corona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. YEHODAYA

    Acheni kuweka password kwenye simu ili.likitokea lolote iwe corona au chochote mawasiliano yawepo

    Mtu aweza dondoka ghafla njiani kwa Corona simu ikiwa na password inakuwa vigumu watu kumsaidia kwa kuwasiliana na nduguze nk ondoeni password mtarudisha corona ikiiisha.
  2. Papaa Mobimba

    COVID-19: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa atangaza ongezeko la Wagonjwa Wapya 196. Visa vyafikia 480

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Ametangaza Ongezeko la Wagonjwa Wapya wa Corona Nchini 196. Tanzania Bara Wagonjwa 174 na Zanzibar 22. Amesema kuwa visa vya maambukizi ya Virusi vya Corona nchini Tanzania vimeongezeka na kufikia 480. Vifo vingine 6 vya wagonjwa COVID-19 vimeongezeka na kufanya...
  3. FRANCIS DA DON

    Video: Mwafrika akiburuzwa kama kiroba cha mchele barabarani huko China kisa Corona

    Inadaiwa kwamba waAfrika ndio wamepeleka Corona China, hivyo wanasulubiwa ipasavyo. Je kuna haja ya kuwawashia moto hawa waChina huku Afrika kama waSauzi kioindi cha Xenophobia?
  4. K

    Abiria 15 bila barakoa kati ya abiria 28 ni kutojali au watu wanajua corona imeisha?

    Habari iwe kwenu wakuu! Leo nilikuwa nimepanda gari kwenda kazini (huwa napanda magari 2 hadi kufika kazini) cha kushangaza kwenye gari la kwanza mpaka nashuka nilihesabu watu wasio na barakoa wakafika 15 na kuna wakati gari ilikuwa na jumla ya watu 28 huku watu 15 wakiwa hawana barakoa...
  5. J

    Waandishi Clouds 360 wamshukia kama mwewe wakili Msando kwa kupotosha kuwa Arusha hali ni mbaya kwa Corona

    Watangazaji wa Clouds tv Sasali, Kabaye na Ngoma wamesema wakili msomi Albert Msando hana haki ya kuwasemea wananchi wa Arusha kuhusu Corona. Ngoma amesema RC Gambo ndio anajua hali halisi ya mkoa wake, Msando anapaswa kuelezea waliofisadi mali za CCM waliowachunguza na siyo Corona. Amesisitiza...
  6. Sky Eclat

    Hii hali ya corona Tanzania tumejifunza

    Hatuko huru kuchagua viongozi tunaowapenda. Mfano tu uchaguzi wa marudio wa Mbunge wa Kinondoni. Uchakachuaji ulikuwa dhahiri. Ilipelekea maandamano yaliyofanywa na raia kuonyesha jinsi ambavyo hawakubaliani na matokeo. Polisi walivamia maandamano yale na kifo cha Akwilina kilitokea...
  7. Pascal Mayalla

    Kumetangazwa hali ya hatari kimya kimya? Huu utoaji taarifa za Corona ni kinyume cha Sheria. Watanzania tuna Haki ya kupata habari za kweli

    Wanabodi, kila nipatapo fursa, huwa nawaletea zile makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa" ambazo huwa zinachapishwa katika gazeti la Habari Leo, kila siku za Jumatano. Ili kuepuka kuitwa popote na kuhojiwa kuwa nimesema kitu fulani, yaani statements, makala hizi huja kwa mtindo wa maswali...
  8. Pearce

    Rais wetu usinyamazie suala hili la Corona litaharibu legacy yako vizazi vijavyo

    Pole kwa majukumu yanayokukabili kila leo kuanzia usalama wa nchi, mahusiano na mataifa makubwa, pamoja maendeleo ya kijamii kiuchumi na kisiasa. Wakati mwingi sana hakuna ambaye hawezi ona juhudi zako ingawa na madhaifu ya hapa na pale, lakini kila mwanadamu hakosi mapungufu ni kawaida na hata...
  9. Companero

    Buriani

    Nchi yetu sasa inaanza kupitia kipindi kigumu sana kama ilivyotabiriwa na wale tulioitwa waleta taharuki. Hakika ni kipindi cha buriani. Kwa tuliofuatilia kwa kina tabia za gonjwa la korona tunajua masaa 24-48 ni mengi mno na hayatabiriki kabisa. Hivyo, hiki ndicho kipindi kigumu cha kupeana...
  10. Jembe Jembe

    Albert Msando ‘amwaga’ vifaa vya Corona kwa wanahabari Arusha, adai hali ni mbaya sana

    Wakili wa Kijitegemea, Alberti Msando ametoa msaada wa barakoa 100 pamoja na vitakasa mikono 100 kwa waandishi wa habari Mkoa wa Arusha ili kujikinga na maambukizi ya Covid-19 kutokana na kazi yao kuwa na mwingiliano wa watu. Akikabidhi msaada huo leo kwenye Ofisi za Chama cha Waandishi wa...
  11. B

