TUNAOMBA MCHANGO WA MAWAZO YAKO: Serikali itumie mbinu gani ili kufidia muda wa likizo ya Corona na wanafunzi waweze kumaliza mitaala yao kwa wakati??

Infantry Soldier

JF-Expert Member
Feb 18, 2012
15,893
16,317
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Eti ndugu zangu watanzania;

Serikali itumie mbinu gani ili kufidia muda wa likizo ya Corona na wanafunzi waweze kumaliza mitaala yao kwa wakati?

Ninajua fika ya kwamba Serikali na wizara ya elimu ina wataalam wa kutosha katika kung'amua hili lakini sio mbaya kama tutapata pia maoni ya wazalendo wanaoipenda sana nchi yao.

OUR MOTTO: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.

Ninauza Vitabu Vya Kujifunzia Lugha Ya Kijerumani. Ich komme aus der Stadt Dar Es Salaam und verkaufe diese Deutsch-Lernbücher
 
Busara ziachwe kwa walimu wakuu na wataaluma na wazazi wa hizo shule, wao ndiyo wanajua nini wafanye..

Kila shule ina solution yake, ambayo inafanya kazi vizuri katika individual shule..

Everyday is Saturday.......................... :cool:
 
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa Jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Eti ndugu zangu watanzania;

Serikali itumie mbinu gani ili kufidia muda wa likizo ya Corona na wanafunzi waweze kumaliza mitaala yao kwa wakati?

Ninajua fika ya kwamba serikali na wizara ya elimu ina wataalam wa kutosha katika kung'amua hili lakini sio mbaya kama tutapata pia maoni ya wazalendo wanaoipenda sana nchi yao.

OUR MOTO: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Muda ambao mtoto anatakiwa kukaa darasani kwa mwaka mzima ni siku 195.
Baada ya korona , kwenye ratiba mpya zimepungua siku 10, na kufanya kwa jumla mwaka huu wa masomo uwe na siku 185.

Hence issue yako imeshatatuliwa.
 
Busara ziachwe kwa walimu wakuu na wataaluma na wazazi wa hizo shule, wao ndiyo wanajua nini wafanye..

Kila shule ina solution yake, ambayo inafanya kazi vizuri katika individual shule..

Everyday is Saturday.......................... :cool:
Thanks
 
Serikali ni nani? Serikali ni sisi wenyewe! Siyo kila kitu serikali,
Kumbuka Maisha ni Uchaguzi. Hivyo kila mzazi anajua namna yakumsaidia mtoto.
Lakini pia kuna baadhi ya wazazi watoto wao waliendelea kupata masomo kipindi chote cha corona.

Kwahiyo mtoto kama zimo zimo tu.
We subili matokeo uone matoto yatakavyo pasua.
 
Jambo muhimu la afya linaloweza kusaidia shule zetu nikuajili waalimu wenye GPA nzuli kufundisha watoto.

Kubadili mfumo wa ufundishaji kutoka anarogy na kwenda kwenye digital (kama bunge waliweza nadhani hata shule zitaweza)

Walimu wote wenye shahada zenye GPA ya kusua sua waludishwe s/msingi.
Na wale wenye ngazi ya cheti waludishwe kufundisha chekechea au wajiendeleze.

Tume ya sayansi na technology coctech wasaidie na kufadhiri vijana na vyuo vya wabunifu kama DIT , vetta na wabunifu wakujitegeme ili kubuni mifumo ya kufundisha watoto wakiwa hata majumbani.

Ubunifu huu ukifanikiwa serikali itaokoa fedha nyingi na italahisisha gharama za maisha kwa watanzania maana mwl. Mmoja atakuwa na uwezo wakufundisha watoto wengi kwa wakati mmoja.

Kwa watoto wenye hakili naamini miezi hii miwili haitaweza kuathiri chochote.

Huu ufundishaji wa kufuata Topic ulishabaki nchi zetu hizi lakini nchi za bara la asia na africa magharibi hazina mfumo huo tena.
 
Mbona tulisha shauri kwenye uzi uliopita?
Screenshot_20200703-223253.png
 
Muda ambao mtoto anatakiwa kukaa darasani kwa mwaka mzima ni siku 195.
Baada ya korona , kwenye ratiba mpya zimepungua siku 10, na kufanya kwa jumla mwaka huu wa masomo uwe na siku 185.

Hence issue yako imeshatatuliwa.
Sina cha kuongeza wala kupunguza
 
Jambo muhimu la afya linaloweza kusaidia shule zetu nikuajili waalimu wenye GPA nzuli kufundisha watoto.

Kubadili mfumo wa ufundishaji kutoka anarogy na kwenda kwenye digital (kama bunge waliweza nadhani hata shule zitaweza)

Walimu wote wenye shahada zenye GPA ya kusua sua waludishwe s/msingi.
Na wale wenye ngazi ya cheti waludishwe kufundisha chekechea au wajiendeleze.

Tume ya sayansi na technology coctech wasaidie na kufadhiri vijana na vyuo vya wabunifu kama DIT , vetta na wabunifu wakujitegeme ili kubuni mifumo ya kufundisha watoto wakiwa hata majumbani.

Ubunifu huu ukifanikiwa serikali itaokoa fedha nyingi na italahisisha gharama za maisha kwa watanzania maana mwl. Mmoja atakuwa na uwezo wakufundisha watoto wengi kwa wakati mmoja.

Kwa watoto wenye hakili naamini miezi hii miwili haitaweza kuathiri chochote.

Huu ufundishaji wa kufuata Topic ulishabaki nchi zetu hizi lakini nchi za bara la asia na africa magharibi hazina mfumo huo tena.
GPA ya kusuasua inaanzia ngapi ?
 
Asia na west africa wana mfumo upi ?
 
GPA nzuri ya mwalimu inauhusiano gani na mwalimu kumfundisha mtoto akaelewa akapata maarifa yatakayoongeza kitu na kubadilisha maisha ya huyo mwanafunz na jamii yake na huyo mwanafunzi kufaulu mitihani mbalimbali itakayomkabili.

Swali jingine. Mwalimu wa GPA ya kusua sua ndo yupi huyooo.

Nanusa utopolo hapa kutoka sua na duce kwamba wai ndo graduates wazuri kuliko vyuo vingine. Nipo nao kazin hata hawawez andika sentensi ya kiingereza ya kueleweka sio kuandika hata research proposal afu wanajiona wao ndo walioiva wengine ndo magalasa
 
Back
Top Bottom