corona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    App ya ku track wagonjwa wa Corona

    Kumekuwa na habari kuwa namba ya wagonjwa wa Corona walioambukizwa, wanaoumwa, waliopona na waliofariki inakuwa understated na serikali. Naamini si mpango wa serikali kutoa data ambazo si za kweli bali ugumu wa ukusanyaji wa takwimu. Kwa kuwa wagonjwa karibu wote tunaanza nao huku huku...
  2. technically

    Washauri wa Rais, naombeni mshaurini Rais anyamaze mpaka janga la COVID19 lipite

    Washauri wa Rais popote mlipo iwe Dar, Dodoma au Chato, Naomba mshaurini Rais wetu mpendwa anyamaze mpaka corona ipite, Ninapoona speech za rais ambazo zinaacha maswali mengi na washauri ndio wanaonekana ni tatizo kwa kumshauri vibaya Rais wetu so please Mwambieni ukweli anyamaze kuna mambo...
  3. Zanzibar-ASP

    Uongo Wa Vipimo Vya Corona Tanzania: Kwanini Waziri Mkuu Na Waziri Wa Afya wasijiuzulu?

    Leo Rais wa Tanzania amehutubia taifa na kusema, utaratibu mzima wa upimaji na utoaji majibu ya vipimo kwa wahisiwa wa ugonjwa wa COVID-19 hapa Tanzania yamezungukwa na uongo, ujanja ujanja na ulaghai mkubwa. Hivyo takwimu zote za COVID-19 hapa Tanzania zilizotolewa na Waziri Mkuu au Waziri wa...
  4. Pascal Mayalla

    Kutoka Chato: Rais Magufuli amwapisha Mwigulu Nchemba kuwa Waziri wa Katiba na Sheria, Kwanini Mbuzi, papai, fenesi na Kware wawe na Corona?

    Wanabodi, Kwa wale wenye nafasi, ifika saa 4:15 asubuhi hii, tujiunge na TBC kuangalia matangazo ya moja kwa moja ya live mubashara kutokea ikulu ya Chato. Taarifa hii ni kwa mujibu wa Tweet ya Gerson Msigwa. Pia leo ni siku ya kimataifa ya kuadhimisha siku ya uhuru wa habari, huku Tanzania...
  5. kaligopelelo

    Tukifanikiwa kuisambaratisha corona kwa mitishamba, tuhamie kwa virusi vya UKIMWI

    Habarini za asubuhi. Wakuu kwa juhudi tunazofanya kupigania uhai wetu,ni dhahiri shida huongeza maarifa. Ukija kuangalia ugonjwa wa covid-19 kwa sura yake na namna ulivyoondoka na uhai wa watu wengi kwa muda mfupi. Na pia kwa namna ambayo tulikuwa tunatabiliwa mazito hasa waafrika na wale...
  6. FRANCIS DA DON

    Je, Corona ni nyenzo ya mchujo wa ‘evolution’? (Natural selection & elimination)

    Waamini wa nadharia ya ‘evolution’ hupenda sana kutumia mfano wa twiga waliokuwa na shingo fupi ambao walikifa njaa kwa kushindwa kufikia majani laini ya juu ya miti na wale wenye shingo ndefu kushika hatamu. Vivyo hivyo tunaona leo jinsi tembo wenye pembe fupi wanavyoanza kushika hatamu kidogo...
  7. J

    Mwalimu Mwakasege: Corona ndio Tauni kwa mujibu wa Biblia

    Mwalimu Mwakasege amesema wanadamu wanapaswa kujihoji ni wapi tumemkosea Mungu kisha tutubu na kumrudia. Mwakasege amesisitiza kuwa hii Corona siyo mpya bali ni ile Tauni iliyosemwa katika Biblia takatifu. Mwalimu Mwakasege amesema hayo wakati wa semina inayoendelea huko Njiro Arusha na kesho...
  8. M

    Nobel price -Winning Scientist who discovered HIV say Corona Virus was made in Laboratory

    In a highly significant development, Professor Luc Montagnier, the French scientist who shared the 2008 Nobel Prize in Medicine for discovery of the human immunodeficiency virus (HIV), has added his voice to those who believe the new coronavirus was created in a laboratory. Interviewed on the...
  9. L

    Tunaposema serikali imejitahidi sana kupambana na janga la Corona imefanya nini mpaka sasa? Tujadili kwa uwazi

    Kuna mitazamo inayokizana juu ya namna serikali inavyoshughulikia janga la Corona nchini. Wako wanaosema serikali so far imepambana sana na janga la Corona lakini wapo wanaosema serikali haijafanya chochote. Toa maoni yako itapendeza kama utatoa na evidence.
  10. britanicca

    Ni sahihi Mpenzi wako kuweka kikwazo cha kuanza maandalizi ya ndoa kwa kusingizia Corona?

    Anasema hebu waombe wazazi tuvutevute subira hadi mwezi wa 7 tuone hali itakavyokuwa ndo tuone cha kufanya, ameambiwa mshikaji mmoja ambaye kashamtambulisha mwanamke kwao ila kwao na mwanamke jamaa katambulishwa juu juu tu, akisema go ahead ya mshenga ni mpaka Corona iishe. Nimemuuliza je una...
  11. UTAFITI WA MADINI NA MAJI

    Tunachimba visima vya maji na tunauza Mashamba ya Miti ya mbaio

    Jipatie KISIMA cha Maji kwa LAKI TANO ( nchini kote) Kutoka Asasi ya PDPR Njombe, Gharama za mradi:kuchimba laki 5, kama kitakuwa ndani ya mita 25 kila mita itakayo zidi utalipia 20,000ukihitaji kufungiwa water pump ipo ya solar milioni 1.6 ya umeme laki 5 zote zikiwa complete pamoja na...
  12. chiembe

    Wana MATAGA tunawaza, jamaa yetu ataacha LEGACY ipi? Maana haka ka corona kamevuruga mapato, na miradi haijaisha

    Sisi MATEGE msituone tuko kimya, tuna mawazo sana, tulijua tungemaliza miradi mingi 2021, baada ya hapo tukaanza nyimbo za kuimba na kusifu mafaniko na kumpa send off jamaa yetu iliyojaa furaha na jina lisilosahaulika kwa wananchi. Ng'ombe wa masikini hazai, kamekuja ka korona, biashara...
  13. Cannabis

    Mtanzania adai kugundua dawa ya corona, ataka kuonana na Waziri wa Afya

    MKAZI wa Chanika jijini Dar es Salaam Seleman Mwamsumbwe (pichani kushoto) akiwa na dada yake(kulia) ameomba kukutana na Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu kwa lengo la kumueleza habari njema ya kwamba amegundua dawa inayoweza kutibu ugonjwa wa COVID-19...
  14. Pascal Mayalla

    Mhe. Mbowe, hongera sana. You are the best; ila acha uongo, uzushi na uchochezi. Kati yako na serikali nani mkweli? Vifo ni 16 tu

    Wanabodi, Miongoni mwa udhaifu mkubwa kabisa wa mainstream media zetu zote za Tanzania, si TV, Redio, wala Magazeti, hatuna kitu kinachoitwa "News Analysis", yaani uchambuzi wa habari, viongozi wetu wakihutubia, media inaripoti wamesema nini, the story ends there! Hakuna any news analysis ya...
  15. Nigrastratatract nerve

    Kwakuwa haijulikani Corona itaisha lini, napendekeza CHADEMA wasiweke mgombea hata mmoja kwenye ubunge na udiwani ili kujikinga

    Binafsi nawapongeza sana Chadema kwa uoga waliouonesha wa hali ya juu sana, yaani wao wamejiona bora sana kuliko wananchi tuliowachagua na kuwatuma Bungeni wakatutetee katika hali zote. Uamuzi walioufanya nimeupongeza kuwa hawa jamaa wamedhihirisha kuwa tulikosea kuwachagua. Wametukimbia wakati...
  16. Influenza

    Dar: Wafanyakazi wawili wa Kampuni ya Mwananchi Communication wakamatwa kwa kusambaza taarifa za uongo za Corona

    Jeshi la Polisi Kinondoni limesema limefanikiwa kuwakamata Wafanyakazi wawili wa Kampuni ya Mwananchi Communication-Kitengo cha Matangazo kwa tuhuma za kutuma taarifa za uongo na uzushi kuhusu #COVID19 Limesema waliokamatwa ni Hidari Hakimu (27), Afisa Biashara kwenye Kampuni hiyo ambaye ni...
  17. N

    video:huyu kavunja rekodi ya kujifukiza hapa corona haitii pua,wabunge ccm wasiojifukiza watoswe kura za maoni

    Week ya kujifukiza inaendelea vizuri sana,hekima za viongozi wetu zimetamalaki na wanatuongoza vyema sana kuelekea nchi ya ahadi Hlafu ma komredi wa ccm kama mbunge hatapost picha akiwa anajifukiza asipitishwe kura za maoni maana huo ni ukaidi wa amri halali ya mwenyekiti,tumeona miss paulina...
  18. J

    Mbunge Mwamoto: Hali ni tete ndani ya wiki mbili tumepoteza wabunge watatu na hatujui nani atakayefuatia, naomba serikali itupime Corona!

    Mbunge wa jimbo la Kilolo mkoani Iringa mh Mwamoto amesema hali bungeni ni tete na ya kutia wasiwasi kufuatia vifo mfululizo vya wabunge. Mwamoto amehofu kuwa ndani ya wiki mbili wabunge watatu wamefariki na hawajui anayefuatia ni nani hivyo ameiomba serikali ifike bungeni na kuwapima Corona...
  19. cha1509

    Mei Mosi 2020: Rais Magufuli atuma salamu za siku ya wafanyakazi, asisitiza waendelee kufanya kazi na kujiepusha na Corona

    Mh. Rais awasihi wafanyakaz wazidi kuchapa kazi katika kipindi ambacho dunia inapitia kipindi kigumu cha kupambana na Covid19 ........ Sent using Jamii Forums mobile app
  20. Analogia Malenga

    TB Joshua fasts and prays on the mountain,"refuses to eat until COVID-19 is defeated"

    Leader and founder of The Synagogue Church of All Nations Temitope Balogun Joshua, commonly referred to as T. B. Joshua would never stop at anything to see the deadly coronavirus completely defeated. Since...
Back
Top Bottom