    Rais Magufuli kuhusiana na Corona bora ukachukua hatua bila kuchelewa zaidi unauweka uongozi wako njia panda

    MODs natumaini mtaunusuru uzi huu kumwangazia mheshimiwa rais hali ilivyo, ili naye, aweze: 1. Kujinusuru mwenyewe kuweza kuendelea kuongoza kama kazi hiyo anaipenda. 2. Kuyanusuru maisha ya watu wake wasio na hatia kwa maana ndiyo kazi kuu tuliyompa kama rais wetu. 3. Kulinusuru taifa ili...
  12. Mzukulu

    Unadhani hawa Wanaume wangekosa hizi Silaha muhimu za Wanawake wangechukua Silaha zao zingine zipi wajikinge na CORONA?

    Baadhi ya Wanawake katika eneo la Trans Nzoia Kenya wamelalamikia tabia ya Wanaume kukata sidiria za Wake zao na kuzigeuza barakoa(mask) kwa madai ya kukosa pesa za kununua mask ili kujikinga na corona ” Wazee wanakata Bra (sidiria) zetu na kuzivaa, tena wengine hawajawai hata kutununulia...
  13. Magonjwa Mtambuka

    Nzige na corona ni mseto mbaya sana kwa Kenya -UN

    Umoja wa mataifa umeonya kuwa hawa nzige na hili janga la corona vinaweza kuwasambaratisha majirani ifikapo juni mwaka huu. ======= A second invasion by desert locusts has hit East Africa in just a few months, as younger and more aggressive swarms hatch and spread across a region already...
  14. Masokotz

    Ukihisi una Corona ufanyeje?

    Hili ni swali ambalo najua kuna ambao wanajiuliza pia. Kwa jinsi hali ilivyo na namna jambo hili linavyoshughuikiwa hapa nchini wengi watakuwa wanajiuliza swali hili kwa hofu kubwa na mashaka. Sababu za mashaka ni ukweli kwamba wengi wameshaona kwamba kupata CORONA ni sawa na KIFO na kwa jinsi...
  15. Sky Eclat

    Kipanya: Wanasayansi wa Afrika wanatafuta dawa ya corona?

  16. J

    Mwana FA: Baada ya kukaa Karantini kwa siku 28 nimepona kabisa Corona na nitagombea ubunge kupitia CCM mwaka huu

    Mwanamuziki namba 1 wa kizazi kipya MwanaFA ametoka hadharani na kusema ni kweli aliumwa Corona na kwamba amepona kabisa. Anasema sasa anaelekeza nguvu zake kwenye kinyang'anyiro cha ubunge kupitia CCM katika jimbo ambalo atalitangaza wakati chama kitakaporuhusu wagombea kutangaza nia zao...
  17. chiembe

    Fikiria sekta binafsi ilivyotikiswa kuanzia mwaka 2015, halafu kama haitoshi, 2020 inakuja kumaliziwa kabisa na Corona!

    Kuanzia 2015, sekta binafsi ilipata msukosuko mkubwa, walipewa kila aina ya majina ikiwemo "wapiga dili" na kupewa kabrasha la madeni ya kodi, wengi walinyoosha mikono juu, wakafunga biashara, wakabaki wengine Sasa na wao naona corona inataka kuwatoa kwenye reli, au wengine wameshatoka kabisa...
  18. chiembe

    Kwanini IMF na Benki ya Dunia wameitenga Tanzania katika mgao wa fedha za Corona? Au ule utani kwamba sisi matajiri, wao wametuibia, uliwachukiza?

    Nashangaa,nchi zote zinazopakana na sisi zimepewa msaada wa haraka na benki ya dunia,IMF,na kuweka kidonda chumvi. Trump kaongea na marais wa nchi tunazopakana nazo na kuahidi misaada kedekede. Je ule utani wa kuwaita mabeberu wao walijua tunawachukia?sisi watanzania ni watu wa utani...
  19. Analogia Malenga

    Kariakoo: Inasemekana kuna mtu amefariki barabarani tangu jana lakini maiti imeachwa hadi leo

    Hatari kubwa kariakoo hiyo ni maiti, amekufa toka jana Kariakoo mpaka sasa hakuna msaada wowote ulio jitokeza kuondoa maiti hiyo aliyekufa kwa kushindwa kupumua hali sio shwari kiusalama wa afya kariakoo == Punda fanyeni kazi mlipe kodi
  20. Chief Kabikula

    Hili janga la wanaoachishwa kazi kipindi cha Corona Serikali kimya

    itMbona serikali ipo kimya katika hili wimbi la sekta binafsi kuwasimamisha na kuwaachisha kazi wafanyazi kinyume Cha utaratibu na hawajui hatma ya haki zao hasa walimu wa shule binafsi.
Back
Top Bottom