Malawi: Kiapo cha Rais kuhudhuriwa na watu 100 kutokana na Corona kuongezeka kwa kasi

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,000
9,862
Rais Mteule wa Malawi, Lazarus Chakwera angeweza kuahirisha sherehe za kuapishwa kutokana na kuongezeka kwa maambukizi ya COVID-19

Awali Rais Chakwera alipanga kuapa katika uwanja wa mpira uliopo Lilongwe ambao ungehudhuriwa na watu 40,000

Badala yake ataapa katika Ofisi za Jeshi na sherehe zitahudhuriwa na watu 100. Hadi sasa Malawi imeripoti maambukizi 1,742 wakiwa na vifo 19

==

Malawi’s incoming president called off plans to hold an inauguration ceremony as the number of coronavirus cases in the country surges.

Lazarus Chakwera, the surprise winner of last month’s court-ordered election rerun, had planned to be sworn-in at a 40,000-seat soccer stadium in the capital, Lilongwe, on Monday. Instead, he’ll take the oath of office at an army barracks with 100 people in attendance, he said.

Malawi reported 1,613 confirmed cases of Covid-19 on Sunday, up 7.7% from the day before.
 
Tanzania wataenda Kikwete na Samui Suluhu?!
Maana ndio wawakilishi wetu nje miaja hii, niliwaona Burundi juzi kwenye msiba wa Nkurunzinza.
 
Back
Top Bottom