Rwanda: Idadi ya walioambukizwa COVID-19 yafikia 50

Rwanda: Idadi ya walioambukizwa COVID-19 yafikia 50

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,881
Reaction score
6,377
Nine more people have been tested positive with the coronavirus with the number adding up to 50 as of press time.

The Ministry of Health said five of the cases arrived from Dubai, 1 from USA, 1 from Netherlands (a contact of positive case under treatment) and 2 contacts of previously confirmed positive travelers who have been isolated

MINISANTE.jpeg

Meanwhile in the region, Uganda cases have risen to 14. One of the victims is an 8-month-old baby whose father travelled from Kenya.

Tanzania has confirmed 13 cases, Kenya 31 (1 death), and Burundi has no records although one case in Tanzania had traveled from Burundi.
 
Jameni Rwanda kainchi kao saizi ya mkoa mmoja, mambukizi mengi hivi ni balaa, hiki kitu ni hatari sana. Halafu Burundi haijatajwa kuwa na hata muathirika mmoja, ila hapo naona kwenye taarifa eti mmojawapo wa waathirika Tanzania alitokea Burundi, hivyo ina maana kule kwao ngoma ipo japo kimya kimya.
 
Dada mi naomba nikuulize swali

Hivi wewe ni msemaji mkuu wa habari za corona? Maana kila nyuzi unayoiachia hapa no corona tu
 
Burundi hawana hata hicho kipimo
 
Dada mi naomba nikuulize swali

Hivi wewe ni msemaji mkuu wa habari za corona? Maana kila nyuzi unayoiachia hapa no corona tu

Nikujibu kwa niaba yake, fungulia TV uone kama kuna habari zingine, siku nzima ni corona.....
 
Burundi hawana hata hicho kipimo

Bora hata kutokua nacho maana kinaongeza panic...
Zingatia usafi na mbinu zote za kuepukana na corona, ukiona unaumwa kaa ndani, aidha ufe au upone maana pima pima nyingi ndizo zinasababisha taharuki.
 
Bora hata kutokua nacho maana kinaongeza panic...
Zingatia usafi na mbinu zote za kuepukana na corona, ukiona unaumwa kaa ndani, aidha ufe au upone maana pima pima nyingi ndizo zinasababisha taharuki.
Watu msipopimwa mkagundulika yani ndani ya miezi miwili kinchi kinafutikia mbali. Mfano Marekani au Italy au China kama wasingepimwa si nchi zingepotea. Huyu mdudu ni upepo acha masihara wewe!
 
Watu msipopimwa mkagundulika yani ndani ya miezi miwili kinchi kinafutikia mbali. Mfano Marekani au Italy au China kama wasingepimwa si nchi zingepotea. Huyu mdudu ni upepo acha masihara wewe!

Upime usipime hamna dawa, ingekua nafuu ukipima unapewa dawa za kukuponya, ila kwa sasa ukipima unaambiwa kaa ndani hadi upone, bora kwa wenzetu huko Marekani na Ulaya, wale wana ventilators, ukiona unazidiwa hupumui unaita ambulance inakupeleka kwenye ventilator, hapa Afrika ambulance ipi utaita ije hapo gheto kitaani, na hata ikija itakupeleka wapi.
Hiki kitu ni serious, tuombe wazungu wagundue dawa mapema kabla hakijatamalaki Afrika.
 
Back
Top Bottom