corona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Corticopontine

    JamiiForums Tanzania Virusi vya Corona vinakufa kwenye miale ya jua hivyo basi msimu wa kiangazi Corona itatoweka?

    Mwanasayansi mmoja nchini Marekani leo Aprili 24 ameeleza kuwa virusi vya corona vinaharibiwa kiurahisi na na miale ya jua hivyo kuna matumani makubwa ya ugonjwa huo (Covid-19) unaoitesa dunai ukaisha wakati wa kiangazi. hata hivyo tayari Shirika la Afya Duniani WHO lilisema mwanzoni mwa mwezi...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Kigwangalla aende Wizara ya Afya na Ummy Mwalimu apelekwe Utalii na Maliasili ili tuimalize Corona kwanza

    Napendekeza pafanyike mabadiliko madogo kwenye Baraza la Mawaziri ambapo Dkt Kigwangalla ahamishiwe Wizara ya Afya akaungane na Dkt. Faustine Ndugulile ili kwa pamoja wakaongoze mapambano ya kuitokomeza Corona. Mhe Ummy Mwalimu apelekwe Utalii na mali asili kuziba pengo la Dkt. Kigwangalla...
  3. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania BBC: Misinformation on corona virus has spread in Africa

    Coronavirus: What misinformation has spread in Africa? African countries are experiencing a rise in the number of new coronavirus cases, and many governments have been enforcing strict social distancing measures. As they prepare for a surge in cases, misleading information has been spreading...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Chadema waliokamatwa kwa kufanya mkutano ofisini kwao wakati huu wa janga la Corona wamwomba radhi DC na kuachiwa huru

    Viongozi watatu wa CHADEMA wilayani Magu walikamatwa na polisi na kushikiliwa kwa zaidi ya saa 6 kwa kosa la kujifungia ofisini na kufanya kikao cha siri wakati huu wa Corona wameachiwa huru baada ya kuomba radhi. Viongozi hao wakiongozwa na Katibu wa kanda wamesema ni kweli wamefanya kosa kwa...
  5. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Eti ni kweli kuwa shemeji ana maambukizi ya corona by Kipanya

  6. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Video: Jinsi vyombo vya habari vya wazungu vilivyosherehekea kuingia kwa Corona Africa,”The virus finally hits Africa!”

    Hapo chini ni video yenye title “....Corona virus FINALLY HITS Africa” , kwa wanaoelewa hasa maudhui ya lugha ya kiingereza, ni kwamba neno FINALLY hutumika pale ambapo unakua unasubiria jambo flani kwa hamu na shauku kubwa lakini linakuwa linachelewa kutokea, na pale linapotokea ndio sasa...
  7. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Visa vipya zaidi ya 5,000 vya maambukizi vyaripotiwa nchini Urusi

    Idadi ya watu walioambukizwa rasmi virusi vya Corona nchini Urusi imefikia 68,622, baada ya kuripotiwa visa vipya 5,849 vya virusi hivyo, ikilinganishwa na Alhamisi, mamlaka ya afya nchini Urusi imebaini. Watu sitini zaidi wamefariki dunia kutokana na ugonjwa wa Covid-19, na kufikisha idadi ya...
  8. Omusolopogasi

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Chroline inaua virusi vya Corona kwa haraka

    Utafiti nchini Marekani unaonyesha kuwa bleach (ambayo ina chlorine), inaua virusi vya corona kwa haraka. Chlorine ndio iliyo kwenye dawa inayotumika kunyunyuzia huko mitaani na kwenye mabasi. Virusi hivyo pia ni dhaifu sana kwenye jua kali: ".....William Bryan, acting head of the Department of...
  9. manchoso

    JamiiForums Tanzania Hivi jamani walozi usiku wakimgusa mtu, wanaweza ambukizwa Corona?

    Wamesema kweli wahenga Baniani mbaya kiatu chake dawa na kiingiacho mjini si haramu Corona sio siri imeleta majanga hakuna kinachofanyika kwa ufanisi, sio biashara siasa wala burudani kila mtu analia kimya kimya Pia corona imetupa funzo darasa la bure lenye maumivu ndani yake ambalo bila...
  10. idawa

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Hakuna Lockdown kwa Dar wala Tanzania, NEVER! Tusiwatishe watanzania, hofu ni ugonjwa mkubwa kuliko Corona

    Raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Mhe. Magufuli anatarajiwa kuzungumza mubashara na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama kuhusu ugonjwa wa Corona kutokea Chato saa 9:45 alasiri leo tarehe 22.4.2020 -- HOTUBA YA RAIS MAGUFULI (KWA UFUPI) Rais ameshauri tuendelee kutumia njia za...
  11. chama mpangala

    JamiiForums Tanzania Wagonjwa wa Corona wadaiwa kuvunja geti hospitali ya Amana na kutoroka. Mwananyamala waleta vurugu wakitaka waruhusiwe

    Kuna taarifa zinasambaa ambapo inasemekana wagonjwa wa COVID-19 walikuwa wamelazwa hopitali ya AMANA wamevunja Geti na kutoroka. Inasemekana hii ni kutokana na kutelekezwa bila ya kupatiwa huduma na kutelekezewa maiti hospitalini. Mwenye update kamili atujuze mimi nimepata Clip za Audio...
  12. Mag3

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Makonda alitoa agizo la jiji la Dar es Salaam kupuliziwa dawa ya kuzuia corona kwa niaba ya Rais John Pombe Magufuli?

