Acheni kuweka password kwenye simu ili.likitokea lolote iwe corona au chochote mawasiliano yawepo

Mtu aweza dondoka ghafla njiani kwa corona simu ikiwa na password inakuwa vigumu watu kumsaidia kwa kuwasiliana na nduguze nk ondoeni password mtarudisha corona ikiiisha
acha zako kama ni kumsaidia ww piga simu zile wizara inasema hayo ya mtu binafsi mwachie mwenyewe akiamka au akifa basi utaratibu utafanyika si ww kurahishisha wizi kwa wadau, maana ww unaweza kuwa kweli unataka kutoa msaada ila kuna wengine watatumia mwanya huo kuibia wagonjwa na kufanya uhalifu
 
Sasa hata wizara itawasiliana vipi na ndugu wakati simu ina password?
 
Hivi simu zote ukishaweka password hakuna namna ya kuruhusu namba mbili au tatu zisizo na password kwa ajili ya dharura kama hizo?Watengenezaji wa simu wangewezesha hilo.
 
Wazo la kipumbavu... Nowadays simu zina emergency mode. Hivyo unaweza kuchagua contacts ambazo zinaweza kupigiwa kama ikitokea umepata matatizo. Sema watu wengi hawajui kutumia simu, na hapo ndio matatizo yanapoanzia.
Mtu aweza dondoka ghafla njiani kwa corona simu ikiwa na password inakuwa vigumu watu kumsaidia kwa kuwasiliana na nduguze nk ondoeni password mtarudisha corona ikiiisha
 
Mtu aweza dondoka ghafla njiani kwa corona simu ikiwa na password inakuwa vigumu watu kumsaidia kwa kuwasiliana na nduguze nk ondoeni password mtarudisha corona ikiiisha
Uliona wapi mtunanahangaika na simu ya mtu enzi hizi za CEO & Founder, CO
 
Mtu aweza dondoka ghafla njiani kwa corona simu ikiwa na password inakuwa vigumu watu kumsaidia kwa kuwasiliana na nduguze nk ondoeni password mtarudisha corona ikiiisha
nasikia corona unakata pumzi ghafla.....toba yarabi tunusurus sisi waja wako.
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom