corona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Q

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje tuambiwe Corona inapungua ilhali wagonjwa wanaongezeka?

    Wiki iliyopita Waziri wa Afya alitutangazia kuwa Tanzania imebakiwa na wagonjwa wanne 4 tu walio na virusi vya COVID-19 baada ya wagonjwa waliofikia 500+ kabla kupona na ugonjwa kupungua kama sio kwisha kabisa. Leo Waziri Mkuu anatuambia kuna wagonjwa 66 nchi nzima. Ni takriban wiki imepita...
  2. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Manispaa ya Temeke yakosa utu , yaanza kuwadhalilisha wafanyabiashara waliochelewesha malipo bila kujali janga la corona

    Pamoja na serikali ya Tanzania kutambua ugumu wa mzunguko wa biashara nchini humo kutokana na janga la Corona , na kupitia BOT imetoa maelekezo kwa benki zote kutoa nafuu ya marejesho ya madeni ya mikopo kwa wateja wake , ambapo baadhi ya benki nchini Tanzania ikiwemo Exim bank , ambayo...
  3. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania Serikali: Kwa sasa Tanzania ina wagonjwa 66 wa Corona nchi nzima ndani ya mikoa 10 na mikoa 16 haina wagonjwa

    Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema hadi kufikia leo mchana, kulikuwa na wagonjwa 66 wa #COVID19 katika mikoa 10 hapa nchini. Akihutubia Bunge JijinI Dodoma, Waziri Majaliwa amesema mikoa 16 ikiwemo Arusha, Pwani, Manyara, Katavi, Rukwa na Kagera haina mgonjwa wa Corona. Ameongeza...
  4. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kiongozi wa upinzani Kenya apimwa corona, yaani mwendo wa kupima kila mtu

    Vizuri sana Wakenya tunavyolishughulkia suala hili la corona, ushirikiano baina ya wanasiasa wote, hamna mikwara au matamko yenye kejeli, hakika tumeonyesha mfano wa kuigwa Afrika na duniani kote. Kiongozi wa upinzani Raila Odinga amepima corona na kuagiza matokeo yatangazwe hadharani, hivyo...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Fanya hivi ukihisi umeambukizwa virusi vya Corona (COVID 19)

    Mimi ni daktari bingwa wa magonjwa ya ndani na pia ni mkufunzi wa kitaifa wa magonjwa ya mlipuko ikiwapo COVID. Na nimekuwa nikitibu wagonjwa wengi wa COVID toka huu ugonjwa uje nchini kwetu na ningependa kuwapa ushauri ufuatao. Naamini unafahamu dalili za ugonjwa huu kwakuwa zimetangazwa sana...
  6. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Huwa nafikiria sana haya, Hivi Nkurunzinza alikufa na Corona au ameuawa na sumu za kisasa. Ilikuwa sahihi sana Viongozi wetu kuwa sehemu salama

    Hii Corona ukiifikilia kwa undani ipo na Siri kubwa. Kwa wanaotafakari kwa undani lazma wajiulize hivi ilikuwaje. Mara Waziri wa afya Uingereza kaugua korona, kidogo Waziri mkuu oh Mara imeingia ikulu ya Marekani. Kwa wataalamu wa Mambo huwenda ilikuwa sio kwa bahati mbaya ili ionekane wazi kuwa...
  7. FRANC THE GREAT

    JamiiForums Tanzania Watu wenye ualbino walaumiwa kwa kuenea kwa virusi vya corona barani Afrika

    Habari! Katika hali isiyo ya kawaida, watu wenye ualbino waishio barani Afrika wamekuwa wakilaumiwa na kushutumiwa kwa kuenea kwa maambukizi ya virusi vya corona barani humo, mtandao wa Business Insider umeripoti. Kumekuwa na taarifa kuwa watu wenye ualbino wamekuwa wakipachikwa majina kama...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Corona: Sudan ya Kusini hali ni tete, tuwasaidie. Uzoefu tunao

    Hali ni mbaya sana Sudani Kusini kuhusiana na huu ugonjwa. Kama ilivyokuwa kwetu na kugongelewa vilivyo na Mh. Makonda: "Watu huko wanapukutika kweli kweli." Hii siyo siri ya kuficha tena. Ndani ya mwezi mmoja tu hali iko hivi: Horror as South Sudan Loses 35 Generals, Senior Officials in one...
  9. Mzukulu

    JamiiForums Tanzania China reports 11 new confirmed, 7 asymptomatic COVID-19 cases for June 12

    Niliwahi Kumsikia mahala Mtaalam Mmoja akisema kuwa kama pakiwa pametokea tatizo / janga fulani ndani ya nchi husika hata kama juhudi zinafanyika za kukabiliana nalo na zimeanza kuzaa Matunda ila bado haipaswi kwa Kiongozi husika wa nchi Kusifiwa, Kupongezwa na Kupambwa kila Kona kwani Kupunguza...
  10. Cannabis

