corona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Rapper 50 cent ataja tiba ya Corona

    Mwanamuziki Curtis James Jackson III alias 50 cent ametaja dawa ya Corona. Kupitia ukurasa wake wa Instagram 50 ameandika: " This shit is just sad , yes I guess we know the cure for Corona virus was racism every body back outside mad as mother fucker." Kauli hii ameitoa aki refer hatua ya...
  2. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uganda wanaendelea kuwataja madereva wa Tanzania walioathirika Corona, hivi mbona hao hamuwapigii makelele?

    Museveni ni mkaidi balaa, huwa hana muda na ujinga au utoto, hata mkilia lia vipi bado anaendelea kuwaumbua waficha maradhi. Kwake anataja kabisa idadi ya madereva wa kutokea mataifa jirani ambao wana maambukizi ya corona, anawasema Watanzania bila kumumunya maneno, watajijua wenyewe kwao huko...
  3. kimbendengu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tetesi: Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza pia apatikana Corona

    Rais anayemaliza muda wake Nkurunzinza pamoja na mkewe wamepimwa na kukutwa na Virusi ya Corona ======= It is now emerging that Burundi’s President Pierre Nkurunzinza could after all have contracted Coronavirus (Covid-19). Sources in Bujumbura close to Presidency indicate that soon after the...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Corona: Baada ya kushinda vita hakuna hata wa kutupongeza?

    Ama kweli raha jipe mwenyewe. Ukisubiri mwingine kukupa raha, mbona waweza kusubiria mno? Tumetangaziana kwa bashasha kuwa tumeshashinda vita. Wagonjwa wamekuwa wakipungua tokea mamia hadi mamoja. Haiyumkiniki kwa mwendo huo kufikia sasa, si haba Corona itakuwa kwishney! Vita hii si ndogo...
  5. Analogia Malenga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KENYA: Maambukizi ya Corona yafikia 1745

    Idadi ya maambukizi ya #COVID19 imeongezeka baada ya maambukizi 127 mapya kuthibitika na kufanya nchi hiyo kuwa na jumla ya maambukizi 1,745. Idadi hiyo imekuja baada ya kupima sampuli 3,831 Wizara ya Afya imesema pia watu 4 zaidi wamefariki na kufanya idadi ya vif kufikia 62. Vifo vinne...
  6. J

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Mbowe aliona shetani, majeneza na vifo lakini Rais Magufuli alimuona Mungu na kuishinda Corona

    Mkuu wa mkoa wa Mbeya Albert Chalamila amesema katika kuikabili Corona mh Mbowe wa Chadema aliona shetani, majeneza na vifo ndio maana aliogopa na kukimbilia chumbani kujificha yeye na kundi lake. Lakini Rais Magufuli alimwona Mungu akazipeleka haja zetu mbele zake, Mungu akatupigania nasi...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Tahadhari za corona zinapuuzwa

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida maeneo mengi ya jiji la Dar wakazi wake wameacha au kupunguza kuwa na tahadhari na ugonjwa huu .... Watu hawavai barakoa watu hawànawi kama ilivyokuwa siku chache gonjwa likipopamba moto. Mwanzoni ilikuwa tahadhari ipo kila mahala na hata ndani ya mabasi ya...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Kama taarifa ya janga la korona haina umuhimu Tanzania kwanini vyombo vyetu vya habari viendelee kutoa taarifa za mataifa mengine?

    Baadhi ya vyombo vya habari kama ITV na UTV hapa nchini kila baada ya taarifa ya habari hutoa summary ya mwenendo wa maambukizi ya korona duniani. Je kuna faida au madhara gani kwa wananchi kusikia taarifa ya mwenendo wa Korona kwa mataifa ya nje tu bila kujua kinachoendelea nchini? Je...
  9. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkewe Rais wa Burundi aletwa Kenya kutibiwa Corona

    Hawa Burundi nao pia walijitutumua kwa kujifanya wakaidi na kugoma kufunga chochote, wakajisahau wao ni kainchi kadogo kenye watu wachache, hawana jeuri ya kustahimili vifo vingi kama maskini wenzao wenye idadi kubwa ya watu wa kupoteza na maisha bado yaendelee. Sasa kirusi kimegonga ikulu na...
  10. mkiluvya

    JamiiForums Tanzania Tanzania yapongezwa Mapambano Dhidi Ya Virusi Vya Corona

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Prof. Pamalagamba John Kabudi (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Ufaransa nchini, Mhe. Frederic Clavier ambapo pamoja na mambo mengine, Balozi Clavier ameipongeza Tanzania kwa hatua ilizochukua kupambana na janga a...
  11. Magonjwa Mtambuka

