corona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Kariakoo: Inasemekana kuna mtu amefariki barabarani tangu jana lakini maiti imeachwa hadi leo

    Hatari kubwa kariakoo hiyo ni maiti, amekufa toka jana Kariakoo mpaka sasa hakuna msaada wowote ulio jitokeza kuondoa maiti hiyo aliyekufa kwa kushindwa kupumua hali sio shwari kiusalama wa afya kariakoo == Punda fanyeni kazi mlipe kodi
  2. Chief Kabikula

    JamiiForums Tanzania Hili janga la wanaoachishwa kazi kipindi cha Corona Serikali kimya

    itMbona serikali ipo kimya katika hili wimbi la sekta binafsi kuwasimamisha na kuwaachisha kazi wafanyazi kinyume Cha utaratibu na hawajui hatma ya haki zao hasa walimu wa shule binafsi.
  3. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania hakuna daily briefing juu ya Corona virus pandemic?

    Nauliza hili swali sababu kama wananchi tunataka kufahamu ukweli juu ya hili janga. Tunataka waziri wa afya, au msemaji mkuu wa serikali kila siku awe anatoa taarifa zilizo rasmi. Mbona nchi za wenzetu ambazo zimekumbwa na hili janga kila siku lazima watoe taarifa rasmi kuhusu...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali yapokea msaada wa shilingi bilioni 14.9 ili kupambana na Corona

    Serikali imepokea msaada wa shilingi bilioni 14.9 kutoka Global Fund, Airtel Tanzania, Rotary Club Tanzania ambazo sehemu kubwa zitatumika kununua vifaa kinga kwa watumishi wa afya na vifaa tiba kwa ajili ya kuwahudumia wagonjwa wenye maambukizi ya COVID-19. Waziri wa Afya, Maendeleo ya...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Jumuiya ya Mabohora Tanzania wamkabidhi RC Makonda vifaa vya kujikinga na Corona

    Jumuiya ya Dawoodi Bohora Tanzania leo imekabidhi vifaa mbalimbali vya kujikinga na corona vyenye thamani ya Shilingi Milioni 27 kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda kwa lengo la kuwakinga wananchi wa Mkoa huo. Akipokea Vifaa hivyo kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa, Mganga Mkuu wa Mkoa...
  6. Analogia Malenga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya yatangaza visa 8 zaidi vya corona

    Kenya imetangaza visa vipya vya #CoronaVirus 8 na kufanya idadi ya jumla ya visa vilivyoripotiwa kufikia 363 Wagonjwa hao, wote hawana historia ya kusafiri kwenda nje ya nchi Wizara ya afya imetangaza pia watu 8 waliopona na kufanya idadi ya waliopona #COVID19 kufikia 114 ==== Kenya on...
  7. mulwanaka

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Madereva wanne zaidi wa Tanzania wemekutwa na Covid-19 nchini Uganda

    Uganda has confirmed 4 new COVID_19 cases out of 1,989 samples tested on Sunday 26th April. All patients are Tanzanian truck drivers who arrived via Mutukula border, Ministry ofHealth says. 411 samples from communities tested. Uganda’s total confirmed cases are now 79. [emoji832]4 new COVID-19...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Udhibiti wa virusi vya corona

    Poleni na msukomsuko wa janga la covid 19. Inawezekana nitakayoandika ni marudio lakini naona yanaweza kusaidia vita hii ya kudhibiti virusi vya corona. Serikali imekataa lockdown lakini tuwe wakweli kuna baadhi ya shughuli zinazofanywa na wananchi ni hatari kwa afya ya hao wafanyakazi na...
  9. Hero

    JamiiForums Tanzania Shule binafsi zarejesha masomo kwa mgongo wa nyuma, zadai ada kwa wazazi

    Ktk kukabiliana na janga la ukata kwa walimu shule binafsi baada ya kufunga shule kuepuka corona, baadhi ya shule binafsi zimekuja na mikakati tofautitofauti ili kuwezesha kuwa husisha wazazi wa watoto waendelee kulipa ada hata ktk kipindi hiki ambapo shule zimefungwa! Njia hizo ni pamoja na...
  10. Trubarg

    JamiiForums Tanzania Ugunduzi mpya: Covid-19 inaweza kusababisha mgando wa damu mwilini

    Madaktari kutoka nchi zilizoendelea wamegundua kwamba wagonjwa wengi wa Corona wanapata stroke kutokana na damu kuganda kwenye mapafu na Figo, Hali hii huwa Ni hatari iwapo clots hizo zitafika kwenye vital organs kama moyo na ubongo, hivyo kusababishia mtu kupata stroke kutokana na damu...
  11. beth

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya majimbo nchini Marekani yameanza kulegeza masharti licha ya maambukizi ya Corona na vifo kuongezeka

