Kipanya: Corona pamoja na kuwa tulimuaga na kumfanyia hitma lakini bado tunae

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,595
215,272
1591590737663.png
 
Uzuri wa Kipanya picha anakupa tafsiri utatoa mwenyewe
 
Aisee corona alibugi sana kuja bongo,wabongo tuna dharau...yaani tulivyomdharau huyu covid atakwenda kusimulia kwao chima
 
Alikuja kwa ndege anarudi kwa daladala kweli!!?? Huyo haendi mbali anaenda ghetto kwa mshkaji kuskilizia...ila na ayo mabegi sijui kama kuna daladala itampakia
 
Back
Top Bottom