dar es salaam

Dar es Salaam
Dar es Salaam is the largest city and financial hub of Tanzania. With a population of over five million people, Dar es Salaam is the largest city in East Africa and the sixth-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic center and one of the fastest-growing cities in the world.
  1. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania TPA: Serikali haijaipa DP World Kandarasi ya undeshaji Bandari ya Dar es Salaam kwa Miaka 100

    Tarehe 5 Juni 2023, Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lilitoa Taarifa kwa Umma kuhusu mwaliko wa Wadau wote kutoa maoni kuhusu Azimio la Bunge la mapendekezo ya Kuridhia Makubaliano kati ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania a Serikali ya Dubai kuhusu ushirikiano wa Kiuchumi na...
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Nini kipo nyuma ya Mkataba wa miaka 100 ya ukodishaji wa Bandari ya Dar es Salaam kwa DP World?

    Wakuu, kuna tetesi zinasambaa kuwa baadhi ya Wabunge wamelipwa fedha ili kuupigia kura ya ndiyo mkataba huo wenye utata. Pia inatumika nguvu kubwa kuonesha vigezo vyote vimefuatwa ambapo kwa sasa kuna wanaoitwa Wadau wameitwa kwaajili ya kujadili kwa haraka halafu itaingizwa kwenye maelezo ya...
  3. M

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila, PR yako ya kumsafisha rais juu ya shida ya Maji jijini wana Dar es salaam hatudanganyiki

    Siku hizi RC Chalamila kila akipata fursa ya kuzungumza mbele ya rais, haachi kutoa data zenye ukakasi kuhusu suala la maji jijini Dar es salaam. Amekuwa mara kwa mara akitoa data kuwa rais katoa fedha kujenga miundo mbinu ya maji hapa na pale jijini, hata hivyo hanukuu ni bajeti ipi hizo pesa...
  4. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Cecil David Mwambe - Wawekezaji Mradi wa LNG badala ya Kutumia Bandari ya Dar es Salaam Watumie Bandari ⛵ na Uwanja wa Ndege wa Mtwara na Lindi

    MHE. CECIL MWAMBE - MRADI WA LNG WAWEKEZAJI WATUMIE BANDARI NA UWANJA WA NDEGE WA MTWARA NA LINDI BADALA YA DAR ES SALAAM Mbunge wa Jimbo la Ndanda, Mhe. Cecil David Mwambe wakati akichangia bajeti ya Wizara ya Nishati amesema ni vyema wawekezaji wa mradi wa LNG badala ya kutumia Bandari ya Dar...
  5. benzemah

    JamiiForums Tanzania Zambia yaipongeza Tanzania kwa maboresho bandari ya Dar es Salaam

    Waziri wa Uchukuzi na Usafirishaji wa Serikali ya Zambia Mhe. Frank Tayali ameipongeza Serikali ya Tanzania na Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania-TPA kwa maboresho makubwa ya kimiundombinu yanayotekelezwa katika Bandari ya Dar es Salaam. Akizungumza wakati akifungua Kongamano la...
  6. Annie X6

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa was Dar es Salaam tuma watu wako Mbezi Louis

    Tahadhali ubungo stendi ya daladala si salama. Stend ya daladala njia ya ngazi inayounganisha stend yq juu na chini sio salama. Sio usiku mchana Wala jioni watu ni wengi sana. Lete watu wenu wananusalama wasaidie yaani msongamano madhara makubwa yatatokea. Wizi. Magonjwa. KERO. Nktafadhalini
  7. Mcanada

    JamiiForums Tanzania Mwenye ramani ya Mkoa wa Dar es salaam naomba PDF/picha yake

    Habari ndugu zangu leo sina mengi naomba mwenye ramani ya mkoa wa dar es salaam inayoonesha mipaka ya wilaya na mitaa yake aniwekee hapa kwa mfumo wa PDF au picha kwa mfumo wa JPGE/PNG nina uhitaji nayo muhimu sana, nitashukuru sana kwa msaada huo. Mungu awabariki, karibuni sana canada.
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Just In: Wachezaji mahiri Watatu wa USM Alger FC jana hawakucheza Dar es Salaam kwa Mkapa

    Mmoja ni Mshambuliaji, Mmoja ni Kiungo na mwingine ni Winga wa Kushoto. Baada ya GENTAMYCINE kuipata hii Taarifa naanza kuona Timu Moja ikifungwa hata Goli 7 Ni Mwendo wa Kuwakera tu JF.
  9. Cetshwayo Kampande

    JamiiForums Tanzania Chalamila: Huwezi kukwepa kelele Dar es Salaam

    Kasema leo, Dar ni jiji la biashara, wasiopenda kelele waende Dodoma, watu watafute pesa, wale bia, mziki mnene. Maana wanachangia maendeleo ya jiji. ========== Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amewaomba Wakazi wa Mkoa wa Dar es salaam kufanya starehe ambazo hazitokuwa na...
  10. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania SoC03 Faida za Kubinafsisha Bandari ya Dar es Salaam ni Nyingi. Lakini Changamoto Tatu (3) Zinapaswa Kudhibitiwa Ili Tuweze Nufaika Zaidi

