Umefanya Lockdown na uchumi wako wa kuunga unga unakosa hela ya kuwalipa Madaktari na manesi wanazikimbia Hospitali! Ni majanga zaidi ya CORONA

Corticopontine

JF-Expert Member
Sep 20, 2019
664
1,272
Upeo wa viongozi wa Afrika ni mdogo sana wamejitenga na Madaktari wamejitenga na naturalists, unaambiwa asilimia karibia 100 ya wanaokufa na ugonjwa huu ni wazee kuanzia miaka 70+ kwa huku Afrika ni wachache mnoo almost negligible.

Unaambia mazingira ya kijiografia kiuchumi hayaruhusu viongozi kufanya wanayoyafanya watawaua Raia wao tu hatujui ugonjwa huu utaisha lini.
 
Upeo wa viongozi wa Afrika ni mdogo sana wamejitenga na madaktari wamejitenga na naturalists, unaambia asilimia karibia 100 ya wanaokufaa na ugonjwa huu ni wazee kuanzia miaka 70+ kwa huku Afrika ni wachache mnoo almost negligible,

Unaambia mazingira ya kijiografi kiuchumi hayaruhusu viongozi kufanya wanayoyafanya watawaua RAIA wao tu hatijui ugonjwa huuu utaisha lini
Unataka kusema nini?
 
Hahaha, buku saba FC umehangaika kwa jasho na damu kujenga hoja ukaishia kuleta hiki kitu?

Nakuonaga unachangia pumba sana leo Lumumba wamekupa zamu ya kuanzisha thread ndo ukaja na hii? Hahahahah no wonder nyie ndo washauri wa Stigla joji
Upeo wa viongozi wa Afrika ni mdogo sana wamejitenga na madaktari wamejitenga na naturalists, unaambia asilimia karibia 100 ya wanaokufaa na ugonjwa huu ni wazee kuanzia miaka 70+ kwa huku Afrika ni wachache mnoo almost negligible,

Unaambia mazingira ya kijiografi kiuchumi hayaruhusu viongozi kufanya wanayoyafanya watawaua RAIA wao tu hatijui ugonjwa huuu utaisha lini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii dhana naiona sana, awali niliiona kwa ndugu yangu Pohamba!!

Mimi nasema hivi, ingawaje huo ndio ukweli wenyewe, katu Afrika tusidhani kwamba tupo salama kwa kutumia kigezo cha umri!!

Swali la kujiuliza ni hili: Kwanini huko kwa wenzetu wanaoathirika sana ni wazee?!

Jibu la haraka haraka tunaweza kusema kutokana na umri wao basi kuna uwezekano mkubwa miili yao haina kinga ya kutosha ya kupambana na coronavirus!

Kama issue ni kinga, hata Afrika suala la kinga kwenye miili yetu nalo ni mgogoro kutokana na madhira maradhi mbalimbali kamavile AIDS, HIV, TB, Lishe Duni, n.k!

Kuna mateja na wala bhange kibao Uswahilini ambao hata pesa ya kula hawana!!!

There's no way watu kama hao wanaweza kuwa na kinga ya kutosha mwilini! No wonder hata huo ubavu wa kutoboa hadi miaka 70 hatuna kwa sababu miili yetu ni dhohofu lihali tukiwa bado na umri mdogo!!!

What I mean ni kwamba, kama issue ni kinga inayotokana na uzee wao, Afrika mambo yakichacha watu watadondoka tu kwa sababu tayari kuna mamilioni ya Waafrika ambao ni waathirika wa majanga mengine ambayo yameshawapunguzia kinga pamoja na ujana wao!!!

Salama yake janga lisipige hodi kwa kasi lakini likifanya hivyo, utaikumbuka hii post na kuwafanya watu kutengeneza theory nyingine kwamba "...kama issue ni umri, why in Afrika na wenyewe wanakuputuka in their 40's" na hatimae wataacha kutumia kigezo cha umri na kujikita kwenye suala udhaifu wa miili bila kujali umri!!!
 
Hizo data za wazee wanaokufa asilimia kubwa wana miaka 70 wewe umezipata wapi?
 
Mkuu usiikosee heshima bangi
 
Mnaotaka lock down.
Mnaona wanayowapata WAHINDI?.
wanajuta wanaona bora CORONA KULIKO NJAA.
Wameanza kurudi VIJIJINI
Upeo wa viongozi wa Afrika ni mdogo sana wamejitenga na Madaktari wamejitenga na naturalists, unaambiwa asilimia karibia 100 ya wanaokufa na ugonjwa huu ni wazee kuanzia miaka 70+ kwa huku Afrika ni wachache mnoo almost negligible.

Unaambia mazingira ya kijiografia kiuchumi hayaruhusu viongozi kufanya wanayoyafanya watawaua Raia wao tu hatujui ugonjwa huu utaisha lini.
Screenshot_20200331-080751.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom