Video: Mwafrika akiburuzwa kama kiroba cha mchele barabarani huko China kisa Corona

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
36,059
40,723
Inadaiwa kwamba waAfrika ndio wamepeleka Corona China, hivyo wanasulubiwa ipasavyo. Je kuna haja ya kuwawashia moto hawa waChina huku Afrika kama waSauzi kioindi cha Xenophobia?
 
Ukweli ni kua hatujui sababu, hiyo video tumeiona tu hatujui kilichofanya wamburuze ni nini.
Walichofanya ni kizuri? Hapana kwa kosa lolote lile si vizuri kutumia nguvu, kama mtu anakusumbua ita polisi wadili naye unaweza buruza mtu akafa ukajikuta unanyea ndoo miaka 20. Ila sitokaa nisema tatizo ni korona sababu hiyo video hawajaongea chochote kuhusu korona, usijekuta hata alikua anaiba kwenye hiyo store alafu tunapindisha mambo sababu tu ni mweusi mwenzetu, ukweli ni kua story hatujui hadi tusikie toka kwa mtu aliyekuwepo eneo hilo. Na kabla hujaongea ujinga ninajua vizuri kuongea kichina, kiswahili, kiingereza, kijapan, kikorea, at a very high level kwa hiyo usije kujifanya kua umeelewa hiyo video kunizidi.
 
Wewe unahisi nini kinaweza kufanya mchina akaburuzwa hivyo hapa Tz?.. Tena mtu mzima kama huyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ungesoma chote nilichoandika ungejua kabisa nimeandika kua hata kama kafanya kosa hastahili kuburuzwa hivyo. Msiwe mnajibu kama hamjasoma kitu chote ambacho mtu kaandika. Sijaandika hata paragraph mbili moja tu umeshindwa kumaliza au kuchanganya na ngeli kidogo kumekupiga chenga?
 
Kaongea utumbo hapo juu
Mimi nimerudia Mara mbilmbili maandiko yake sikuona mahali alipoandika utumbo. Isipokuwa amekuwa neutral kuelezea kile tusichokijua, maana unapoanzisha mada utaulizwa Uliona??Ulisikia?? au Ulimbiwa??.

Sana Sana naona Roho imekuuma alivyojinasibu kuwa anajua kuongea vizuri
KIJAPAN
KICHINA
KIKOREA
KINGEREZA
KISWAHILI.
My take sote tumeumbwa na wivu moyoni Kama ukipitwa kitu pambana ukipate Ila USICHUKIE AMBACHO huna. Ona Sasa ametukana mpaka ukoo wako mzima.
 
Ha haa muandiko wa kibaamedi...
 
Back
Top Bottom