corona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania India: Watoto mapacha waitwa majina ya Corona na Covid!

    Duniani kun mambo. Kama wewe unafikiri ugonjwa wa Corona ni hatari hata kuutamka, huko India familia imepata mapacha majuzi na wameaua kuwaita watoto hao Corona na Covid! Maisha yanaendelea! ---- Twins born during pandemic named Corona and Covid A boy and a girl born in the midst...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Internatinal Court to decide whether China used Corona Virus as Bioweapon to Attack the World

    A new lawsuit filed with the International Criminal Court (ICC) accuses China of using coronavirus as a bioweapon. Although the theory has already been debunked in the past, a new complaint filed against Beijing claims the deadly virus was engineered in a lab by Chinese scientists. The...
  3. M

    JamiiForums Tanzania "It in not Corona Virus Pandemic "they want to implant Digital ID in people ...Pastor Chris Oyakhilome

    Pastor Chris Oyakhilome, founder of Believers Loveworld aka Christ Embassy, has weighed in on recent developments with a theory about Coronavirus and 5G. The clergyman said what is happening is not a pandemic but a plan by people interested in a New World Order to implant digital IDs in people...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Namna pekee ya kuzuia Corona virus kusambaa

    Covid-19 ugonjwa usababishwao na Corona virus hadi sasa hauna tiba wala chanjo. Waliopona ugonjwa huu wamepona si kwa kuwa walikuwa wakitibiwa Covid-19 bali zaidi kwa bahati zao na kudra za mwenyezi Mungu. Ugonjwa huu unaua. Hata aliyeugua akapona, anaweza kuugua tena na tena, akapona tena au...
  5. cantona55

    JamiiForums Tanzania Fursa ya kuuza magazeti kwa kilo

    ......
  6. M

    JamiiForums Tanzania Population Control advocate Bill Gates say America must Shut down for 10 Weeks to beat Corona Virus...

    EUGENICIST AND POPULATION CONTROL ADVOCATE BILL GATES SAYS UNITED STATES MUST SHUT DOWN FOR A MINIMUM OF 10 WEEKS RIGHT NOW TO BEAT CORONAVIRUS Bill Gates laid out a 3-step process the U.S. government must take to help curb the COVID-19 outbreak that could kill between 100,000 and 240,000...
  7. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Maboresho kutoka Wizara ya Afya juu ya kujikinga na COVID-19

    Tanzania imeboresha hatua za kuchukuliwa ili kuzuia kusambaa kwa maambukizi ya #CoronaVirus kwa Wasafiri na kujuisha hatua za usafirishaji wa bidhaa na huduma Watanzania na wageni wanaoishi nchini wametakiwa kutosafiri kwenda nchi zilizoathiriwa kama hakuna ulazima. Wasafiri wote watakaoingia...
  8. mike2k

    JamiiForums Tanzania Tangled (2010): Animation film iliyotabiri janga la Corona

    Kwa wapenzi wa filamu za disney bila shaka watakuwa wameshawahi kuitazama hii filamu. kiufupi inamhusu binti aitwaye Rapunzel kutoka familia ya kifalme alitekwa akiwa mdogo kwa sababu ya uwezo wa nywele zake ambazo zilikuwa na uwezo wa ajabu wa ku deaging, kuponya etc.binti huyu anatokea kwenye...
  9. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Star TV: Msemaji Mkuu wa Serekali, Dr. Hassan Abbas, azungumzia wajibu wa vyombo vya habari kuripoti janga la Corona

    Wanabodi Wale wenye nafasi, fuatilieni Kipindi cha Jicho Letu Ndani ya Habari ambacho kiko Live on Star TV. Kipindi cha leo, Msemaji Mkuu wa Serekali, Dr. Hassan Abbas, Anazungumzia Wajibu wa Vyombo Vya Habari Kwenye Kuripoti Janga la Ugonjwa wa Corona. Kipindi kinaongozwa na Nguli Dotto...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Unafanyeje biashara kipindi hiki cha Corona?

    Habari za Kwako Mwana Jamii Mwenzangu! Natumaini upo poa na unaendelea kujikinga na Corona iliyokuja kwa kasi 2020, Natumaini Mungu atatuvusha! Wakati China wakiwa wamefunga milango yao na wamerudi makazini na shughuli zikiwa zinaendelea kama kawaida ( masks, sanitizers, kupimwa joto la mwili...
  11. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Virusi vya corona: Wanajeshi wa Rwanda wadaiwa kuwabaka raia wakati wa amri ya kutotoka nje

