Brazil yaondoa takwimu za jumla za Corona kwenye tovuti ya Serikali, itakuwa inatoa takwimu za siku pekee

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
1,945
2,000
Brazil imeondoa takwimu za COVID19 kwenye tovuti ya Serikali. Wizara ya Afya imesema kuanzia sasa itakuwa inatoa takwimu za saa 24 na idadi ya jumla itaacha kutolewa

Uamuzi wa kuondoa takwimu za jumla umepingwa vikali na wanahabari pamoja na Wabunge nchini humo

Rais Jair Bolsonaro amesema takwimu za jumla hazioneshi picha halisi ya nchi hiyo, na kwamba hatua zinachukuliwa kuboresha utoaji wa ripoti hizo

Kwa mujibu wa Shirika la Afya (WHO) Brazil ina jumla ya visa 676,494, vifo 36,044 na waliopona ni 302,084

===

Brazil has removed months of data on Covid-19 from a government website amid criticism of President Jair Bolsonaro's handling of the outbreak.

Brazil has removed months of data on Covid-19 from a government website amid criticism of President Jair Bolsonaro's handling of the outbreak.

The health ministry said it would now only be reporting cases and deaths in the past 24 hours, no longer giving a total figure as most countries do.

Mr Bolsonaro said the cumulative data did not reflect the current picture.

Brazil has the world's second-highest number of cases, and has recently had more new deaths than any other nation.

The Latin American country has more than 640,000 confirmed infections, but the number is believed to be much higher because of insufficient testing. More than 35,000 people have died, the third-highest toll in the world.

The far-right leader has been criticised for rejecting lockdown measures recommended by the World Health Organization (WHO) and, on Friday, threatened to pull out of the body, accusing it of being a "partisan political organisation".

The president has repeatedly joined supporters in protests in recent months, ignoring social-distancing advice.

What did Brazil's authorities say?
On Saturday, the health ministry removed from its official website the Covid-19 data it had been documenting over time and by state and municipality.

Instead, the ministry only stated that there were 27,075 new cases and 904 deaths in the past 24 hours. It also said that 10,209 patients had recovered.

On Twitter, Mr Bolsonaro said "the cumulative data... does not reflect the moment the country is in" but did not explain why the information had to be removed or could not be released. He said additional measures were being taken to "improve the reporting of cases".

The decision has been widely criticised by journalists and members of Congress. The removal of the data happened after Brazil reported more than 1,000 deaths for four consecutive days.

BBC
 

mulwanaka

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
3,980
2,000
Rais wa Brazil ni mzalendo inatakiwa marais wengine wajiuzulu abakie uyu wa Brazil na magufuli ili kuleta maendeleo duniani
Hilo linaweza kufanikiwa kwenye nchi kama Tz ambayo inatawaliwa na mtu moja hamna Uhuru wa habari....ila sio Brazil atashindwa vibaya sana
 

Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Aug 8, 2015
14,850
2,000
Ngoja wapinzani wanaoamini kutoa takwimu Ni tiba waje!!
Bora Brazil wanaotoa takwimu za siku kuliko nchi fulani ya ulimwengu wa tatu inayoongozwa na dikteta uchwara ambayo inaogopa kutoa hata takwimu za kila wiki.
 

THE NOMA

Member
Dec 30, 2019
20
45
Bora Brazil wanaotoa takwimu za siku kuliko nchi fulani ya ulimwengu wa tatu inayoongozwa na dikteta uchwara ambayo inaogopa kutoa hata takwimu za kila wiki.
Hoja zimeisha imebaki chuki na jaziba zidi ya raisi wetu mpedwa alie liokoa taifa letu tukufu la Tanzania dhidi ya mauwaji ya alaiki yanayo jegwa ktk hofu huku kirusi dhaifu cha korona kiki twishwa lawama kwa kasumba za kimagharibi ili kuongeza kiwango cha utegemezi kwa mataifa yanayo endelea
 

Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Aug 8, 2015
14,850
2,000
hoja zimeisha imebaki chuki na jaziba zidi ya raisi wetu mpedwa alie liokoa taifa letu tukufu la Tanzania dhidi ya mauwaji ya alaiki yanayo jegwa ktk hofu huku kirusi dhaifu cha korona kiki twishwa lawama kwa kasumba za kimagharibi ili kuongeza kiwango cha utegemezi kwa mataifa yanayo endelea
Mbona unataka kuchafua nchi yangu? ni wapi nimetaja Tanzania?
 

Pohamba

JF-Expert Member
Jun 2, 2015
22,702
2,000
Rais Magufuli ni Rais bora sana

Na Kikubwa zaid tangu ahame Ikulu ya Dar es salaam amekuwa bora zaid

Ikulu ya Dar ipigwe Nyungu siku 7 mfululizo ibaki safi kama ya Chato na Dodoma
 

ZAK ZAK

Senior Member
Mar 2, 2018
145
225
Rais wa brazil ni mjamaa na si Mzalendo. Acha kuwadanganya watu,neno uzalendo hujui maana yake.mfano Xi wa china(mjamaa) na Trumpo(mzalendo)
 

Omusolopogasi

JF-Expert Member
Aug 31, 2017
3,138
2,000
Wala hakuna shida. Kama uko naye hapo karibu, mwambie kwamba sisi tutaanzia walipoishia kuhesabu kwa kuongeza takwimu za kila siku watakazokuwa wanatoa.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom