corona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    Wapinzani wameshindwa kupata kiki katika Corona

    Wapinzani walianza kidigo kidogo kuchomekea baada ya janga la Corona kuingia nchini baadaye wakamtuma Zito lakini serikari makini imezima kiki zote kwani msemaji mwenye dhamana ni Mh Humi Mwalimu au Waziri mkuu Kassm Majaliwa au makam wa kwanza wa rais mama Samia Hassan kwa sababu chama chao...
  2. Jaslaws

    Serikali na Wizara ya Afya muwe makini na hizi quarantine mlizotenga kwa ajili ya wagonjwa wa Corona

    Heshima kwenu, Naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Kama mwananchi kuna jambo limekuwa likiniumiza sana. Serikali walitenga baadhi ya hoteli kwa ajili ya watu wanaotoka nje kukaa huku wakichunguzwa ugonjwa wa Corona, moja wapo wa hoteli zilizotengwa ni FQ village iko Ukonga Stakishari...
  3. Mkaruka

    Video: Hivi ndivyo kipimo cha Corona Virus kinavyofanyika

    Kwa hapa Tanzania bado tunapima JOTO Unaweza kuona namna hali isivyo shwari. Dunia imefikia hapa kwa kutokuwa serious kwetu kuhusu COVID-19 tang mwanzo.
  4. Sanitizer

    Urusi yaisaidia Marekani kupambana na corona

    Wakuu, ni ukweli sasa Marekani imenyoosha mikono juu kufatilia kuongoza kuwa na cases nyingii za wagonjwa wa COVID-19 kuliko nchi yeyote duniani! Hii imepelekea mpaka Trump kumgeukia mhasimu wake wa muda mrefu na hivyo hapa tunavyoongea ndege ya Urusi ya kijeshi aina ya AntonovAN124 upo angani...
  5. Gily Gru

    Quarantined Corona Virus Jokes

    Hivi wale watu waliosemaga kuwa black hawafi na korona eti inaogopa ngozi nyeusi wapo wapi?? Alafu bhana kuna black people mweusi kama giza la usiku wa manane kaniambia corona virus haipati blacks huku amevaa mask na kwenye mfuko kabeba sanitizer mbili, jamaa kakohoa karibu nae kanawa mpaka uso...
  6. S

    Kufuatia kusambaa kwa Corona (covid-19); Nakusudia kumshitaki Waziri wa Afya, Miundombinu na Mwanasheria Mkuu wa Serikali

    Wana bodi,nataka kufanya public interest litigation kuchallenge ukaidi wa wizara ya uchukuzi. Kwanza kabisa Mimi siyo mwanasheria Mimi ni 'mpima ardhi' aka land saveya. Back kwenye mada, ni hivi kufuatia Kusambaa kwa ugonjwa wa corona (covid 19),hapa nchini kwetu ninakusudia kufungua kesi...
  7. chiembe

    Baada ya janga la Corona kutikisa uchumi, taasisi za kibeberu zimekaa mkao wa kula kusubiri mataifa yakakope

    Taasisi za kibeberu zimekaa mkao wa kula,aliyenacho ataongezewa, jamaa wametikisa uchumi wa dunia na sasa wako tayari kukopesha ili kusaidia hali ya mambo iliyokorogeka. Kutokana na demand kubwa ya kukopa, riba itakuwa juu, na wakopeshaji watachagua wa kukopesha... Kipaumbele watapewa mataifa...
  8. M

    Tukisema China ndiye aliyetengeneza virus vya CORONA tunamaanisha mambo kama haya

    Tazama kipande hiki Cha filamu iliyotengenezwa na kuingia sokoni mwaka 2018. Katika filamu hii virusi vya CORONA vimezungumziwa. Sasa hapo ndo utajua kuwa tamaa ya mchina ndo inayougharimu ulimwengu kwa sasa.
  9. Atubela

    Corona na yaliyojificha nyuma ya pazia

    Ukiiangalia kwa haraka haraka utaona kama ni ugonjwa mfano malaria au TB, kumbe ni zaidi ya tufikiliayo waafrika na haswa mataifa ya dunia ya 3 Huu ni zaidi ya ugonjwa tuufikiliavyo kuna watu washapanga yao tena kwa kuwatumia viongozi wakuu wa nchi zilizo maskini na ambazo bajeti zao kwa...
  10. Kafrican

    CoViD-19: Siku 30 zijazo ndo muhimu zaidi kujitahadhari, angalia hili jedwali hapa

    Kwa mwezi mzima, USA ilikua na kesi 15 tu, walidhani wako salama na wameishinda corona! Siku 22 za kwanza, Italy walikua na kesi tatu tu!!, walidhani wako salama!!!! Siku 21 za kwanza, Egypt walikua na kesi 3 tu, walidhani hali iko sawa!!! siku 26 za kwanza, Spain walikua na kesi 7 tu...
  11. dubu

    Waziri Mkuu Majaliwa atembelea vituo vya kuhudumia wagonjwa wa corona ikiwemo Kibaha

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema Hospitali ya Wilaya ya Kibaha iliyotengwa kwa ajili ya kuwahudumia watu watakaogundulika na kuwa na maambukizi ya COVID19 ni kituo cha tatu Vituo vingine ni Temeke Isolation and Treatment Centre, Treatment Centre karibu na Hospitali ya Mloganzila...
  12. VUTA-NKUVUTE

    Katibu Mwenezi Polepole, malipo ya 'Lumumba Buku 7' yameathiriwaje na Corona?

