Tundu Lissu: Kuna mtu anadanganywa kuwa anaweza tangaza Hali ya Hatari na kuongoza nchi kijeshi bila ridhaa ya Bunge

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,011
144,371
Pamoja na aliyoyaandika katika tweet yake, kasisitiza isomwe Ibara ya 90(4).

4BAD8BA0-855A-499E-B52D-DD8ED7395BFD.png

Je, kuna mtu kaanza kufanyia kazi ule ushauri wa Mzee Mwanakijiji alioutoa hapa JF juu ya namna ya kukabiliana na corona?

Muda utasema.
 
Utaratibu tarehe inayofikisha miaka mitano kamili ikifika bila uchaguzi inakuwa na maana kuwa muda wa rais aliye madarakani unafikia mwisho ....hivyo nchi inaweza kuangukia mikononi kwa JAJI MKUU [literally JESHI Linakua limechukua madaraka ] hadi pale uchaguzi mkuu utakapoitishwa
 
Huyu nae anaanza kuchosha na kelele zake mitandaoni. Si afunge safari aje front line apambane na Jiwe! Kila siku ni kutuletea vifungu vya sheria utasema alitusomesha yeye.. Lissu acha harakati mitandaoni tua bongoland ukinukishe hiki unachokifanya hata watoto wa sekondari tukiwapa smartphone na bundle wanaweza kufanya
 
Ibara gani ya katiba.
 
Fanya wewe tuone kabla ya watoto wa sekondari
 
Huyu nae anaanza kuchosha na kelele zake mitandaoni. Si afunge safari aje front line apambane na Jiwe! Kila siku ni kutuletea vifungu vya sheria utasema alitusomesha yeye.. Lissu acha harakati mitandaoni tua bongoland ukinukishe hiki unachokifanya hata watoto wa sekondari tukiwapa smartphone na bundle wanaweza kufanya
Huyo mbona Ni traitor
 
Back
Top Bottom