Companero

Platinum Member
Jul 12, 2008
5,604
1,704
Nchi yetu sasa inaanza kupitia kipindi kigumu sana kama ilivyotabiriwa na wale tulioitwa waleta taharuki. Hakika ni kipindi cha buriani. Kwa tuliofuatilia kwa kina tabia za gonjwa la korona tunajua masaa 24-48 ni mengi mno na hayatabiriki kabisa.

Hivyo, hiki ndicho kipindi kigumu cha kupeana buriani na wenzetu ilhali tuna na wana pumzi. Buriani ni muhimu kutolewa hata kabla ya wakati maana hatuijui siku wala saa kirusi kitapotujia ama kuwajia wapendwa wetu hapa, pale, na kule.

Makelele tumeyapiga sana. Ushauri tumeutoa usiku kucha. Nafasi ya kudhibiti mlipuko huu bado ipo ila ni finyu mno.

Buriani Wana-JF. Kwaheri ya kuonana jukwaa pendwa la jamii. Tusipoonana tena basi tuonane upande wa pili.

flatten-the-curve-covid-layers.gif

1. Daniel Welwel:http://udadisi.org/2020/04/covid-19-reminder-it-is-not-14th-century.html…
2. Ronald Ndesanjo: http://udadisi.org/2020/04/covid-19-trapped-between-epidemiology.html…
3. Zuhura Yunus: http://udadisi.org/2020/04/coronavirus-and-my-journey-between.html…
4. Jasper Kido: http://udadisi.org/2020/04/scapegoat.html…
5. Zahara Tunda: http://udadisi.org/2020/04/are-you-okay-covid-19-vs-mental-health.html…
6. Dennis Konga: http://udadisi.org/2020/04/where-is-home-covid-19-is-exposing-us.html
7. Mary Fadei: http://udadisi.org/2020/04/in-their-shoes-urban-women-vendors.html…
8. Victoria Lihiru: http://udadisi.org/2020/04/2020-elections-in-tanzania-amid-of.html…
9. Mishy Singano: http://udadisi.org/2020/04/defeating-coronavirus-in-africa-it-is.html…
10. Richard Mabala: http://udadisi.org/2020/04/my-pulpit.html…
11. Muhidin Shangwe: http://udadisi.org/2020/03/the-lockdown-monotony.html
12. Muhidin Shangwe: http://udadisi.org/2020/03/the-young-and-senseless.html…
13. Chambi Chachage: http://udadisi.org/2020/03/is-social-distancing-and-flattening.html…
14. Mishy Singano: http://udadisi.org/2020/03/corona-virus-time-for-africas-reality.html…
15. Jasper Kido: http://udadisi.org/2020/03/corona-and-evangelism.html…
16. Muhanyi Nkoronko: http://udadisi.org/2020/03/dhibiti-taharuki-udhibiti-mlipuko-wa.html
17. Jasper Kido: http://udadisi.org/2020/03/corona-na-umma-wa-tanzania.html…
18. Joakim Ishengoma http://udadisi.org/2020/03/punguzamlipuko-wa-virusi-vya.html…
19. Ashura Kayupayupa: http://udadisi.org/2020/04/how-corona-separated-my-child-from-me.html…
20. Jacqueline Mgumia: http://udadisi.org/2020/03/dhibitimlipuko-dhana-ya-kupunguza.html?q=mgumia…
21. Shameem and Saleem: http://udadisi.org/2020/03/life-in-self-quarantine-tale-of-two.html
22. Isaack Mdindile: Salaam kutoka Brazil: Shajara ya Karantini ya Korona
23. Zuhura Yunus: Niyaonayo Uingereza Ninapoikumbuka Tanzania
24. Isaack Mdindile: http://www.udadisi.org/2020/04/ukistaajabu-ya-tanzania-utayaona-ya.html

flatten the curve covid-01 copy.jpg
 
Mungu atunusuru, wengine tuligomaga kufa Hadi tuwe matrilionea, tukaacha pombe, tukaacha kula nyama nyekundu, tukaacha papuchi gongaring, tukaacha vyote ili turefushe maisha. Sasa dude vurugavunja limeingia
Duh! Mungu akufanyie wepesi ufikie mafanikio makubwa! Ujasiri wa kuacha papuchi ni wa kuigwa! Hongera Sana Mdau.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nchi yetu sasa inaanza kupitia kipindi kigumu sana kama ilivyotabiriwa na wale tulioitwa waleta taharuki. Hakika ni kipindi cha buriani. Kwa tuliofuatilia kwa kina tabia za gonjwa la korona tunajua masaa 24-48 ni mengi mno na hayatabiriki kabisa.
Buriani Wana-JF. Kwaheri ya kuonana jukwaa pendwa la jamii. Tusipoonana tena basi tuonane upande wa pili.
Duh...!.
P
 
Wallah ukipita Kariakoo hutaamini kinachoandikwa humu, is this a different world? Watu wanaishi na hawana hata wasiwasi, Meko katoa statement ambazo zimefanya watu kuwa reluctant sana. Vijana wanapiga stories huku wakichekeana at <1m apart(wanatemeana mate mdomoni). Is it not dangerous? Kama ni kufwa, hakika kutakuwa na mass deaths!
 
Wallah ukipita Kariakoo hutaamini kinachoandikwa humu, is this a different world? Watu wanaishi na hawana hata wasiwasi, Meko katoa statement ambazo zimefanya watu kuwa reluctant sana. Vijana wanapiga stories huku wakichekeana at QUOTE]Mkuu unachosema ni kweli kabisa. Wale mafund simu pale mtaa wa kongo walivyo kaa zero distance yani

Ukienda segerea stand at night yani watu wamekaa karibu karibu hwana barakoa wala chochote cha kujikinga.

Kinyerez stand nilipita usiku mmoja yani kuna msongamano atari najiuliza kama huu ugonjwa unaenea kwa namna tulivyo elekezwa akitokea mmoa anao vip itakuwaje?

Anyway ni wakati wakuomba rehema kwa Mungu.

Tukiwa na nafas tuombee taifa. Tuwashauri tunaowafaham tuchuue tahadhar

Mungu ibariki Tanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hee had wanene?😭😭😭
Unene unaficha mambo mengi ikiwemo cholesterol inayopunguza damu kupita vizuri kwenye mishipa.

Sasa mapafu yakijaa mucus kutokana na Corona, kiasi cha hewa inayosafishwa inakupungua sana na hivyo kusababisha kiasi cha oxygen kwenye damu kuwa kidogo. Ukiwa mnene uwezo wa damu safi kuzunguka mwilini unazidi kupungua. Hivyo kuharakisha ogani za mwili kudhoofika kwa kukosa oxygen.

Kingine ni kuwa mafuta mwilini yanazuia uwezo wa diaphragm (msuli wa kusukuma mapafu) kufanya kazi yake ya kusukuma mapafu ili hewa iingie na kutoka, ndiyo maana watu wanene wanapatashida kupumua.

Hivyo utaona mlolongo wa matatizo unaosababishwa na unene kwenye Corona ni mrefu.
 
Rip wangar😭😭😭!!
 
Mbona li Lemutuz linadunda tu mtaani?
 
Back
Top Bottom