    Ili kuwalinda wakazi wa Mkoa wake wa Dar es Salaam, Mh. Paul Makonda amedai alilazimika kuchukua hatua hiyo kwa niaba ya Rais Magufuli. Kama dai lake hili ni la kweli, nadhani uchunguzi kama unahitajika kufanyika, video hizi hapa chini ni ushahidi wa kutosha.
  13. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Kwa vile Corona haina kinga wala tiba, Mnaonaje mahospitali yetu pia yakaruhusiwa tutumie tiba asili na tiba mbadala ikiwemo Faith Healing?

    Wanabodi, Janga la Corona ni vita ambayo no one knows its dimensions, hivyo Watanzania hatuna budi kutumia kila silaha, kila mbinu, kila technics, hivyo, baada ya kuisikia ile hotuba ya jana kutokea Ukulu ya Chato, mimi kwa upande wangu naiunga mkono hotuba ile ya Ikulu ys Chato kwa asilimia...
  14. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania Ilala: DC Sophia Mjema athibitisha wagonjwa wa COVID-19 hospitali ya Amana kuleta fujo na kutaka kuondoka wakajitibie nyumbani

    Mkuu wa wilaya ya Ilala Bi.Sophia Mjema athibitisha wagonjwa kulazimisha kuondoka katika Hospitali ya Amana kurejea nyumbani. Pia soma > Wagonjwa wa Corona wadaiwa kuvunja geti hospitali ya Amana na kutoroka. Mwananyamala waleta vurugu wakitaka waruhusiwe --------- Mkuu wa wilaya ya Ilala...
  15. beth

    JamiiForums Tanzania Ummy Mwalimu: Watoa huduma za afya wasikimbie wagonjwa, sio kila homa kali ni Corona

    Waziri wa Afya wa Tanzania, Ummy Mwalimu amesema watoa huduma wa sekta ya afya hawatakiwi kuwakimbia wagonjwa na badala yake, wanatakiwa kuzingatia Kanuni za Udhibiti wa Maambukizi katika kutoa Huduma (IPC). Ummy amesema sio kila homa kali au kikohozi ni CoronaVirus hivyo watoa huduma...
  16. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Mataifa umesema janga la Corona limegeuka kuwa mzozo wa haki za binadamu

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema janga la virusi vya corona ni mzozo wa kibinadamu ambao unageuka kwa kasi kuwa mzozo wa haki za binadamu. Katibu Mkuu huyo amesema katika ujumbe alioutoa kwa njia ya vidio leo, kwamba kuna ubaguzi katika utoaji wa huduma za umma...
  17. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania WHO Wanasema corona waliujua ni ugonjwa X tangu 2018

    Virusi vya corona: WHO ilijua kuhusu virusi vya corona miaka miwili iliopita Ugonjwa uliopewa jina X ulisemekana kuwa na hatari na huenda ungelisababisha janga la kimataifa Mnamo mwezi februari 2018, kundi la wataalam wa shirika la Afya duniani WHO lilichapisha orodha ya magonjwa ambayo...
  18. Gwangzu

    JamiiForums Tanzania Madagascar wapata dawa ya asili ya Corona

    Wakati wanasayansi duniani wakihangaika kupata chanjo na tiba ya virusi vya corona, rais wa Madagascar Andry Rajoelina amezindua dawa ya mitishamba ''inayotibu'' Covid-19 . Hata hivyo Shirika la Afya Duniani (WHO) linasema kuwa hakuna ushahidi wa tiba ya Covid-19 baada ya Bwana Rajoelina...
  19. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mbeya waonywa kugeuza pombe dawa ya Corona

    Wakazi mkoani Mbeya wametakiwa kuepuka matumizi ya vilevi vikali kwa kuamini ni dawa inayoweza kupambana na homa ya mapafu inayosababishwa na virusi vya corona. Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila (pichani) alitoa onyo hilo jana alipozungumza na waandishi wa habari juu ya jitihada...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Wako wapi Mama Samia, Dr Shein kwenye hili janga la Corona?

    Kichwa cha habari kinahusika. Tunaamini hawa ni viongozi wakuu katika viongozi. Hatuwaoni, hatuwasikii hata kuhimiza kuchukua tahadhari kwa wananchi. Sikusudii kutoa matamko ya kiserikali nakuisudia kuhamasisha. Ukimya umekuwa mwingi na hatuwasikii hata habari zao siku hizi . Wako wapi watu...
Back
Top Bottom