Naibu Waziri: Marufuku kufunga minada ya ng'ombe na samaki kwa kisingizio cha Corona

J

johnthebaptist

JF-Expert Member
29,895
2,000
Naibu waziri wa mifugo na uvuvi mh Ulega amesema ni marufuku kwa watendaji kufunga minada ya ng'ombe na samaki kwa kisingizio cha Corona.

Naibu waziri amesema hayo alipokutana na wafanyabiashara wa soko la ferry jijini Dar na amewataka kuzingatia masharti ya ugonjwa huo.

Source: ITV
 
Syolosu

Syolosu

Senior Member
192
250
johnthebaptist,
Unajiuliza corona had imefika USA Africa iwe ilichelewa kufika?
Et April ndo kutakuwa na mlipuko ..... Wacha shughuli ziendelee maana hata zikizuiwa umeshafika na uwezo wa kupambana nao hatuna .... Itoshe tu Tufanye tunajua style yetu ya umavumbi
 
kinjumbi one

kinjumbi one

JF-Expert Member
1,645
2,000
Dada wa Taifa ukuje huku
Mange anaumia kuona hatujafungiwa ndani. Cha kushangaza anaelewa mazingira ya mfumo wetu wa vyombo vyetu vya usalama. Kama wataamua kufungiwa baadhi ya askari watakuwa matajiri wa kutupwa kwa rushuwa. Au kuna baadhi ya vijana watapoteza viungo vyao kwa kipigo.
 

Forum statistics


Threads
1,425,153

Messages
35,082,647

Members
538,214
Top Bottom