    Askari watano wa Rwanda wamekamatwa baada ya wakazi wa kitongoji cha mji mkuu wa Kigali kudai waliwabaka wanawake walipokua wakitekeleza sheria ya kukaa nyumbani iliyowekwa kote nchini humo ili kuzuwia mambukizi ya Covid-19, limesema jeshi la Rwanda. Wakazi wa kitongoji cha Nyarutarama...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar balozi Idd Seif yuko kwenye karantini ya Corona

    Balozi Seif Idd anasema baada ya kutoka Cuba ameamua kujiweka katika karantini ya siku 14 nyumbani kwake. Source ITV habari!
  13. Zitto

    JamiiForums Tanzania Zitto: Ushauri wangu kuhusu Mlipuko wa Korona

    Ushauri wangu kuhusu Mlipuko wa Korona- Zitto #COVID19TZA Serikali imethibitisha uwepo wa virusi vya Korona Tanzania. Utulivu ni muhimu kwani kukiwa na maandalizi ya kutosha tunaweza kukabili madhara ya mlipuko huu. Nashauri mambo 3 muhimu sana, kwa maoni yangu. - Tunaona Nchi nyengine kukiwa...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Fahamu ni kwa namna gani unaweza kuongea na Watoto kuhusu mlipuko wa CoronaVirus

    Ni rahisi kuhisi kuzidiwa na kila kitu unachosikia kuhusu #COVID_19. Inaeleweka pia ikiwa watoto wako wanahisi wasiwasi. Watoto wanaweza kupata shida kuelewa kile wanachokiona mtandaoni au kwenye Runinga - au kusikia kutoka kwa watu wengine - kwa hivyo wanaweza kuwa katika hatari ya kuhisi...
  15. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kutafuta wenye CORONA ni sawa na kutafuta wenye mafua makali Afrika

    Waafrika kusini mwa jangwa la Sahara ni wahanga wakubwa wa umaskini (poverty), magonjwa ya kuambukiza kwa njia ya hewa kama TB, flu kali kabisa. Magonjwa haya yamezoeleka sana ndani ya jamii hizi lakini hakuna watu wanaoyaundia task forces ili kujua nani ana flu na TB na nani amekufa ili...
  16. Anti-Corona

    JamiiForums Tanzania Socialist Countries Zina Nafasi Kubwa Ya Kuishinda Vita ya CORONA Kuliko Democratic Countries

    Katika mwendelezo wa Vita ya kupambana na CORONA (COVID-19),inaonekana dhahiri kwamba nchi za Kidemocrasia (Democratic countries) zimelemewa mno na hili janga zikiongozwa na Marekani na Ulaya kwa Ujumla,tofauti na mitazamo ya wengi hapo mwanzo kwamba pengine China kama Epicenter ya mlipuko huu...
  17. Mr Big

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Video: Namna mkenya alivyompa makavu Uhuru Kenyatta na timu yake kuhusu Corona

    Nadhan Taifa lolote linahitaji watu kama hawa wanaoweza kusema na kuwaambia ukwel pale viongozi wa juu wanapofanya makosa, bila hiana wala uoga. Huyu jamaa ukimwangalia alichokizungumza ni facts, Plz watch out!
  18. W

    JamiiForums Tanzania Story nyepesi nyepesi tunapoanza weekend na Corona hii

    Habari zenu wakuu Tunaanza weekend sio mbaya nikija story nyepesi nyepesi mimi ninatokea kanda maalumu kwa asili ila nimezaliwa DSM na niko hapa maisha yangu yote sasa tokea tuko wadogo tulikuwa tunaenda likizo baba alikuwa anatupeleka hiyo tabia ninayo mpaka leo nikiwaga likizo naendaga kwetu...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Corona: TEC yabadili utaratibu Alhamisi ya amri hakuna kuoshana miguu na Ijumaa kuu hakutakuwa na kuushika na kuubusu msalaba!

    Katibu mkuu wa TEC padre Dr Charles Kitima amesema ili kuendana na maelekezo ya wizara ya afya katika kuikabili corona Kanisa Katoliki limebadili taratibu kadhaa za kiibada siku ya alhamis ya amri (kuu) na Ijumaa kuu. Alhamisi zoezi la kiibada la kuoshwa miguu halitafanyika na Ijumaa kuu...
  20. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Baada ya Corona kuisha sheria ndogo zipitishwe kwenye Halmashauri, maeneo yote ya biashara yawekewe vitakasa mikono

    Yakiwemo maji yanayotiririka na sabuni au sanitilizer. Aidha iwe lazima baada ya COVID-19 kuisha maeneo yote yanayokusanya idadi kubwa ya watu yawe na mapipa madogo ya kuweka taka na iwe marufuku kubwa kwa yeyote kuonekana na taka katika eneo lake la biashara. Maeneo kama vile - Maduka Makubwa...
Back
Top Bottom