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Rais Museveni akiri makosa ya majibu ya vipimo vya ugonjwa wa COVID-19

    Rais Museveni amesema baadhi ya majibu ya vipimo vya COVID-19 yalisemwa watu wanaumwa ingawa hawakuwa na ugonjwa huo. Rais amesema makosa hayo yametokana na uzembe katika maabara ya Chuo Kikuu cha Makerere. Wizara ya Afya ya Uganda imeripoti visa 679 vya ugonjwa wa COVID-19 na ikiwa na vifo 0...
  11. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania IMF Yaipa Rwanda Dola Milioni 111.06 zaidi ili kupambana na COVID-19

    Shirika la Fedha la Kimatifa (IMF), limeipa serikali ya Rwanda dola milioni 11.06 sawa na Tsh billioni 257 ili kuongeza nguvu katika kupambana na COVID19 Uchumi wa Rwanda uliathirika na baadaya kupigwa na COVID19, ukuaji wa uchumi wake ulitarajiwa kushuka kutoka 5.1 hadi 2.0 IMF imesema...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Corona: Ya Burundi ni somo tosha, hala hala majuto ni mjukuu

    Mabibi na mabwana moja kwa moja kwenye mada. Ajabu na kweli pana watu wanakereka mno waonapo tunaandika kuasa na kukumbusha ili kwamba maisha ya watu yakiwamo na yao, yaweze kulindwa. Watu hawa waliobarikiwa mioyo ya ajabu na pia kuwa na midomo michafu iliyojaa matusi katu si wa kuwasabiria...
  13. M

    JamiiForums Tanzania America Embassy, on the issue of the corona virus, you are puting your knees on our necks we can't breath

    We respect the United States, It is a great country, it is a great development partner but we would humbly want to tell it that it is now behaving like a bully on us!. Please stop this behaviour We know that America is the country most affected with the corona virus in the world and we trust...
  14. mkiluvya

    JamiiForums Tanzania Serikali yazindua mwongozo wa Taifa katika kuendesha Shughuli za Utalii nchini wakati huu wa janga la Corona

    Serikali imezindua rasmi mwongozo wa uendeshaji wa Shughuli za Utalii nchini Tanzania wakati huu wa janga la Corona na kuwataka wadau sekta hiyo kuzingatia matakwa yaliyo katika mwongozo huo ili kulinda usalama wa Watanzania na watalii wanaowasili nchini kutembelea vivutio vilivyopo. Akizindua...
  15. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Tutakiongezea bajeti kitengo cha dawa asili kimetusaidia kupambana na Corona, dawa za kienyeji zinaponya

    “Corona imepungua Tanzania, tusidharau dawa za kienyeji tusidharau hata kidogo, uchawi tu ndio mbaya lakini miti yote iliumbwa na Mungu kwa ajili ya kutusaidia, nimetoa maelekezo kwa kitengo cha dawa asili kiendelezwe kwa nguvu zote na bajeti yake iongezwe”-JPM “Watu wanapotengeza dawa za...
  16. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Aidan Eyakuze: Tanzania kuna lockdown ya takwimu katika vita dhidi ya Corona

    Sweden imekuwa ikisemwa vibaya kwa kujaribu kufuata kinga ya kundi "Herd Immunity" katika mapamabano dhidi ya COVID-19 na kulipa gharama ya vifo vingi zaidi. Uingereza ilijaribu kufuata mlengo huu kwa kipindi kifupi na kuuacha baada ya ongezeko kubwa la idadi za vifo vilivyotegemewa pamoja na...
  17. Mzukulu

    JamiiForums Tanzania Hivi Serikali ikimuamini huyu mwamba wa huko Mtwara hawezi kusaidia kuwaangamiza wasiojulikana na hata kutupa kinga thabiti ya janga la Corona?

    Mkazi Mmoja huko Mkoani Mtwara amewashangaza na hadi leo Kuwaacha Hoi Wananchi huko baada ya Kuanzisha Duka lake la Kuuza Bidhaa mbalimbali tokea Miezi Minne iliyopita ila huwa halifungi kabisa huku ikifika Usiku analiacha hivyo hivyo na kwenda zake Kulala eneo lingine lakini hakuna chochote...
  18. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Jemadari wa Vita Bora hujulikana kwenye Vita Magufuli umepigana Vita ya ufisadi na Corona upewe kipindi kingine

    Jemadari mzuri hujulikana na kukubalika kwa Vita kubwa nzito alizopigana Nyerere alipigania Uhuru Vita kubwa Mwinyi alirithi nchi haina hata Mia Mia ya Pesa za kigeni akafufua uchumi,Mkapa akatafuta solution za mashirika yaliyokuwa yakipata hasara kwa kuyauza kwa wawekezaji, Kikwete akatoa...
Back
Top Bottom