corona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Afrika Yote

    FAMM (AMTL) Co. walivyopeleka msaada wa kujikinga na Corona kwa Watoto wa Huruma

    Habari za mida huu, mapambano ha Corona yanaendeleaje huko? Narudi kwenye point ya msingi hapa, nimekuja kugundua kuwa watu wengi wenye uwezo kidogo wa kujipatia mahitaji ya kila siku basi kwa namna moja au nyingine ni rahisi sana kusahau kwamba kuna watu wenye uhitaji wapo sehemu hivyo huwa na...
  2. G Sam

    Ubalozi wa Marekani waituhumu Tanzania kuficha takwimu za COVID 19, wasema kwa hali hii hauwezi kutoa hatima ya raia wake

    Wamekuja tena na tuhuma. Muwaite tena. Wanawatuhumu kuficha takwimu tangia April 29 mwaka huu. Hawawezi kutoa hatima ya raia wake kwa kuwa hamueleweki.
  3. YEHODAYA

    Sababu ya Marekani kupiga yowe kuwa nchi za Afrika zinaficha takwimu za Corona ni kuficha aibu kuwa wao taifa kubwa limeshindwa kupambana na Corona!

    Marekani huwa ni taifa linalojiona ni dume linaweza kila kitu kuliko taifa lolote duniani Sasa imekuja Corona nchi za Africa tumeiwezea kuliko marekani Sasa baada ya marekani kuona ohhh vinanipita hata vi nchi vidogo kuishinda corona akaona atafute sababu za kujikosha kuwa ohhh mimi bado niko...
  4. B

    Corona: Siri ya mafanikio yetu katika hii vita

    Mabibi na mabwana moja kwa moja kwenye mada. Kwa mwendelezo wa updates kuhusiana na huu ugonjwa hapa nchini Tanzania, watake wasitake (wakiwamo mabeberu) wanacho cha kujifunza tokea katika mafanikio yetu. Maeneo matatu muhimu kwenye mafanikio hayo wakiyadharau itakuwa imekula kwao vilivyo: 1...
  5. mimi mtakatifu

    Tuzitazame fursa za kiuchumi kipindi hiki cha Corona

    Ikiwa dunia inapitia kwenye mtikisiko mkubwa wa kiafya na kiuchumi baada ya kukumbwa na janga la corona. Tumeshuudia biashara, ajira, uwekezaji nk vikiporomoka. Lakini wanasema penye kila changamoto kuna fursa, tumeona baadhi ya fursa zilizojitokeza kwenye kipindi hiki kama ushonaji wa...
  6. J

    Mwongozo: Wizara ya Afya imetahadharisha kuwa COVID19 bado ipo; tunaishije?

    Wakati dunia ikiendelea kupambana kudhibiti mlipuko wa CoronaVirus, Tanzania imetangaza kuendelea kwa shughuli nyingi za kiuchumi na kijamii. Hii inapelekea Watanzania kulazimika kutafta namna ya kuishi na gonjwa hili miongoni mwetu huku tukiendelea kutimiza majukumu. Katika mchakato huu...
  7. MK254

    Ebola yaibuka DRC huku wakipambana na Corona na vita baina yao

    DRC ni kama wana gubu, yaani kisirani fulani hivi, corona inawatesa, hawajatulia Ebola imewakondolea macho tena halafu walivyo wa ajabu bado wanapigana licha ya mahangaiko hayo.... ====== Five people, including a 15-year-old girl, have died of Ebola in a fresh outbreak of the virus in the...
  8. Salim A. Msangi

    Corona Virus; New 9/11 (Welcome to a New Normal)Prt 6

    Ulaya wanayo mkakati kufikia 2025 wawe wameachana kabisa na sarafu na waende kwenye Cashless Society. Moja ya vitu ambavyo janga hili litafanikisha ni kuongeza kasi ya kusambaa kwa Cashless Society kwenye uwigo mpana, na wakati ambapo tutakuwa tunaandika historia ya janga hili dunia nayo itakuwa...
  9. Salim A. Msangi

    Corona Virus; New 9/11 (Global ID)Prt 5

    Kwa miongo kadhaa sasa kumekuwa na juhudi za makusudi za kutoa chanjo zinazo lenga kupambana na aina Fulani ya maradhi na mahusisi kwa makundi tofauti ya watu, rika, maeneo na hata nchi. Pamoja na kwamba chanjo hizi zimekuwa zikipokea upinzani mkubwa, tena wakitafiti, wenye hadidi rejea za...
  10. Salim A. Msangi

    Corona Virus; New 9/11 (Gates Man of the Show)Prt 4

    Athari ya 9/11 na kukamilisha malengo yake imekwenda kwa takribani miongo miwili, kutoka kwa movie na kanda zilizo okotwa Torabora, kuja kwenye video za Osama zilizo kuwa zikizundiliwa na Al Jazeera mpaka kuja ‘kuuwawa’ kwa Al-Baghadad. Zote hizo zilikuwa ni movie zinachezwa kutufikisha hapa...
  11. Salim A. Msangi

