Testing for the respiratory illness coronavirus disease 2019 (COVID-19) and the associated SARS-CoV-2 virus can be done by polymerase chain reaction (PCR) testing, nucleic acid tests and ELISA antibody test kits. One study published in February 2020 claims that chest CT scans perform better than PCR tests.
"Tokeni kafanyeni kazi eti Watu wanafunga maduka, wanajifungia majumbani kisa Corona, mtakufa na njaa, ndio maana leo nawafuatilia wakandarasi, sasa nimkute mkandaraai hayupo site kisa corona, kuna wapuuzi huko wanasema Serikali inadanganya idadi imeongezeka, kwenu kuna Mtu amekufa na corona...
Wenzetu wanatusemaje?
Africa Source by Neil Edwards
Downtown Dar es Salaam, Tanzania. (Flickr/David Stanley)
On March 23, Tanzanian President John Magufuli was widely criticized for encouraging the public to continue to attend places of worship, rather than imposing stringent restrictions to...
China leo imefanya maombolezo ya nchi nzima kuwakumbuka maelfu ya watu waliopoteza maisha kutokana na virusi vya corona. Bendera za taifa zimepepea nusu mlingoti nchi nzima pamoja na kusitisha shughuli zote za burudani.
Siku hii ya maombolezo iliambatana na kuanza kwa sherehe za kila mwaka za...
"Africa is not a laboratory". - Didier Drogba and Samuel Eto'o have both rebuked two racist French Professors, French Professors, Jean-Paul Mira and Camille Locht who said Africans should be used as guinea pigs for the yet-to-be-approved coronavirus vaccine on French TV.
Wapuuzi kabisa hawa na...
Ushauri wa barakoa na mkanganyiko wake
Jana Marekani na Uingereza, ambazo ni nchi zenye nguvu kiuchumi na kuongoza katika ugunduzi na tafiti za kisayansi, zimetoa kauli zinazokinzana kuhusu uvaaji wa barakoa (masks) kama njia ya kujikinga na maambukizi ya ugonjwa wa Corona kwa mtu ambaye...
Kwa tathmini ya Taifa kubwa LA Marekani lililoelemewa na CORONA Sisi mataifa machanga tunahitaji maombi ya mwenyezi Mung u
Nawapa pole Sana Binadamu wenzangu Wamarekani nawaombeni sasa binadamu wenzetu mjifunze kuwa adui yetu si sisi kwa sisi binadamu adui yetu ni yule asiyeonekana
Marekani...
Drogba slams racist COVID-19 comments
Apr 3, 2020 - 01:32 pm By Lorenz Kohler
INTERNATIONAL
Football legends Didier Drogba and Samuel Eto'o have slammed comments made by two French doctors that COVID-19 vaccines should be tested on Africans first.
Drogba labelled the suggestion as taking...
Ni rahisi kuhisi kuzidiwa na kila kitu unachosikia kuhusu #COVID_19. Inaeleweka pia ikiwa watoto wako wanahisi wasiwasi. Watoto wanaweza kupata shida kuelewa kile wanachokiona mtandaoni au kwenye Runinga - au kusikia kutoka kwa watu wengine - kwa hivyo wanaweza kuwa katika hatari ya kuhisi...
Kuna mtu(kiongozi) nimemsikia akisema covid-19 ni term(neno) la kingereza.
Swali :neno hili ni neno la kingereza au hii ni lugha ya kitaalamu inayotumika ku-name virusi wa corona?
Tusaidiane.
Hakuna kazi nyingine zaidi kufanya sex majumbani huko watu walikojifungia kukimbia COVID-19.
Dunia na kila nchi ijiandae na ongezeko kubwa la watu wengi waliopata ujauzito baada ya zoezi hili la kupambana na Corona kufikia tamani. Ama kuna familia zitashindwa kujifungia nyumbani kutokana na mke...
