corona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Corona: Watakaopona walijipanga, Ukiona vyaelea Vimeundwa

    Mabibi na mabwana moja kwa moja kwenye mada. "Mficha ugonjwa kifo humfichua." Haya si maneno yangu, bali ya wahenga walioyaona hayo tangia zama za kale mno. Hadi wa leo majina ya vigogo, makubwa na madogo, ndani na nje ya nchi yanajulikana kuwahi kuathirika vilivyo na ugonjwa huu wa Corona...
  2. MK254

    Poleni Burundi kwa kumpoteza Rais, japo alikuwa mkaidi kwa Corona ila tu basi

    Haka kaugonjwa hata mimi nilikua nimeanza kuwaiga Watanznia na kulegeza, ila hizi taarifa zimenikurupusha. Huu sio wakati wa kubeza juhudi za tahadhari dhidi ya corona, hiki kirusi kilimlaza waziri mkuu wa Uingereza sembuse maskini wa Afrika, japo hatujajua nini kimemsibu rais wa Burundi ila...
  3. S

    Tunaomba tufahamishwe gharama za matunzo ya ndege za ATCL za kila mwezi na hasara tuliyopata tangu zipaki kwa ajili ya matatizo ya Corona duniani

    Kwa wale wanaojua masuala ya uhandisi wa ndege pamoja na kuzitunza, wataelewa kwamba hakuna kitu chenye gharama kubwa kama kupaki ndege bila kuitumia. Unapokuwa na ndege ni lazima itumike karibu kila wakati. Gharama za kuitunza ndege iliyopaki ni kubwa sana. Tulikuwa na shamrashamra za kununua...
  4. T

    Mapambano ya Corona: Kenya yapata msaada wa $78M kutoka Umoja wa Ulaya (EU)

    Katika kupambana na madhara ya corona Kenya imeendelea kupokea misaada kutoka nchi mbali mbali Duniani ili kusaidia sekta ambazo zitaathirika zaidi. Hadi sasa Kenya imeshapokea msaada wa Dollar Millions 350 kutoka umoja wa ulaya na nchi moja moja za ulaya zimeichangia Kenya Dollar Million 33...
  5. B

    Corona: New Zealand siku ya 17 leo bila ya kirusi Corona nchini

    Mabibi na mabwana hii ni habari njema na kumbe kweli inawezekana. New Zealand kafanikiwa kumgaragaza kirusi Corona vilivyo. Hii leo kwa siku ya 17 hawana mgonjwa hata 1 wala maambukizi yoyote. Yote hii si kwa nyungu, maombezi wala mitishamba. Si kwa ubabarishaji wala kwa takwimu magumashi bali...
  6. B

    CORONA: Madereva wa Tanzania bado wanazuiwa mpakani, TATOA Watoa tamko

    June 8, 2020 Chama cha wamiliki wa Malori Tanzania (TATOA) Tanzania Truck Owners Association :: Home wameonesha masikitiko yao kwa nchi jirani na Tanzania kufuatia muendelezo wa kuzuiliwa madereva wa malori wanaotoka Tanzania kuvuka mipaka kwa madai ya kuwa madereva hao wana maambukizi ya...
  7. beth

    Brazil yaondoa takwimu za jumla za Corona kwenye tovuti ya Serikali, itakuwa inatoa takwimu za siku pekee

    Brazil imeondoa takwimu za COVID19 kwenye tovuti ya Serikali. Wizara ya Afya imesema kuanzia sasa itakuwa inatoa takwimu za saa 24 na idadi ya jumla itaacha kutolewa Uamuzi wa kuondoa takwimu za jumla umepingwa vikali na wanahabari pamoja na Wabunge nchini humo Rais Jair Bolsonaro amesema...
  8. B

    Corona: Ni wajibu wa Serikali kutupa majibu sahihi

    Mabibi na mabwana moja kwa moja kwenye mada. Itifaki yote imezingatiwa. Serikali ni chombo cha wananchi chenye dhamana ya kuwaongoza wananchi wake. Katika dhamana hiyo serikali haiwezi kuukwepa wajibu wake wa kutoa taarifa zilizo sahihi katika jambo lolote lile kwa wananchi wake. Ni vivyo...
  9. Miss Zomboko

    Likizo ya Corona kwa wanafunzi: Wasichana 100 wapata ujauzito mkoani Mtwara

    MIKOA minne imetajwa kuwa kinara wa ndoa za utotoni kipindi hiki ambapo wanafunzi wapo majumbani, kutokana cha mlipuko wa ugonjwa wa corona. Serikali ilitangaza kuzifunga shule zote za msingi, sekondari na vyuo Machi 17, mwaka huu kutokana na mlipuko wa janga hilo. Mikoa hiyo ni Ruvuma, Mara...
  10. J

