covid-19

Testing for the respiratory illness coronavirus disease 2019 (COVID-19) and the associated SARS-CoV-2 virus can be done by polymerase chain reaction (PCR) testing, nucleic acid tests and ELISA antibody test kits. One study published in February 2020 claims that chest CT scans perform better than PCR tests.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    Maoni yangu kuhusu Serikali kukataza watu kutoka kwenye nyumba zao kupambana na Covid-19

    Ukweli ni kwamba kuna watu lazima tutoke ndio tupate angalau kidogo cha kulisha familia. Ikatokea serikali imechukua hatua kama za Rwanda, Kenya na nchi nyingine zilizoamua kuchukua hatua ya Lockdown basi ni kiama kwa baadhi yetu. Majuzi nilikuwa naongea na Dereva daladala mmoja anasema sasa...
  2. Pascal Mayalla

    Corona: Japo ni janga, pia ni fursa. Tanzania bado hakuna maambukizi, tupunguze panic, tuongeze Elimu. WB kumwaga mihela, tuchangamkie fursa

    Wanabodi, Kuna msemo wa Kiswahili usemao "Kufa Kufaana", wakati watu wanahangaika na janga la Corona, wengine wanaangazia namna ya kutumia changamoto kuzibadili kiwa fursa, yaani turning problems, obstacles, challenges or adversaries into opportunities. Tangu dunia na taifa letu kukumbwa na...
  3. B

    Covid-19: Ugonjwa wa Corona ushauri wa bure kwako Rais Magufuli

    Moja kwa moja kwako kwenye mada. Hatimaye ninakundikia wewe ushauri huu wa bure nikifahamu fika kuwa hujapungukiwa na washauri, na kuwa uko nao washauri walio mahiri kabisa, wenye kulipwa vilivyo kutokana na kazi hiyo. Hata hivyo kumbuka mheshimiwa, Goliath lilikuwa jitu la kutisha (lenye...
  4. Daisy Llilies

    Covid-19: employment advice for people living with HIV

    24/03/2020 by Rosalie Hayes, In response to queries from individuals living with HIV and our colleagues in the sector, we have sought legal advice from Leigh Day on the employment rights of people living with HIV in the context of the COVID-19 pandemic, which we outline below. If you think...
  5. Sky Eclat

    Prince Albert Responds to Speculation That He Gave Prince Charles COVID-19

    “I don’t think I can be accused of having contaminated him,” the Prince of Monaco says. When Clarence House announced the news that Prince Charles tested positive for COVID-19, they made it clear that it is unknown when or from whom he contracted the disease. “It is not possible to ascertain...
  6. Sky Eclat

    Coronavirus: What we still don't know about Covid-19

    It feels like an eternity ago, but the world only became aware of the coronavirus in December. Despite incredible efforts by scientists around the world, there is still much we do not understand, and we are all now part of a planet-wide experiment trying to find answers. Here are some of the...
  7. Erythrocyte

    COVID-19 : Naibu Waziri wa Afya aipongeza JamiiForums kwa elimu iliyotukuka

    Dr Faustine Ndungulile ambaye ni Naibu Waziri wa Afya ameipongeza na kuishukuru Jf kwa uchambuzi makini na kuelimisha Jamii kuhusu Ugonjwa wa Corona . Hii ni heshima kubwa sana kwa Wanachama wote wa JF Wito: Tuendelee kuelimisha wananchi wenzetu namna bora ya kujikinga na Corona . Mungu...
  8. Dr Mathew Togolani Mndeme

    Kudhibiti Covid-19 hakuhitaji hatua za kukurupuka, taharuki wala kuiga: kilichotokea leo Kenya nilitahadharisha siku ya kwanza

    SEHEMU YA KWANZA Siku Kenya walipotangaza kwa mara ya kwanza kwamba wana mgonjwa wa Covid-19 na hatua walizochukua, niliandika hapa na kwingine kukosoa uharaka na ukubwa wa hatua walizozichukua. Nilisema huwezi kupambana na mlipuko uliofikia ngazi za Pandemic kwa kuchukua hatua kubwa (drastic...
  9. MsemajiUkweli

    Janga la COVID-19: Naipongeza Serikali kwa kukataa kuiga baadhi ya mbinu za ’Nchi za Magharibi’

    Kumekuwa na shinikizo kutoka kwa baadhi ya watu hasa wanasiasa kutaka Rais Magufuli na serikali yake wafunge mipaka ya nchi na kutoa tamko la kuwataka/kuwalazimisha wananchi wabakie majumbani mwao ili ‘’ kupambana’’ na maambukizi ya virusi vinavyosababisha ugonjwa wa COVID-19 yasisambae nchini...
  10. Saint Ivuga

    Waziri Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson apata maambukizi ya CoronaVirus

    Prime Minister Boris Johnson has tested positive for coronavirus, Downing Street has said. Kupitia ukurasa wake wa Twitter, Waziri huyo amethibitisha kuwa na maambukizi huku akiwa na dalili za kawaida za #Covid_19 Amesema yupo karantini na ataendelea kuwa kiongozi wa Serikali katika kupambana...
  11. Dr Mathew Togolani Mndeme

    Mapambano dhidi ya Covid-19 Tanzania na kwingineko Afrika: Watafiti na wanasayansi wetu mko wapi na munasemaje?

