Mlipuko wa ugonjwa wa #COVID19 ulianza Desemba, 2019 mjini Wuhan China. Hadi hivi sasa ugonjwa huo umeenea kwenye nchi na mataifa 188
Vifo zaidi ya 470,795 vimeripotiwa kataika jumla ya maambukizi milioni 9.05 yaliyoripotiwa dunia nzima. Huku watu milioni 4.8 wakiripotiwa kupona
Hadi hivi sasa...
Kutokana na taarifa iliyotolewa leo na Waziri wa Afya nchini Kenya leo tarehe 21/06/2020, Kenya imerekodi visa 260 vipya vya maambukizi ya virusi vya Corona na kupelekea jumla idadi ya maambukizi kuwa 4,738. Idadi hii ya maambukizi inavunja rekodi ya idadi ya maambukizi mengi kutangazwa kwa...
Mnaoendelea kupuuza na kukaidi ushauri wa tahadhari dhidi ya Corona mfahamu mnamtekenya simba na kucheza na masharubu yake, hiki kitu kinaua bila huruma, na ndio kinaendelea kupata kasi Afrika, yaani chini ya wiki mbili tayari kimelamba watu 800 nchini Afrika Kusini.
-----
COVID-19, the...
Rais Donald Trump akiwa katika kampeni mji wa Tulsa, alisema kuwa serikali yake imepambana vizuri dhidi ya virusi vya corona. Amesisitiza ugonjwa wa virusi hivyo ungeweza kupewa majina mengi bora zaidi, lakini wameuita COVID-19, alisema ugonjwa unaosababishwa na virusi hivyo vingeweza kuitwa...
Hatimaye siri tumeijua, kumbe analofanya Rais Magufuli la kuacha watanzania waishi kiholela na Corona analifanya kwa makusudi kabisa.
Anadhamiria kuwashawishi waangalizi muhimu wa uchaguzi mkuu kutoka mataifa mbalimbali waisje nchini mwezi octoba. Hili limedhihirika hats huko kwenye baraza la...
Kwa sababu ya Corona ndege za kutoka ulaya kuja Tanzania hazipo na hazijulikani lini zitaanza
Kwenye mchakato wa uteuzi wa mgombea uraisi chadema na vyama vingine vya upinzani ni vizuri vikateua wagombea uraisi waliomo ndani ya Tanzania. Wasije poteza kwa kuteua mtu ambaye hataenda kuchukua...
Hadi kufikia jana Alhamisi, wafanyakazi wapatato 730 katika machinjio ya jimbo la North Rhine-Westphalia (NRW) nchini Ujerumani wamethibitika kuambukizwa virusi vya Corona baada ya kupimwa
Mamlaka za huko zimeamuru kufunguwa kwa kiwanda cha kuchakata nyama cha Kundi la Toennies kwenye eneo la...
Serikali ya Uingereza imesema kuwa dawa ya Dexamethasone itakayoanza kutumika mara moja kwa wagonjwa wa COVID 19 nchini humo ina uwezo wa kuokoa maisha ya waliopata maambukizi ya virusi hivyo.
Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson Jumanne Juni 16, amewashukuru wanasayansi wa Chuo Kikuu cha...
Na Sammy Awami BBC News, Dar es Salaam
18 Juni 2020
Rais wa Tanzania John Magufuli amekuwa akikosolewa kwa mashambulizi yake ya mara kwa mara dhidi ya "mabeberu" na tangazo lake la hivi karibuni kuwa maombi na sala vineondosha virusi vya corona katika taifa hilo.
Lakini suala hilo la...
Viongozi wa Brazil walichukulia poa hiki kirusi, wakakaidi ushauri wa wataalam na kujichokea, leo idadi ya waathirika imegonga 960,309, ikizingatiwa hao ni waliopima ila kila mmoja wa hao inawezekana kaambukiza watano na hao watano kila mmoja ana watano wake, yaani mtandao balaa.
Hiki kitu...
