Kuhamasisha watu wavae Barakoa kujikinga na Corona wakati wewe huvai si sahihi

kasenene

JF-Expert Member
Jun 6, 2008
1,632
2,413
Dalili mojawapo ya binadamu mpumbavu ni pale anapokuwa anafanya matendo kinyume na uhalisia wake akiwa na hofu dhidi ya mtu mwingine au kujipendekeza kwa Mtawala wake. Nimetumia neno mpumbavu na sio mjinga kwani mjinga ni yule mtu asiye na uelewa juu ya jambo fulani lakini akieleweshwa ujirekebisha ila mpumbavu yeye upuuzia bila kujali matokeo..

EcoV-5QXoAUJeOr.jpg

DSC_0523_12.jpg

DSC8600-scaled.jpg
 
Barakoa sio kinga pekee. Uvaaji wa barakoa sio mandatory kwa watu wote na kila mahali.
 
Barakoa sio kinga pekee
Upumbavu ni pale unapovaa barakoa mda wote ukiwa peke yako kwa mfano umesafiri kutoka Dar mpaka Dodoma mda woote umeivaa na kisha kuivua tu pindi unapoingia kwenye mkutano wa maelfu ya watu eti kisa mtu fulani asichukie. Hii ni akili kweli?
 
Marais wote waliopita na wa sasa wafupi fupi sana isipokuwa JK,
 
Watanzania tunapenda taarifa mbaya, tukiambiwa Corona hakuna bado tunabisha
 
Dalili mojawapo ya binadamu mpumbavu ni pale anapokuwa anafanya matendo kinyume na uhalisia wake akiwa na hofu dhidi ya mtu mwingine au kujipendekeza kwa Mtawala wake. Nimetumia neno mpumbavu na sio mjinga kwani mjinga ni yule mtu asiye na uelewa juu ya jambo fulani lakini akieleweshwa ujirekebisha ila mpumbavu yeye upuuzia bila kujali matokeo..

View attachment 1504227

View attachment 1504208

View attachment 1504210

Baada ya mikutano hii ya CCM Dodoma sasa tusuburi mlipuko mkubwa wa kusambaa gonjwa la coronavirus nchi nzima. Mungu tu kwa huruma yake atunusuru.
 
Dalili mojawapo ya binadamu mpumbavu ni pale anapokuwa anafanya matendo kinyume na uhalisia wake akiwa na hofu dhidi ya mtu mwingine au kujipendekeza kwa Mtawala wake. Nimetumia neno mpumbavu na sio mjinga kwani mjinga ni yule mtu asiye na uelewa juu ya jambo fulani lakini akieleweshwa ujirekebisha ila mpumbavu yeye upuuzia bila kujali matokeo..

View attachment 1504227

View attachment 1504208

View attachment 1504210

Kwa uzwazwa huu sishangai kumpigia mtu kura zote asilimia 100. Ni hofu za kipumbavu kabisa. Kwa hofu hizi utavaaje barakoa wakati unayemuhofia yupo mbele yako na anakutazama!!! Nawe kushiba kwa tumbo lako kunahitaji amri na matakwa yake!!
 
Back
Top Bottom