    Ninaandika uchambuzi huu kwa dhumuni moja kubwa: Kutimiza jukumu la kitaalamu linalowahitaji wanatafiti/ wanasayansi/ wasomi kutoa elimu kwenye jamii na kushiriki kujadili mambo magumu na mepesi yanayoikabili kwa mtazamo wa kisayansi. Katika vita vya kijeshi dhidi ya aadui wa nchi...
  12. bahati93

    Covid -19 ni junction katika matukio yafuatayo

    Katika history huwa kuna matukio ambayo yana define era. Mfano hilter alipochaguliwa, first atomic bomb, ect. Sasa mambo yameiva zile silaha zilizokuwa zinatengenezwa kwa maficho hakika huu ni muda muafaka wa kutumika. Enyi ndugu zangu napaza sauti yangu mpaka mwisho kaeni chonjo, ngoma...
  13. beth

    Rwanda: Idadi ya walioambukizwa COVID-19 yafikia 50

    Nine more people have been tested positive with the coronavirus with the number adding up to 50 as of press time. The Ministry of Health said five of the cases arrived from Dubai, 1 from USA, 1 from Netherlands (a contact of positive case under treatment) and 2 contacts of previously confirmed...
  14. Mzee Mwanakijiji

    HOJA NDANI YA HOJA: Rais Magufuli na bahati nasibu ya korona - ITALIPA?

    Nilipoandika makala yangu ya ILIYOPITA kuhusiana na ugonjwa utokanao na virusi vya korona (COVID-19) Tanzania ilikuwa haijtangaza kuwepo kwa mgonjwa yeyote nchini na kuwa makala ile ililenga katika kutoa shime ya kuwahi ugonjwa huo. Nchi zote zilizowahi kuutangaulia ugonjwa huo na kuchukua hatua...
  15. goldcall

    Mizaha na mazoea ndicho kitakachoigharimu Tanzania dhidi ya Covid-19

    Tunaona kabisa mizaha mizaha na siasa kwenye mambo serious kama corona virus, tunaona viongozi wa siasa wanapinga mikusanyiko angali wao wamekusanyika na wamekusanya watu, kwa mitazamo yetu watanzania vile tusivyo penda kujifunza kutoka italia na china, hili gonjwa kama litadhibiwa kisiasa basi...
  16. S

    COVID-19 ni ushahidi kuwa Madaktari na Manesi ni kada zinazostahili kulipwa vizuri sana na pengine kuliko kada zingine zote

    Kabla sijaenda mbali katika uandishi wa bandiko hili,naomba niweke wazi kuwa mimi sio daktari wala nesi bali nina fani tofauti kabisa ila nimesukumwa na ukweli ulio wazi juu ya ugumu na hatari iliopo katika kutumikia kada hizi mbili hasa ya udaktari. Tukirudi kwenye mada,hali ya ugonjwa huu wa...
  17. M

    "They are planning to kill you" The plan behind development of COVID-19 South African Pastor

    Emphatically, the world is like a staged theater where different actors and scenery occurrences are being viewed by spectators and those who are trying to phantom the message and meaning of what is being played out. A staged play with different acts and scenes, that is what is caused by the...
  18. J

    Unafanyaje kuimarisha kinga ya mwili kipindi hiki cha mlipuko wa COVID-19?

    Ugonjwa wa Corona Virus (COVID-19) huathiri zaidi wale ambao kinga yao ya mwili iko chini kama wazee, wajawazito na wale wenye hali nyingine za kiafya kama magonjwa ya pumu na mengine ya mfumo wa upumuaji. Tumekuwa tukipeana mbinu za kujikinga na ugonjwa kama kunawa, kutoshika uso, kukaa ndani...
  19. Return Of Undertaker

    Imethibitika sasa Corona iko mitaani Dar. Napata shaka kwanini Serikali sasa wako Dodoma ghafla hivi

    Makonda kasema mtoto wa Mbowe anaumwa Corona. Katika hili katoa siri ya Serikali ambao wahusika wa kutangaza ni Rais, Waziri Mkuu na Waziri wa Afya. Mbowe kakiri na kusema mwanaye kaipata Dar na sio nje ya nchi. Wakati huo huo serikali na Rais wamehama Dar na wako Dodoma. Mara namsikia...
  20. G Sam

    Nimegundua udhaifu mkubwa sana wa Serikali ya Tanzania katika kukabili suala la COVID-19

    Kwakweli serikali ya Tanzania imelichukilia janga la COVID-19 kama jambo la mzaha kupita kiasi, hali hii imewafanya baadhi ya wananchi kubweteka kupita kiasi kutokana na janga hili. Kwa haya niliyoshuhudia, nachelea kusema kuwa ikitokea COVID-19 ikaiathiri Tanzania kwa kiwango kikubwa basi...
Back
Top Bottom