Hili ni Somo kubwa nililojifunza kuhusu Corona. Litatusaidia kwa magonjwa mengine pia

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,468
23,744
Corona ni pepo/jini tu linataka kutambulika na kuabudiwa. Linapenda sifa. Ukilidharau lina mind sana na kuona halina tena nafasi liliyotaka.

Kipindi kile Corona tumeanza kuiabudu na kuiogopa ilitaka kuanza kutikisa.kumbe dawa yake ni ndogo sana ...kuidharau tu na kuendelea na maisha mengine.

Yaani unaikuta sehemu Corona /Covid 19 unapita kama hujaiona. Hata salamu hamna kutoa. Tena ukiikuta imekaa sijui na malaria au hiv/aids salimia hao wengine yenyewe iruke kama hujaiona.

Happ Corona haikai. Inapenda sana kuheshimiwa na kuabudiwa. Ukii ignore tu inakosa nguvu.hata ku deal nayo huhitaji kutumia nguvu.ukisikia mtu ana Corona unaweza mwambia tu "acha ujinga wewe nenda kaote jua nje kwa dk 10" halafu endelea na maisha yako. Hapo Corona inaona umeidharau...inaondoka.

Mimi jamaa namfaham alipimwa ana corona nikamwambia apige push ups 50 mara tatu kwa siku kwa siku 3. Akapona safi kabisa.akiwa anakunywa na maji ya kutosha kila wakati.

Kuimaliza nguvu Corona ni pale tuliacha hata kutoa takwimu.hapo ikaona inakosa kick.halafu vyombo vya hbr navyo kuisusia hbr zake. Halafu tukaacha na hbr za kupimana....ikaona ikaweke kambi Kenya na South Africa.

Sasa napendekeza na magonjwa mengine nayo tuyalie ndumu...i meant tuyalie jiwe.hakuna kupima hakuna kutoa takwimu. Kama hayapo vile.mwisho yatagwaya yatajiondokea yenyewe kwa aibu.
 
The lesson is about to hide information , but most of people they continued to suffer against Cov19.
 
Jaribu kwa Malaria kwanza halafu utupe mrejesho,yaani pima halafu ukikutwa na wadudu anza kupiga push ups zako hamsini kila siku kwa siku tatu,ila nakushauri uweke na mtu wa kukufuatilia ili incase ikitokea umeenda jumla atupe mrejesho pia...
 
Sarcasm. Kwamba labda watu wanakufa kwa Corona ila serikali imepiga kimya. Hats sasa watu wanakufa kwa ngoma kimya kimya. Unawezakaa miaka 5 usisikie ndugu yako amekufa kwa malaria ila haina maana kuwa haipo
 
Back
Top Bottom