    Corona Virus; New 9/11 (P+R=S)Prt 3

    Problem + Reaction = Solution. (P+R=S) Formula hii imetumika sana kwenye majukwaa ya kisiasa, kitaifa na kimataifa, toka enzi za WWI na hata kurudi nyuma mpaka hivi karibuni kwenye 9/11 na yaliyo fuata baada ya hapo. Ukionganisha nukta za maelezo ya wana Globalist kabla ya janga hili, na sasa...
  12. beth

    Madaraka Day: Kenya yasheherekea miaka 57 ya Utawala, maadhimisho yatarushwa kupitia mtandao kutokana na janga la Corona

    Rais Uhuru Kenyatta leo anaongoza Wakenya kusherehekea maadhimisho ya miaka 57 ya Sikukuu ya Madaraka (Madaraka Day), ambapo kwa mara ya kwanza yatafanyika kupitia mtandao. Kutokana na mlipuko wa ugonjwa wa CoronaVirus, wageni wachache wamealikwa kushiriki hafla itakayofanyika Ikulu jijini...
  13. Barbarosa

    Ukitaka kujua corona ni fake, "false flag” angalia maandamano Marekani, no social distancing!

    Miji kibao USA sasa hivi imefurika watu maandamano, vipi kuhusu Corona na social distancing tuliokuwa tunaambiwa?
  14. Salim A. Msangi

    Corona Virus; New 9/11 (Global Respond)Prt 2

    Kuna kile kilichoitwa ‘Event 201’, Bill Gates kama kawaida alikuwepo kama mdhamini, mara hii akishirikiana na World Economic Forum, ‘event’ hiyo ilijikita kwenye kuzungumzia uwezekano wa kuibuka baa la maradhi ya kuambukiza litakalo weza kuuwa watu kwa idadi kubwa na kwa muda mfupi. Mpaka jina...
  15. Salim A. Msangi

    Corona Virus; New 9/11 (Kumekucha)Prt 1

    TANBIHI: MADA HII SI KWA WATU WOTE. MAHUSUSI KWA WALE WENYE FIKRA PANA, WENYE UWEZO WA KUPOKEA MAWAZO KIZANI NA ELIMU NA IMANI YAO NA KUYACHANGANUA NA KUJENGA HOJA, DHANA SAWA AU TOFAUTI BILA KUKWAZIKA AU KUMKWAZA YOYOTE. KWA NAMNA YOYOTE IKIWA UNAFAHAMU UWEZO WAKO WA KUCHANGANUA NA KUTOFAUTISHA...
  16. al-baajun

    Media ndio zimeisusa corona?

    Ukiachana na media za tanzania,hata media za nje ya nchi pia habari kuhusu corona zimepotezewa na sio dili tena?je corona imeisha?
  17. Trubarg

    Kisingizio cha CORONA: Mume alazwa na Jeneza lenye mwili wa mke wake nje ya kituo cha Polisi

    Katika Hali ya kustaajabisha, Polisi wa Kenya wamemlazimisha mtu anayesadikiwa kuwa na mume wa marehemu kulala nje ya kituo cha polisi na mwili wa Mke wake ukiwa kwenye jeneza. Tukio Hilo lilitokea baada ya Polisi kuzuia msafara wa mazishi uliokuwa unatokea Malindi. Mwanaume Huyo anasema '...
  18. Cannabis

    Burundi: Mawaziri saba wakutwa na Virusi vya Corona

    Mawaziri saba na mshauri wa Rais wamethibitika kupata maambukizi ya Virusi vya Corona vinayosababisha ugonjwa wa homa kali ya mapafu wa COVID-19. Inasemekana mawaziri hao watasafirishwa ili kupata matibabu nchini Kenya. --- 7 Cabinet Ministers in Burundi and a presidential advisor have tested...
  19. LIKUD

    Rapper 50 cent ataja tiba ya Corona

    Mwanamuziki Curtis James Jackson III alias 50 cent ametaja dawa ya Corona. Kupitia ukurasa wake wa Instagram 50 ameandika: " This shit is just sad , yes I guess we know the cure for Corona virus was racism every body back outside mad as mother fucker." Kauli hii ameitoa aki refer hatua ya...
  20. MK254

    Uganda wanaendelea kuwataja madereva wa Tanzania walioathirika Corona, hivi mbona hao hamuwapigii makelele?

    Museveni ni mkaidi balaa, huwa hana muda na ujinga au utoto, hata mkilia lia vipi bado anaendelea kuwaumbua waficha maradhi. Kwake anataja kabisa idadi ya madereva wa kutokea mataifa jirani ambao wana maambukizi ya corona, anawasema Watanzania bila kumumunya maneno, watajijua wenyewe kwao huko...
Back
Top Bottom