Testing for the respiratory illness coronavirus disease 2019 (COVID-19) and the associated SARS-CoV-2 virus can be done by polymerase chain reaction (PCR) testing, nucleic acid tests and ELISA antibody test kits. One study published in February 2020 claims that chest CT scans perform better than PCR tests.
Nauliza hili swali sababu kama wananchi tunataka kufahamu ukweli juu ya hili janga. Tunataka waziri wa afya, au msemaji mkuu wa serikali kila siku awe anatoa taarifa zilizo rasmi.
Mbona nchi za wenzetu ambazo zimekumbwa na hili janga kila siku lazima watoe taarifa rasmi kuhusu...
Ziko taarifa kuwa upo uchunguzi unaoendelea kuhusu tuhuma kuwa China kwa makusudi ama ilizembea au ilizuia utoaji wa taarifa sahihi kuhusu chanzo na kuenea kwa coronavirus pamoja na idadi ya vifo vilivyotokana na janga hilo.
Ikiwa tuhuma hii itathibitishwa, kuna uwezekano wa China kuchukuliwa...
Vitivi cha kuzuia na kudhibiti Magonjwa cha Marekani (CDC) vimejitolea jumla ya dola 6.6 milioni sawa na (Ksh.705 milioni) kwa nchi ya Kenya ili zisaidie katika shughuli za kuzuia na kukabiliana na ugonjwa wa Covid-19.
Katika taarifa iliyotolewa Jumanne, inaeleza kuwa Balozi wa Marekani nchini...
Wakati wanasayansi duniani wakihangaika kupata chanjo na tiba ya virusi vya corona, rais wa Madagascar Andry Rajoelina amezindua dawa ya mitishamba ''inayotibu'' Covid-19 .
Hata hivyo Shirika la Afya Duniani (WHO) linasema kuwa hakuna ushahidi wa tiba ya Covid-19 baada ya Bwana Rajoelina...
Uzi huu ni mrefu.
Ukichangia naomba ujikite Zaidi katika kutoa maoni yako lakini kukosoa kunaruhusiwa.
Binafsi nadhani maamuzi haya yangechukuliwa mwezi mmoja uliopita pale Waziri Mkuu alipotangaza kuzifunga shule na vyuo, lakini haikuwa hivyo badala yake shule zilifungwa kisha hakukuwa na...
afrika
afya
brazil
ccm
corona
covid
covid-19
covid19
hela
jafo
korona
kubwa
lockdown
magufuli
maisha
maombi
mungu
nyuzi
pandemic
pepo
propaganda
rais
serikali
tahadhari
taifa
taifa letu
tanzania
ulaya
ushauri
video
wanawake
watanzania
who
wizara ya afya
Infodemic (plural infodemics) means excessive information about a problem or situation such that the solution is made more complex( information +epidemic)
In today's world pushed with the advancement of science and technology the production, and diffusion of information has increased...
Wana JF,
Janga la Covid-19 lilianzia nchini China katika mji wa Wuhan-Hubei Province mwezi Desemba 2019!
Mpaka leo Taifa la China halijaweka hadharani nini hasa kilitokea kwenye Maabara za WUHAN Institute of Vilorogy(WIV) hadi kupelekea mlipuko huu wa Covid-19.
China imeshakiri kuwa kabla ya...
Kila mtu sasa hivi amechanganyikiwa, watu wanaishi kwa hofu maana elimu au taarifa kuhusu huu ugonjwa zinachanganya.
Mimi binafsi nilitarajia kuwa hata kila baada ya saa moja anakuja mtaalamu wa wizara ya afya na kutoa elimu juu ya huu ugonjwa kwenye Tv. Mfano mmoja tu ni kwenye kuvaa mask ni...
Huwezi kuficha Moshi kwa kufunga milango kwasababu, mambo mawili yatatokea;
Kwanza, Utaumia sana wewe uliyeko ndani kwasababu ya Suffocation na PILI Moshi utachafua sana NYUMBA wakati MOSHI unatafuta pa kutokea na Lazima utatoka tu.
Raisi Mh Magufuli ni binadamu wa kawaida na pia hajui kila...
Coronavirus: Should I start taking vitamin D?
Public Health England is recommending people consider taking daily vitamin D supplements throughout the spring and summer as the coronavirus lockdown continues.
Normally, many of us get enough of it by spending time outdoors. Our skin makes it...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Gilles Muroto, amesema kuwa jana walizuia mkutano wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe kwa lengo la kumlinda yeye pamoja na waandishi, kutopata maambukizi ya COVID-19 na kwamba kama alikuwa na jambo basi angeenda kulisemea Bungeni.
Pia soma > Polisi Dodoma...
Personal body guard wa rais wa Nigeria ndugu Mohamadou Buhari afariki dunia jana. Ofisi ya rais imetaarifu Lawal Mato alifariki kwa kisukari ambayo imemsumbua kwa muda wa miaka mitatu.
Ila Mahasimu wa Buhari ambao bado wanaendelea kusheherekea kifo cha aliyekuwa powerful chief of staff wa...
Raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Mhe. Magufuli anatarajiwa kuzungumza mubashara na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama kuhusu ugonjwa wa Corona kutokea Chato saa 9:45 alasiri leo tarehe 22.4.2020
--
HOTUBA YA RAIS MAGUFULI (KWA UFUPI)
Rais ameshauri tuendelee kutumia njia za...
Wuhan doctors who were critically ill with coronavirus wake up to find that their skin has turned black after virus damaged their liver
Dr Yi and Dr Hu were left fighting for their lives after catching the virus at work
Doctors saved them by hooking them to a life-support machine called ECMO...
Kwa nini serikali yetu kila siku inapenda iwe inakosolewa tuu kwa mambo ambayo inaweza kutumia weledi na kuepusha migongano na jumuia za kimataifa?
Nini kiini hiki cha jeuri hii?
--
Tanzanian authorities on 20 April suspended Talib Ussi Hamad, a journalist with the Tanzania Daima daily...
Amani Iwe Kwenu
Napenda kutoa wito kwa Serikali Yetu ya Awamu ya Tano Kuwapa Likizo Wataalamu wetu kada mbali mbali, hasa waliopo Dar Es Salaam, ili kuwaepusha na janga Hili la Corona Virus Desease 2019.
Nimewasiliana na Mzee mmoja mfanyakazi wa TBS, Ni mtaalamu aliyesomeshwa kwa gharama kubwa...
MELINDA GATES, mke wa bilionea Bill Gates wa Marekani, ameonya kwamba iwapo dunia na hususani Afrika haitachukua hatua za haraka za kukabiliana na janga la virusi vya Corona vinavyosababisha ugonjwa wa COVID-19, maiti za Waafrika zitatapakaa katika kila mitaa ya Afrika mijini na Vijijini.
Bi...
Habari wanajamvi,
Je, kwa hali inayoendelea mnahisi kwa wakulima wa ndani ambao wanalima mazao ya bustani wameathirika au wanaathirika vipi kwa kipindi hiki na je, ikitokea lockdown itaathiri vipi mazao yao kwa kuzingatia mambo yafuatayo:
1. Elimu ya matunzo ya mazao shamba bado dogo na bado...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.