    Ulipolileta wazo la kuanzisha 'Timu ya Utetezi wa CCM' mitandaoni katika vikao vya kichama ulisifiwa na wazo lako lako likapita. Vijana wakatafutwa na Timu husika ikaundwa ikiwa na jukumu kubwa la kutetea chochote kinachohusu Serikali au CCM au vyote viwili. Timu yetu ya mtandaoni ambayo humu JF...
  13. S

    Marekani: Vifo vya corona vyafikia 4000, watu zaidi ya 900 wamefariki jana pekee

    Hali ya corona yawa mbaya zaidi nchini Marekani. Visa vya maambukizo vilivyothibitishwa vyazidi 180,000. Watu zaidi ya 4,000 wamefariki kwa corona, huku jana (31 March) ikiripotiwa idadi kubwa zaidi ya vifo kwa siku, 912.
  14. Corticopontine

    Ni kweli CORONA ni hatari tena hatari sana tuunganeni na Amiri jeshi mkuu wetu kwenye hii Vita kila mmoja wetu awe chachu ya Mabadiliko be the change

    Ni kweli tangu nijitambue hapa Duniani kwa kuwa na ufahamu sijawahi kuona hofu kama hii inapamba moto Duniani, inaitisha DUNIA kiasi hiki kweli hofu imetawala lakini lazima tuishinde Nawaombeni vijana wa kitanzania huu si wakati wa kuimba nyimbo za vyama, dini, hadhi au kabila huyu mdudu ni...
  15. MakinikiA

    Je, inawezekana chanjo ya Virusi vya Corona kupatikana kwa usawa?

    Je, inawezekana chanjo ya Virusi vya Corona kupatikana kwa usawa? Seth Berkley kutoka Muungano unaotoa Chanjo (kulia, karibu na Bill Gates) akitoa wito wa kupatikana kwa chanjo ya Covid-19 kwa kila mmoja Lakini tayari kuna wasiwasi kuhusu vile suluhisho la virusi vya corona kutoka kwa...
  16. Erythrocyte

    Temeke: Kila kaya kulipia Tsh. 2,000 kama gharama ya kupuliza dawa ya kuangamiza wadudu waletao magonjwa ya mlipuko

    Wakati nchi nyingine wakigawa vyakula bure kwa wananchi wao, kule wilayani Temeke jijini DSM, tayari barua za serikali za mitaa zishaanza kusambazwa kwenye kaya zote za Kata ya Miburani kwamba kila kaya yapaswa kulipia hela za Tanzania shilingi elfu 2 kama gharama ya kupuliza dawa ya kuangamiza...
  17. S

    Ningekuwa na mamlaka, viongozi wa Msikiti wa Ngazija ningewatunuku cheti kutambua mchango wao katika vita dhidi ya corona

    Mimi ni Mkristo lakini niseme tu viongozi wa msikiti huu ni mfano wa kuigwa na viongozi wengine wote wa dini na ningekuwa na mamlaka, hakika ningewatunuku cheti maalumu cha kutambua mchango wao kwa vitendo katika mapambana na janga hili la corona. Inawezekana miongoni mwa vongozi wa Msikiti huu...
  18. J

    Serikali: Mgonjwa wa Corona afariki dunia Mloganzila Hospital

    Waziri wa afya Ummy Mwalimu ametangaza kifo cha mgonjwa wa Corona kilichotokea leo asubuhi katika kituo cha Mlonganzila. Anakuwa mgonjwa wa kwanza nchini kutangazwa kufa kwa ugonjwa huu. "Nasikitika kutangaza Kifo cha Kwanza cha Mgonjwa wa COVID-19 hapa nchini Kilichotokea alfajiri ya Leo...
  19. J

    Corona: Msikiti Ngazija uliopo Posta jijini Dar es Salaam wafungwa kwa siku 21 kuepusha misongamano ya waumini

    Msikiti wa Ngazija uliopo Posta jijini Dar umefungwa kwa muda wa siku 21 kuanzia tarehe 30/03/2020 hadi 19/04/2020 kama hatua ya kupunguza mikusanyiko ya watu. Uongozi wa Msikiti umesema Uamuzi huo ni mgumu lakini hauna budi kuchukuliwa ili kuwanusuru waumini na risk ya kuweza kupeana...
Back
Top Bottom