Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 39,793
- 71,206
Rais wa Madagascar Andry Rajoelina amethibitisha kuwa Seneta mmoja na msaidizi wa seneti nchini Madagascar wamefariki dunia leo kutokana na Ugonjwa wa Covid19.
Rajoelina ameongeza kuwa maseneta wengine 14 na wasaidizi 11 nchini humo wanaugua ugonjwa huo. Mpaka sasa watu 5,080 wameugua virusi vya Corona nchini humo, na watu 37 wamefariki dunia. Kuanzia jana hadi leo watu 213 wamekimbizwa hospitali wakiwa mahututi.
Wiki iliyopita serikali nchini humo iliweka tena zuio la kutoka nje (lockdown) kwa wananchi wanaoishi maeneo yanayozunguka mji mkuu wa Antananarivo, kwa lengo la kudhibiti kusambaa kwa maambukizi ya Virusi vya Corona.
My Take;
Vipi ile "sample" tuliyoambiwa inachunguzwa na majibu tutapewa ndani ya wiki mbili? Je wiki mbili hazijaisha au ilimwagwa kimyakimya? Na vp mafuta ya bombadier zetu zilizotumika kwenda kufuata togwa la Madagascar? Wataturudishia? Ma je wale waliosema ile togwa sio dawa wakaitwa mawakala wa mabeberu, je wataombwa radhi? Na vp wale waliokunywa ile dawa kwa tashwishwi, watapewa dawa ya kusafisha tumbo au ndo basi tena?
-----
ANTANANARIVO (Reuters) - Two lawmakers in Madagascar have died of COVID-19 and at least 25 members of parliament and of the senate have been infected with the virus since the first case was confirmed on the island in March, President Andry Rajoelina said late on Sunday.
Madagascar has had 5,080 confirmed novel coronavirus cases since then, and 37 deaths, according the government data.
A countrywide state of health emergency has been in place since March and the authorities re-imposed a lockdown in the capital and surrounding areas last week to contain the virus’s spread.
“One deputy died. A senator died. After the tests carried out on the deputies, 11 members of parliament were detected carrying the coronavirus. At the Senate, 14 people, senators and agents of Senate carry the coronavirus,” Rajoelina said during an appearance on a talk show on national television late on Sunday.
He did not say when the lawmakers died, and did not name them.
Rajoelina also said that he and his family had been taking “Covid Organics”, Madagascar’s self-proclaimed, plant-based “cure” for COVID-19 that was launched in April, despite warnings from the World Health Organisation that its efficacy is unproven.
“It is true that I have been in contact with people likely to carry the coronavirus. I have even entered hospitals that care for patients with Covid-19. I’m fine,” he said.
“I don’t carry coronavirus at all. I have no symptoms. Thank God. I follow the directives that I have given myself. But above all, me and my loved ones, my wife and my children, we drink and we follow a treatment based on the Covid Organics concoction.”