    Baadhi ya majimbo yameanza kulegeza masharti ili kufungua uchumi katika maeneo yao licha ya vifo na maambukizi kuendelea kuongezeka nchini humo Magavana mbalimbali wakiwemo wa Oklahoma, Alaska and Georgia wameangaza kulegeza baadhi ya masharti ya kudhibiti maambukizi ya Corona Virus Marekani...
  12. Mukulu wa Bakulu

    JamiiForums Tanzania Rwanda na Ethiopia waomba msaada Marekani kupambana na corona, Trump aahidi kutoa msaada

    Wenzetu wanapambana kwa hali na mali kusaidia na kuokoa maisha ya wananchi wao. Sisi tumeamua kukaa kimia raia wajifie wenyewe.
  13. jmushi1

    JamiiForums Tanzania Kwasababu CCM wanapenda uongo na magoli ya mikono, COVID-19 haipendi uongo itawaondoa madarakani!

    Utaratibu wa ccm kutawala nchi yetu umekuwa ukigubikwa na usiri mwingi, uchakachuaji wa data, uongo uongo, propaganda, wasiojulikana na magoli ya mikono! Vyote hivyo ni adui namba moja pale inapokuja kwenye corona virus(covid-19) 🦠 Hivyo ccm lazima ipoteze uchaguzi mkuu ujao, hata kama wakiwapa...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Siasa kwenye Corona ni matokeo ya zuio la mikutano ya vyama vya siasa, wanasiasa wana " kiu" ya kuongea chochote wajulikane uwepo wao!

    Kuna baadhi ya vyama vya siasa vinatumia janga hili la Corona kutukumbusha kuwa na wao wapo baada ya kuwa wamesahaulika kwa miaka 5. Kwa sasa Corona inazungumzwa zaidi na wanasiasa kuliko wataalamu hali inayofanya hata mapokeo yake kwa baadhi ya watu kuwa na mrengo wa kisiasa. Hii haina afya...
  15. President of China

    JamiiForums Tanzania Serikali kupitia ofisi ya Waziri Mkuu yatoa njia za kujikinga na COVID-19

    Hivi ndio namna ya Tanzania kupambana na corona
  16. J

    JamiiForums Tanzania Corona ni kama ugonjwa wa ukoma ukiupata unatengwa na ukipona unaenda kujionyesha kwa wakuu wa makuhani. Je, waliponaje?

    Najaribu kuangalia visa vya ugonjwa wa Corona katika Biblia takatifu na njia zilizotumika kuudhibiti zama hizo. Ugonjwa wa ukoma ulihesabiwa kama ni laana " fulani" hivyo waathirika walitengwa na jamii ili wajipatie utakaso na kuweza kupona na kuirudia jamii tena. Zama hizo hapakuwepo chanjo...
  17. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania HRW yaitaka Rwanda iache ukandamizaji na kuwakamata watu kwa kisingizo cha Corona

    Shirika la kimataifa la kutetea haki za binaadamu, Human Rights Watch limesema polisi nchini Rwanda wamekamata watu kadhaa tangu amri za kuzuia kuenea kwa COVID-19 kuanza kutekelezwa Machi 22, mwaka huu. Polisi wamekosolewa kwa kukiuka sheria na wakati mwingine kuwakamata watu kwenye...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Waafrika wawajia juu wanaopendekeza chanjo ya COVID-19 kufanyiwa majaribio Afrika

    Supastaa wa zamani wa Inter Milan na Chelsea, Samuel Eto'o amewatolea uvivu maprofesa nchini Ufaransa kufuatia matamshi yao yasiyofaa juu ya Afrika kipindi hiki ambacho ulimwengu unatafuta ufumbuzi dhidi ya kupambana na ugonjwa wa Virusi vya Corona. Hakuna dawa ambazo zinaweza kuzuia ugonjwa...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, Haya mateso mnayowapa wagonjwa wa CORONA ni sawa na kuwapa hukumu ya kifo!

    Mambo mengi hayaeleweki kwenye utawala huu, Kuanzia kauli za kupingana za Makonda, kauli zisizoeleweka za waziri Ummy Mwalimu, Kauli tofauti (mabishano) kati ya Makonda VS Magufuli kuhusu kupiga dawa katika jiji la Dar Es Salaam, idadi ya wagonjwa waliopata nafuu au kupona tofauti kati ya Ummy...
  20. Mystery

    JamiiForums Tanzania Hivi Rais Magufuli alifanya maamuzi ya busara kwa kuwaita Wakuu wa Vyombo vya Usalama kuongelea COVID19, badala ya kuwaita Wataalamu wa Afya?

    Tuliona wenyewe Rais Magufuli akiwaita wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama nchini, wengi wakitoka jijini Dar na wengine wakitokea Dodoma, umbali mrefu wa kilometa maelfu, kuongelea ugonjwa wa corona, ambao unatikisa dunia nzima hivi sasa, ikiwemo Tanzania. Nimekuwa nikijiuliza hivi si yeye...
Back
Top Bottom