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Makali ya Corona huko Kenya

    Kazi takribani millioni nne kupotea. Ni kilio na kusaga meno. Kwisha kazi yao, Kushobokea wazungu kunazidi kuwaponza. ===== Makali ya janga la COVID -19 yanazidi kushuhudiwa nchini huku wafanyikazi wengi wakipoteza ajira kila uchao. Hoteli ya Fairmont ndiyo kampuni ya hivi punde kutangaza...
  12. J

    JamiiForums Tanzania 30% ya wagonjwa wa Corona duniani wako Marekani, Tanzania yakanusha hospitali zake kuzidiwa na wagonjwa

    Takwimu za WHO zinaonyesha kuwa 30% ya wagonjwa wote wa Corona duniani wako Marekani. Kadhalika Tanzania imekanusha taarifa za ubalozi wa Marekani kuwa hospitali zimexidiwa na wagonjwa wa Corona. Serikali imesema maambukizi ya Covid 19 yamepungua sana na wananchi wanaendelea na shughuli zao...
  13. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Sudan Kusini akutwa na Corona

    Hussein Albelbagi, makamu wa tano wa Rais wa Sudan Kusini amekutwa na #CoronaVirus. Pia ni kiongozi wa tano kutangaza kuwa ana #COVIDI19 Sudan Kusini ilipata maambukizi ya kwanza ya #CoronaVirus Aprili 5, yaliyokutwa kwa mwanamke aliyeingia nchini humo Februari 28 akitokea Ethiopia Awali Rais...
  14. kavulata

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya tumieni takwimu kwenye lockdown ya CORONA

    COVID-19 imeua watu 55 Kenya tangu Mwezi March 2020 hadi May 2020. Kabla ya kuendelea na lockdown ya CORONA toweni takwimu ya vifo kutokana na magonjwa mengine Kama Malaria, TB, HIV, ajali za bodaboda katika kipindi Cha kuanzia March- May 2020 same period ili kuona Ni ugonjwa gani umeua wakenya...
  15. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Serikali ilimtunzia heshima Mbowe hakuitunza, ilikuwaje ahutubie Taifa? alete mkanganyiko wakati wa Corona?

    Mbowe alistahili kuwa jera toka muda mrefu ila serikali imemtunzia siri zake nyingi sana hata yy anajua ila yuko kwenye mwamvuli wa kuwa mwenyekiti wa CHADEMA kwamba ukimgusa nchi mbalimbali zitaiandama Serikali lakini kwenye janga LA Corona alitenda kosa kubwa mnoo hasa alipowaamuru wabunge wa...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Corona: EAC kutokuwapo protokali moja, janga hili bado sana.

    Moja kwa moja kwenye mada. Kama ilivyokuwa imetegemewa Kenya tayari wameshakata pumzi. Kinachosubiriwa sasa ni tamko rasmi tu la bwana Kenyatta. Tayari waziri wao wa afya Mutahi Kagwe amekwishakiri kuwa Corona sasa hivi huko Kenya iko kila mahali. Heri hawa wanao ujasiri wa kuutamka ukweli...
  17. Influenza

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda yatangaza Visa vipya 31 vya COVID19, visa 16 ni Watanzania

    Uganda imetangaza Wagonjwa 31 wapya wa #COVID19 waliopatikana baada ya sampuli 1,116 kupimwa ndani ya saa 24 zilizopita na kufanya jumla ya maambukizi kufikia 253 Wagonjwa 23 ni kutoka mipakani ambapo sampuli 896 zilichukuliwa na 8 ni waliopimwa wakiwa Karantini baada ya kukutana na madereva...
  18. Lorenzo Rothgold

    JamiiForums Tanzania The CoronaVirus, safety first, the economy and the world’s five stages of grief

    The virus Covid-19 has created two camps; the ones who say stay home, stay safe. The other camp is Take care of yourself and take care of your business, the biggest debate being what is important to save human lives or the economy and everything else. I will go ahead and declare my interest as I...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Corona: Tuweni macho na hivi vifo vya ghafla ghafla

    Akili za kuambiwa changanya na za kwako. Vifo vinavyotokea ghafla ghafla katika zama hizi ambazo mamlaka kwa makusudi haina nia ya kufahamu vyanzo vya vifo, akili za kuambiwa changanya na za kwako. Hapa pana rubani wa Afrika kusini na aina ya vifo hivi: Angalau hawa wanayo nia ya kufahamu...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Atlanta: Baada ya graduation ceremony, wahitimu kadhaa wakutwa na maambukizi ya Corona

    Hii ni kwa mujibu wa CNN tarifa ya habari ya saa 8 mchana huu.. Wanasayansi wameonya hatari za kulegeza masharti ya measure za kuzuia maambukizi. Jana fukwe za bahari karibu zote zilifurika umati wa watu virtually bila tahadhali yoyote. Wameshauriwa wajifanyie self quarantine vinginevyo...
Back
Top Bottom