covid-19

Testing for the respiratory illness coronavirus disease 2019 (COVID-19) and the associated SARS-CoV-2 virus can be done by polymerase chain reaction (PCR) testing, nucleic acid tests and ELISA antibody test kits. One study published in February 2020 claims that chest CT scans perform better than PCR tests.

View More On Wikipedia.org
  1. Sky Eclat

    What Gado says about Covid-19 and Mr Magufuli

  2. Mlenge

    MixTule: Mixture of Vegetables as a Potential Prophylaxis, Cure and Remedy for COVID-19

    There is a sharp contrast between how African nations and the rest of the World utilized traditional medicine in the fight against COVID-19 pandemic outbreak. In Africa, the African traditional medicine was hardly given a chance to fight the epidemic. In Asia, traditional medicine was central to...
  3. S

    Tundu Lissu: Kuna mtu anadanganywa kuwa anaweza tangaza Hali ya Hatari na kuongoza nchi kijeshi bila ridhaa ya Bunge

    Pamoja na aliyoyaandika katika tweet yake, kasisitiza isomwe Ibara ya 90(4). Je, kuna mtu kaanza kufanyia kazi ule ushauri wa Mzee Mwanakijiji alioutoa hapa JF juu ya namna ya kukabiliana na corona? Muda utasema.
  4. Victor Mlaki

    Uhusiano kati ya virusi vinavyosababisha ugonjwa wa COVID-19 na vile vinavyosababisha ugonjwa wa Ukimwi

    Tafiti mbalimbali zinaonesha kuwa virusi vinavyosababisha ugonjwa wa COVID-19 (SARS Cov 2) na vile vinavyosababisha ugonjwa wa Ukimwi (HIV) vinafanana katika mifumo vinayoiathiri na pia tabia zake. 1. Virusi vya HIV vina Ribonucleic acid(RNA) halikadhalika virusi vya Corona vina RNA. 2...
  5. Makanyaga

    Mkasa wa kipekee kuhusu pilikapilika za kujikinga na COVID-19

    Wanabodi: Niwaletee mkasa huu wa kipekee unahusiana na pilika pilika za kujikinga na COVID-19 umemtokea jamaa yangu Jumapili ya tarehe 19/04/2020 akiwa Kanisani kwake Muhimu: Uzi huu unawafaa sana hasa wale ambao tu huwa wana muda na wanapenda kuchambua mambo kwa kina, vinginevyio kama wewe...
  6. Papaa Mobimba

    Naibu Spika Tulia Ackson athibitisha Mbunge mmoja kupata maambukizi ya COVID-19

    Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, amesema kuwa mmoja wa Wabunge wa Bunge hilo amethibitika kuwa ana maambukizi ya Virusi vya Corona. Amesema mbunge huyo anaendelea vizuri na Serikali inaendelea kumuangalia na kumpatia matibabu stahiki. Kwa mujibu wa maelezo ya mbunge huyo...
  7. M-mbabe

    Kwako Waziri Ummy Mwalimu kuhusu maambukizi ya COVID-19: Watanzania tunahitaji kupewa taarifa za kila siku (Daily Updates)

    Kichwa cha uzi kimejitosheleza. Watanzania tunahitaji kujua kinachoendelea kuhusu hili janga. Source ya taarifa za jambo kama hili yapaswa iwe ni mamlaka husika, ambayo ni wizara inayoshughulikia masuala ya afya (hapa Tanzania wizara hii ina jina refu sana). Upande wa pili wa muungano...
  8. goldcall

    Kutokomezwa kwa corona virus itategemeana sana na ukomavu wa viongozi wetu

    unajua kama viongozi wetu walizalau covid-19 ilipo kuwa inaingia nchini,mipaka na airport ziliendelea kufanya kazi, viongozi wachache wakatumia covid kama siasa na kushindana na kukashifiana, na hawa ndio viongozi wetu, wenye uelewa na ufahamu wa aina hiyo! ninapata ukakasi kuamini suruhisho la...
  9. dega

    Misikiti mingi Zanzibar imeshafungwa kukwepa maambukizi ya COVID -19

    Pamoja na mamlaka husika kutozuia mikusanyiko ya kiibada katika kipindi hiki cha hatari cha maambukizo ya ndani. Na pamoja na Ofisi ya Mufti mkuu kuelekeza ufanyaji wa Ibada na hasa upangaji wa mistar (safu) uwe si wakuganda kama sheria inavyotaka badala yake iwe mita moja baina ya mtu na mtu...
  10. Chagu wa Malunde

    Kama Taifa, huu ndio wakati wa kuweka siasa kando. Ni wakati wa kuchukua maamuzi sahihi

    Wantanzania kama taifa tupo katika kipindi kigumu sana.Maambukizi ya huu ugonjwa yameongezeka kwa kasi (Covid -19). Kama taifa inatupasa tuweke siasa kando. Tushikamane ili kupambana na hili janga. Kama jamaa zetu kule China wana namna ya kupambana na huu ugonjwa basi tuwanonog'eze watuambie ni...
  11. kimsboy