    UTANGULIZI Bandari ya Dar es Salaam, ambayo ni moja ya bandari kubwa na muhimu zaidi barani Afrika, imekuwa chanzo cha fursa na maendeleo kwa Tanzania. Hivi karibuni, kumekuwa na mazungumzo kuhusu ubinafsishaji wa bandari hii ili kuongeza ufanisi, kupanua huduma, na kuchochea ukuaji wa uchumi...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam imeitika na Tanzania imesimama, Mageti yafunguliwe isije kuleta maafa mengine

    Ninachokishuhudia hapa benjamini mkapa ni rekodi ya aina yake kwa nyomi ya mashabiki waliojazana hapa, na bado barabara ziko bize uelekeo ni benjamini mkapa, hakika ni mechi ya kihistoria, Serikali walipaswa kufungua mageti kuanzia saa 2 asubuhi ili kuepusha maafa yanayoweza kutokea hapa, watu...
  12. Abacseleman

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yeyote ya kiume

    Natafuta kazi, nipo Dar es Salaam. Kazi yeyote nafanya Kwa mawasiliano: 0672780428
  13. moto nkali

    JamiiForums Tanzania Fundi plaster anahitajika Haraka-Site Bunju Dar es salaam

    Asante
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam: House girl amshtaki bosi wake kwa kutomlipa mshahara kwa miaka Mitano

    Zuhura Ramadhani ambaye ni dada wa kazi za ndani amemshitaki mwajiri wake Khadija Katusi Muoza katika Serikali za Mtaa wa Mpiji Magoe Jijini Dar es Salaam akidai kutolipwa mshahara wake kwa muda wa miaka mitano. Akisimulia kilichotokea Zuhura ambaye kwa sasa ana umri wa miaka 30 anasema...
  15. Nahonyo

    JamiiForums Tanzania Napenda sana kula pweza, ila wauza pweza wa Dar asilimia 99 ni Wachafu na wala hawajui usafi ni nini

    Nimekua mpenzi sana wa kula pweza, ila kula pweza Dar, kwa hawa wauzaji wetu barabarani, inataka uwe unafanana nao, usijue uchafu ni nini. Unaona mtu amechagua mkia wa pweza, anaomba akatie vipande, jamaa anashika kwa mkono tu bila kunawa, akili ya kutumia uma, kushikia pweza anaekatwa hawana...
  16. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Bandari ya Dar es Salaam yaipita Bandari ya Mombasa kwa Ufanisi, Kulingana na Benki ya Dunia

    Benki ya Dunia imetoa ripoti inayoonesha Bandari ya Dar ndio inaongoza Kwa Ufanisi katika kuhudumia wateja ikiwemo kuondoa makasha Kwa haraka na kutokuwepo Kwa urasimu.. Taarifa ya WB inasema Bandarinya Dar sanjali na Djibouti zimeiacha Mbali Bandari ya Mombasa.. Hongera sana mkurugenzi Mpya...
  17. Black Opal

    JamiiForums Tanzania Wazazi mnafatilia kweli kujua mabasi ya shule yanayobeba watoto wenu yana hali gani? Au mkishalipa hela mmemaliza?

    Habari Wakuu, Leo asubuhi wakati naenda kwenye michakato yangu nimekutana na magari mawili njiani yakiwa na wanafunzi, kwakweli yanaogopesha na inatisha. Gari moja lilikuwa la wanafunzi na jingine la mtu binafsi lakini pia limebeba wanafunzi. Gari lililobeba wanafunzi, gari la Shule ya St...
  18. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Yanga kushinda 1-0 dhidi ya USM Alger Dar es Salaam

    Kwanza nitoe pongezi kwa Yanga na MASHABIKI wake kwa kutinga Fainali kunako michuano ya Kombe la shirikisho barani Africa. Mchezo wa Yanga na USM alger katika dimba la nyumbani hautakiwi kuwa na magoli mengi Kama ule wa marudiano. Utabiri wangu Yanga Vs Usm Alger FT 1-0
  19. Jemima Mrembo

    JamiiForums Tanzania Jipatie Japanese hand fans kwa 10'000 tu free delivery in Dar es Salaam.

    Call +255755233968 nitakufikishia ulipo
  20. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam. Shule binafsi zalia na utitiri wa kodi

    Wakati Bunge likiipitisha bajeti ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia ya mwaka 2023/24, wabunge wamebainisha changamoto lukuki zinazozorotesha ubora wa elimu nchini, ukiwamo utitiri wa kodi kwenye shule binafsi. Changamoto nyingine zilizoainishwa na wabunge wakati wakichangia bajeti ya...
Back
Top Bottom