    CHADEMA wampongeza Rais Magufuli kwa kutoifunga nchi wakati wa Corona

    Chadema mkoa wa Tabora wamemshukuru na kumpongeza Rais Magufuli kwa kutoifunga nchi wakati wa Corona. Akiongea kwa niaba ya uongozi wa mkoa wa Chadema, mbunge wa viti maalumu mh Mwaisonga amesema wao kama chama wanamshukuru Mungu kwa maono aliyompa Rais Magufuli na hatimaye ametuvusha salama...
  11. T

    Siasa zinatufanya tumkufuru Mungu hata kuhusu corona

    Wengine tuliofiwa na Ndugu tokana na gonjwa hili la Covid 19 ndiyo tunajua machungu yake. Serikali yetu, naapa mbele za Mungu Wetu, ilipoamua kusimamisha kupima maambukizi ilificha mengi. Halijaisha juma moja nina uhakika na kifo cha Ndugu yangu mwingine kuwa kilisababishwa na corona. Ni kweli...
  12. B

    Corona: Mizozo ya mipakani, wa kulaumiwa ni Tanzania

    Mabibi na mabwana moja kwa moja kwenye mada ili kumfunga paka huyu kengele. Tunayoyashudia sasa hivi mipakani ni wazi kuwa yataendelea kwa muda mrefu tu na bila ya kupatiwa ufumbuzi wa kudumu. Ni wazi kuwa Tanzania kwa kukataa kuwemo katika protokali za pamoja kuhusiana na ugonjwa huu katika...
  13. Mtini

    Mabeberu wanaendelea kutuhujumu: Kwanini hawataki kubadilisha data za COVID19 zinazohusu nchi yetu?

    Baada ya usingizi kukata nikaamua kuingia kwenye mtandao maarufu wa Coronavirus Update (Live): 6,844,705 Cases and 398,141 Deaths from COVID-19 Virus Pandemic - Worldometer unaotoa taarifa za corona kwa kila nchi. Nimestaajabu kuona wanasema Tanzania bado tuna wagonjwa 305. Nachojua ni kuwa...
  14. T

    Juni 10 IMF & World Bank kuamua iwapo Tanzania tunakidhi kupewa mkopo tulioomba kupambana na corona au hatustahili

    June 10 bodi ya wakurugenzi wa shirka la fedha Duniani na Bank ya Dunia kuamua iwapo tunastahili kupewa msamaha na mkopo kupambana na corona au laa. Mwezi April IMF na WB walitengeneza kitu kinaitwa Catastrophe Containment and Relief Trust ili kusaidia nchi masikini kupambana na madhara ya...
  15. beth

    Visa vya Corona vyaongezeka hadi 557, visa vipya 35 vyatangazwa

    Wizara ya Afya imesema visa vipya 35 vimethibitishwa nchini humo baada ya sampuli 2,267 kufanyiwa vipimo. Kati ya sampuli hizo 1,412 ni kutoka mipakani na 855 ni za wananchi wa kawaida Vilevile, madereva 31 kutoka Kenya-18, Tanzania-7, DR Congo-4 na Burundi-2 wamerudishwa nchini kwao baada ya...
  16. Cannabis

    Dkt. Rahma Shangali: Mambo 7 niliyojifunza toka kwa Rais Dkt. Magufuli kutokana na janga la corona

    Dunia bado inaendelea kupigana na ugonjwa wa korona. Miezi ya hivi karibuni imekuwa ya heka heka na maamuzi mengi kwa karibu kila mtu duniani kuanzia ngazi ya familia hadi Taifa. Binafsi nimetumia muda huu kuchukua tahadhari kuzuia maambukizi kwangu, familia na wale wanaonizunguka lakini pia...
  17. FRANC THE GREAT

    Marekani: Uchunguzi wabaini kuwa George Floyd alikuwa na COVID-19

    George Floyd, ambaye kifo chake huko Minneapolis wiki iliyopita kilisababisha maandamano makubwa juu ya udhalilishwaji wa watu weusi unaofanywa na polisi, alipatikana na virusi vya Corona wiki chache kabla ya kifo chake, ripoti ya uchunguzi wa mwili ya siku ya Jumatano imeonesha. Hati yenye...
  18. T

    Baada ya ujio wa corona ndio nimemuelewa Jacob Zuma aliposema kuhusu kuosha na maji na sabuni

    Miaka flani aliekua rais wa Afrika kusini bwana Jacob Zuma aliulizwa dawa ya ukimwi. Alitamka maneno machache tu kua baada ya mechi nenda ukaoshe na maji na sabuni (usanitiise) vitu vyako ukae utulie. Baada ya miaka mingi ndio naelewa maana ya maneno aliyoyasema Zuma mwaka 2006. Of course kwa...
  19. B

    Corona ipo, Rwanda waripoti kifo cha pili

    Mabibi na mabwana kama kunavyoitishwa kila leo Corona bado ipo, inauwa na haichagui. Hadhari! Majirani zetu, Rwanda wame ripoti kifo cha pili kutokana na Corona. Huyu ni raia wa Rwanda, askari binti mbichi wa miaka 24 aliyekuwa kwenye majukumu ya umoja wa mataifa. Inasikitisha. Akapumzike kwa...
Back
Top Bottom