johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,946
- 141,920
Msikiti wa Ngazija uliopo Posta jijini Dar umefungwa kwa muda wa siku 21 kuanzia tarehe 30/03/2020 hadi 19/04/2020 kama hatua ya kupunguza mikusanyiko ya watu.
Uongozi wa Msikiti umesema Uamuzi huo ni mgumu lakini hauna budi kuchukuliwa ili kuwanusuru waumini na risk ya kuweza kupeana maambukizi ya Corona.
Niendelee kuwatakia kwaresma njema!
Uongozi wa Msikiti umesema Uamuzi huo ni mgumu lakini hauna budi kuchukuliwa ili kuwanusuru waumini na risk ya kuweza kupeana maambukizi ya Corona.
Niendelee kuwatakia kwaresma njema!