    Tatizo la Corona: Wa kulaumiwa ni Serikali kwa asilimia 100%

    Tatizo la Corona wa kulaumiwa ni serikali kwa asilimia 100% nitawalaani mpaka kaburini Nina sababu ya kusema serikali ndo ya kulaumiwa kwa sababu zifuatazo KWANZA kabisa kipindi mwezi wa pili na wa tatu Corona ilivyoanza kuwa serious ninyi mliendelea kuwapokea watalii na wachina tena bila...
  12. introvert

    COVID-19: Uwezo Dhaifu wa Serikali

    WanaJF, Tanzania, kama nchi nyingine zote duniani zinapitia changamoto ya Coronavirus. Hapa kwetu, kwa bahati ya pekee kabisa, tumepata nafasi ya takribani miezi miwili mitatu kujiandaa. Unategemea Serikali yenye wasomi kuwa na mpango wa kudhibiti tatizo hili na kulinda maisha ya raia wake na...
  13. G Sam

    Rais wangu Magufuli, na mwezi huu wa nne utapokea mshahara kama watumishi wengine?

    Rais wangu salamu kwako. Rais wangu, kusema kweli umeniangusha sana na umezidi kuondoa imani yangu kwako. Swali ninalokuuliza: Je, na mwezi huu wa nne utapokea mshahara kama watumishi wengine? Nimeuliza swali hilo kwakuwa bila ya kuhadaa wala kubwabwaja umenifanya mimi pamoja na Watanzania...
  14. Mzururaji

    Rais Magufuli muongeze RC Makonda aongoze mapambano ya Covid-19

    Pole na majukukumu hapo Chato, Mheshimiwa Rais wangu. Baada ya kuwaza sana juu ya kuongezeka kwa idadi ya wagonjwa corona naomba nikuombe bomoa zile kamati muweke RC Makonda aongoze mapambano kwa sababu zangu ninazoziona. Kwanza Makonda akili imesha mkaa sawa sasa hivi naona ameamua kuongoza...
  15. B

    Kwako Rais Magufuli sasa pasipo na kupepesa maneno: Kwa unavyoshughulika na Corona sasa - NO!

    Ni wazi kuwa wenye ujasiri wa kuandika nyuzi kama hizi kwa maslahi ya taifa ndani ya vitisho vilivyopo si wengi, hivyo tafadhalini msiwe sehemu ya kuwanyamazisha. Wanasema nani mwenye kumfunga paka kengele? Ni muhimu sasa bila ya kupoteza muda zaidi wala kumung'unya maneno, tumfunge paka huyu...
  16. The Assassin

    Zanzibar yatangaza wagonjwa wapya 23 wa COVID-19. Idadi ya maambukizi yafikia 58 na 170 kwa Tanzania ( 19.04.2020 )

    WAGONJWA WA COVID-19 WAFIKIA 58 Z’BAR, VIFO VITATU Idadi ya wagonjwa wa Covid-19 visiwani Zanzibar imeongezeka na kufikia 58 na idadi ya waliofariki kwa ugonjwa huo sasa ni watu watatu. Wizara ya Afya Visiwani humo imetangaza leo kuwa kati ya wagonjwa wapya 23, wagonjwa 21 ni Watanzania na...
  17. Erythrocyte

    Naibu Waziri wa Afya Faustine Ndugulile aelezea aina za Barakoa za kuvaa na Utaratibu wa kutengeneza ya kitambaa

    Kuna haja kubwa sana kwa Masuala ya Afya kuzungumzwa na wataalam wa Sekta hiyo tu na si vinginevyo , mtu aliyesomea Kahawa na vitunguu hawezi kuyajua mambo haya . ====== Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Faustine Ndugulile, ametolea Ufafanuzi Clip...
  18. M-mbabe

    Askofu Benson Bagonza: Tumeamua kumuomba Mungu kama Taifa, kweli tumuombe Mungu na siyo kumtukuza au kumsifia mwanadamu yeyote

    Asante Baba Askofu Bagonza. Kama kawaida yako, umeendelea kutufundisha Watanzania njia sahihi ipasayo kuzingatiwa katika ucha Mungu wetu kila iitwapo leo. Mungu akutunze baba yetu. ======= Anaandika Bagonza ( PhD) CORONA: TUOMBE, TUSIOMBEOMBE Vita dhidi ya Corona haiepukiki. Napendekeza...
  19. Abdul Nondo

    Mjadala kuhusu kuvaa barakoa: Majibu yangu kwa Shangazi Maria Sarungi

    Ukweli utabaki pale pale siku zote ni kwamba barakoa aina ya N95 respiratory masks, Surgical masks,FFPI ndio zipo imara kuzuia maambukizi ya Corona .Na kwa mujibu wa Intergrated Pharmacitical company " Varsoy healthcare" na American lung association Barakoa hizi ndio zenye uwezo wa kuzuia...
Back
Top Bottom