"Bila Upevu wa Fikra kung'amua Hii Homa ni Ndoto/ Madaktari , Waganga Wote Cha Mtoto/
Bado Wanaitafuta Pimajoto/
Kwani Dunia Ina Homa Kali Mithili ya Moto/
Wanasayansi Tumelala Maabara/ Tunaitafuta Tiba Kwani Homa ya Dunia Ishaleta Madhara
Hakuna Masihara/
Vipofu Wameisikia
Homa ya Dunia...
Wakuu tukiwa tunaendelea kuchukua tahadhari ya kujikinga na corona kwa kuzingatia maelekezo ya wataalamu wa afya tukumbuke pia kuchukua tahadhari ya kujikinga na corona dhidi ya imani za kishirikina
Wachawi hupenda kutumia majanga ya mlipuko kama hili la corona kuumiza watu na kuwageuza...
Mnadhimu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni na Mbunge wa Bunda Mjini, Ester Bulaya amesema
"Hali ya Corona ni mbaya sana, wabunge kupitia Chadema, leo tumefikia makubaliano ya kutoingia Bungeni na kila mbunge kubaki nyumbani kwake Dodoma, niwatake wananchi huko mlipo mchukue tahadhari kubwa."
France to pay 50 euros per person for bike repairs to boost cycling post-lockdown
"(Reuters) - France will contribute 50 euros per person towards bicycle repairs after a nationwide coronavirus lockdown ends on May 11, taking an innovative step to encourage cycling and keep cars off city...
Tangu mwishoni mwa mwaka 2019, dunia imekuwa inapitia janga kubwa la mlipuko wa homa ya mapafu inayosababishwa na virusi vya Corona. Mlipuko huu ulianzia kwenye mji wa Wuhan nchini China na wengi hawakuupa uzito unaostahili.
Mpaka kufikia mwezi Machi 2020, ugonjwa ulikuwa umesambaa kwenye...
Ndugu zangu
kwanza niwape pole waathirika wote na wafiwa wa ugonjwa wa corona ndo mapito tuwe na imani corona itaondoka, ila itaondoka pale tu sisi binadamu tutakapokuwa wanyenyekevu mbele ya Mungu.
Hii corona ni pigo kutoka kwa Mungu kwa sababu sisi wanadamu ni washenzi tumezidi maasi na...
Comoros
Kiribati
Lesotho
Marshall Islands
Micronesia
Nauru
North Korea
Palau
Samoa
Solomon Islands
Tajikistan
Tonga
Turkmenistan
Tuvalu
Vanuatu
#CoronaVirus wametangazwa kuwa janga la dunia, lakini bado kuna baadhi ya nchi hazijaguswa na janga hilo
Kwa mujibu wa Chuo Kikuu...
Si jambo jipya tena, maambukizi ya corona Tanzania yapo kwa kasi kubwa sana kwenye jamii, pia tumeendelea kuona vifo vikiongezeka siku hadi siku.
Tuna maswali mengi sana kama watanzania juu ya mikakati ya wizara ya Afya ya Tanzania kukabiliana na Tatizo la Corona. Je sekta ya Afya imejiandaa...
The Treatment is worth a short, african countries should intervene as this may help in the fight against the Covid-19 Pendemic.
29th April 2020
128 Covid-19 confirmed cases
0 death recorded
85 recovered
These stats dont need scientic proof, might as well the world start to recognize...
Wanabodi,
Mtu unachokiandika, ndicho unacho kiwaza!, kuna watu, tunaishi nao, tunakula nao, tunalala nao, tukidhani ni binaadamu wenzetu, kumbe ni machoni tuu ndio kama watu, lakini mioyoni ni mashetani wakubwa!. Mtu unaombeaje binaadamu mwenzako afe kwa Corona?!. Can't believe this wickedness...
Wanajamvi najua corona inatuumiza kwa namna moja au nyingine. Sio lazima uwe mgonjwa ili kuathirika na corona. Kuna watu kupitia corona wamefunga biashara nk
Lakini niwaambie wale wote wenye hela ambao wanaogopa kuwekeza kwa kipindi hiki cha corona, japo mnaogopa kuwekezalakini angalieni fursa...
CCM imesema itawafyekelea mbali Wanachama wake wanaolitumia janga hatari la Corona kama fursa ya kusaka Ubunge.
CCM imesisitiza kwamba siyo wote wanaotoa misaada ya Barakoa, Sabuni na Vitakasa mikono wana nia njema bali wengine wako kisiasa zaidi.
Source: Rai
Habari za Mapambano wadau wote wa JF, Nimatumaini yangu kuwa wote tunaendealea kupambana Dhidi ya ugonjwa huu wa mlipuko CORONA.
Ama baada ya Salamu lengo la Uzi huu Ni kujua wale wote walioathirika na ugonjwa huu kupelekea kuahirishwa kwa malengo/mipango yao Tena waliyoipanga kwa muda...
Chuo Kikuu cha John Hopkins kimeripoti jumla ya visa 1,039,909, huku vifo vikikaribia 61,000
Kwa kuwa nchi inahesabu hadi vifo vinavyotarajiwa, Chuo Kikuu cha John Hopkins nacho kitaanza kuhesabu vifo vinvyotarajiwa kwa siku, zoezi ambalo linaonekana kuja kufanya idadi kuwa kubwa zaidi
Watu...
Uzi huu ni mrefu.
Ukichangia naomba ujikite Zaidi katika kutoa maoni yako lakini kukosoa kunaruhusiwa.
Binafsi nadhani maamuzi haya yangechukuliwa mwezi mmoja uliopita pale Waziri Mkuu alipotangaza kuzifunga shule na vyuo, lakini haikuwa hivyo badala yake shule zilifungwa kisha hakukuwa na...
afrika
afya
brazil
ccm
corona
covid
covid-19
covid19
hela
jafo
korona
kubwa
lockdown
magufuli
maisha
maombi
mungu
nyuzi
pandemic
pepo
propaganda
rais
serikali
tahadhari
taifa
taifa letu
tanzania
ulaya
ushauri
video
wanawake
watanzania
who
wizara ya afya
Waziri wa Tamisemi amesisitiza watanzania waanze kujifukiza kama namna ya kujenga kinga katika kupambana na corona.
Ili jambo liwe na ufanisi amependekeza kuwe na wiki ya nyungu kwa maana ya wiki ya kujifukiza. Kama ambavyo mh Rais alipendekeza hivi karibuni.
Amesema...
Kulingana na utafiti wa kukusanya data.
Chuo kikuu cha Singapore wametoa matokeo ya utafiti juu ya gonjwa la COVID19.
Utafiti huu unatokana na ukusanyaji wa data toka nchi mbali mbali ambazo wanaweka tafiti na takwimu zao wazi.
Utafiti huu unaonyesha kuwa hadi mwezi wa sita tukiendelea...
Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoani Arusha, Koka Moita amesema Alberto Msando ameitwa kwa ajili ya Mahojiano ila ni mapema sana kusema ni mahojiano yanayohusu nini kwani hana taarifa kamili
Alipoulizwa kama kushikiliwa kwa Wakili Msando kunahusisha yale aliyoongea jana wakati wakati akikabidhi vifaa...
Kwa mujibu wa mbunge Godbles Lema na Waziri Kigwangalla ni kuwa mbunge wa Sumve Richard Ndassa amefariki dunia mapema leo.
Aidha taarifa zinasema kuwa Ndassa amefikwa na umauti baada ya kuanguka ghafla ndani ya viwanja vya bunge leo.
Inadaiwa pia kuwa ndani ya hoteli aliyokuwa akiishi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.