NAMNA FAMILIA ZINAVYOWEZA KUISHI HUKU ZIKIENDELA KUJIKINGA NA MAAMBUKIZI YA CORONAVIRUS
Kila mwanafamilia ana jukumu la kujilinda na kuwalinda watu wote kutokana na maambukizi ya CoronaVirus. Suala lolote la Kitaifa linaanzia kwenye ngazi ya familia kwa kila mmoja kuchukua tahadhari.
Kwa...
Na Festo Donald Ngadaya
Twitter, Instagram and Facebook @FestoNgadaya
Mwezi wa kwanza mwaka huu shirika la afya la dunia (WHO) lilitanganza covid-19 kama janga la kidunia (global pandemic). Toka hapo kumekuwa na miongozo tofauti tofauti ya upimaji wa virusi vya corona maabara. Covid19 ni kifupi...
Mkutano wa kuthibitisha matokeo ya majaribio ya Chanjo ya kwanza ya virusi vya Corona iliyotengenezwa na Taasisi ya bidhaa za viumbe ya Wuhan ya China umefanyika jana kwa wakati mmoja mjini Beijing na mkoani Henan.
Matokeo yameonesha kuwa baada ya kupewa chanjo aina hiyo, hakuna mtu aliyekuwa...
Wakazi wa Beijing wamerudi kwenye hali ya taharuki ya hapo awali janga la Corona lilipoibuka baada ya serikali yao kuweka sehemu za jiji lao kwenye total lockdown na kuwashurutisha maelfu ya watu kupimwa. Hii inafatia mkurupuko mpya wa COVID-19 ulioibuka kutoka kwa samaki aina ya 'Salmon' ndani...
Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu leo imewahukumu aliyekuwa Rais wa Migodi ya Pangea, North Mara Exploration na Bulyanhulu, Deodatus Mwanyika na wenzake wawili, kulipa fidia ya TSh1.5 bilioni baada ya kupatikana na hati ya kukwepa kodi.
Imetoka wapi? Soma TAKUKURU yawakamata aliyekuwa makamu wa...
Nimekaa kuangalia hotuba ya rais ya kuvunja bunge, wabunge wengi sana wamo bungeni bila kuvaa barakoa wala bila social distancing ya kutosha. Hali hii ni hatari sana hasa baada ya serikali kuendelea kuwatangazia wananchi kuwa ugonjwa huo bado upo. Mfano jana Waziri mkuu alisema kuna wagonjwa...
Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Bibi Hua Chunying leo ametangaza kuwa, rais Xi Jinping wa China kesho hapa Beijing ataendesha na kuhutubia mkutano maalumu wa kilele wa ushirikiano kati ya China na Afrika kwenye mapambano dhidi ya virusi vya Corona.
Mkutano huo umefanyika chini ya...
Duh! Kama kuna nch imejichokea kwenye hili la corona basi ni Tz, yaani wakuu wote wanapishana kauli, hakuna anayesema kimoja na mwenzake, halafu wataalam wote walishajipigia kimya. Mkulu kasema juzi corona imefutika kabisa kwao, wazri wa masuala ya afya akasema wamesalia wanne, waziri mkuu jana...
Wiki iliyopita Waziri wa Afya alitutangazia kuwa Tanzania imebakiwa na wagonjwa wanne 4 tu walio na virusi vya COVID-19 baada ya wagonjwa waliofikia 500+ kabla kupona na ugonjwa kupungua kama sio kwisha kabisa. Leo Waziri Mkuu anatuambia kuna wagonjwa 66 nchi nzima.
Ni takriban wiki imepita...
Pamoja na serikali ya Tanzania kutambua ugumu wa mzunguko wa biashara nchini humo kutokana na janga la Corona , na kupitia BOT imetoa maelekezo kwa benki zote kutoa nafuu ya marejesho ya madeni ya mikopo kwa wateja wake , ambapo baadhi ya benki nchini Tanzania ikiwemo Exim bank , ambayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.