- 4,495
- 8,729
Dar ni jiji limejaa watu waoga watupu na wajinga wengi sana, wapuuzi sana, huwezi linganisha Dar na hata Mbeya au.Mwanza au Arusha kwenye harakati, na pia ni tofauti na Majiji kama Nairobi au Kampala au Harare au Lusaka linapokuja suala la Harakati za Ukombozi.
Tanzania harakati za Ukombozi zinaweza letwa na Miji Mingine kama.Mwanza, Mbeya, Arusha na hata Morogoro ila sio Dar. Wakati wa Mugabe Jiji la Harare ndio sehemu ilikuwa inamsumbua sana Mugabe.
Nairobi ndio kitovu cha harakati za Ukombozi Kenya, Kampala ndio kitovu cha harakati za ukombozi Uganda.