Jana ligi ya Belgium Belgium pro league /Jupiler wametangaza kuicancel ligi yao na kumpa ubingwa Club bruge aliekuwa anaongoza kwa tofauti ya point 15 huku clab ya KAA Gent wakipata nafasi ya kushiriki Uefa kama mshindi wa pili
Katika hali nyingine hakutakuwa na timu kushuka ila zitakuwepo mbili...
Mkuu wa wilaya ya Iringa Richard Kasesela amesema alipigiwa simu na mkuu wa wilaya ya Kinondoni, Dniale Chongolo na akamjulisha kuhusu mtu aliyetoroka karantini.
Mtu huyo baada ya kutoroka Dar alionekana yuko Iringa, uongozi wa wilaya walishirikiana na jeshi la polishi kujua anapokaa mtu huyo...
December mwaka Jana 2019 ulilipuka ugonjwa wa Corona jijini Wuhan nchini China. Hapo hapo Wuhan ikawa Locked. Taharuki ikaanza duniani kote. Idadi ya wanaokufa ikaanza kutolewa ikiongozwa na China.
Kwasababu ugonjwa umeanzia China, na ni nchi ya viwanda, definitely Test Kits za Corona zitaanza...
Maelezo ya mmoja wetu kuhusu hilo yako hivi:-
“Naomba kushare na ninyi jambo moja linasikitisha kidogo. Jana kwenye mitandao ya kijamii hapa China kumeibuka habari ya kuchafua jina letu Tanzania. Kuna mtanzania mwenzetu ameripotiwa kufanya mambo ambayo ni kinyume kabisa na maelekezo tunayopewa...
Serikali ya Rwanda kupitia Rais wake imefanya yafuatayo..
1. Inawajali Wananchi wake mara kwa mara juu ya Ugonjwa
2. Inatoa Msaada wa Vyakula bure kabisa kwa Wananchi wake
3. Inatoa bure kabisa Vifaa vya Kujiinga na Ugonjwa kwa Wananchi wake
4. Waziri wake wa Afya hana Unafiki katika Kutoa...
Kwa mwezi mzima, USA ilikua na kesi 15 tu, walidhani wako salama na wameishinda corona!
Siku 22 za kwanza, Italy walikua na kesi tatu tu!!, walidhani wako salama!!!!
Siku 21 za kwanza, Egypt walikua na kesi 3 tu, walidhani hali iko sawa!!!
siku 26 za kwanza, Spain walikua na kesi 7 tu...
Mosi.
Inabidi tukubali kuwa tayari nchi haina ujanja wowote wa kuepukana na janga hili kwani tayari wagonjwa tunao zaidi zaidi zitafutwe mbinu tu za kupunguza maambukizi.
Pili
Isifungwe miji yote bali baadhi ya miji ambayo itaonekana kinara wa maambukizi
Hii itasaidia shughuli kuendelea...
Habari wana JFs MMU.
Hali si siri tena. Mambo yamebadilika ghafla. Twaweza kusema asante corona! Japo imekuja na mabalaa ya kuugua na baadhi ya vifo huko duniani na Leo Tz R.I.P Issa H. Mtibwa( kama sijakosea jina).
Pamoja na madhara hayo kwa upande mwingine Corona imekuja na matokeo chanya...
Let us take a quick look at the stats of the number of COVID-19 cases across the world, since the outbreak of this deadly pandemic. The USA has 123,000 cases with 3,000 recoveries which stands at 2%. Italy has 92,000 cases with 12,000 recoveries which stands at 13%. Spain's 16%, Germany's 14%...
Waziri wa afya Ummy Mwalimu ametangaza kifo cha mgonjwa wa Corona kilichotokea leo asubuhi katika kituo cha Mlonganzila.
Anakuwa mgonjwa wa kwanza nchini kutangazwa kufa kwa ugonjwa huu.
"Nasikitika kutangaza Kifo cha Kwanza cha Mgonjwa wa COVID-19 hapa nchini Kilichotokea alfajiri ya Leo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.