Jaji Mkuu hatakutana na mawakili wapya kuwaapisha. Je, haamini taarifa za Serikali kuhusu Corona?

chiembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
11,996
20,644
Jambo hili limeleta mshangao mkubwa kwa wananchi, viongozi wa serikali na Bunge, je Jaji Mkuu anaamini corona imesambaa sana Dar es salaam hivyo kaamua kuzuia mawakili wa mikoani wasije Dar es salaam?

Je, Jaji Mkuu haamini taarifa za Rais kwamba hakuna corona? Kama haamini,katumia vyanzo gani vya kitabibu?

Je, ameshindwa kuapisha mawakili wa Dar tu kama kiwakilishi akakaa nao na kutoa hotuba?

Kashindwa kukodi ukumbi wa kuapishia mawakili 500?

Hamuamini Rais aliposema corona imeisha?

Alishindwa kuwaambia mawakili watarajiwa watumie tahadhari za wizara ya afya?

Kama wanafunzi wa nursery mpaka chuo kikuu wamerudi mashuleni, Jaji Mkuu anapata taarifa ipi ya kiintelejensia kuzuia yeye kukutana na mawakili wapya kisa corona?

Wasalaam
#matege
 
Mleta maada heshimu mgawanyo wa mihimili wakili gani koko wewe? hujui mihimili mitatu iko independent yaani serikali,bunge na mahakama? hujui hilo?

Kama ulipitishwa kuwa wakili uko kwenye hilo kundi aliyekupitisha kakosea sana
Jaji mkuu hana madaktari wa kumpa hali ya corona ila JPM ana access ya taarifa za hali ya kiafya nchini

Pale mlimani udsm darasa lina wanafunzi 300, Jaji Mkuu anashindwa kukaa na mawakili 500 akawaapisha?
 
Teh teh teh eti Mihimili mitatu inayojitegemea,punguza kusifia na kumwabudu yesu Jiwe. Mara moja moja jaribu kutumia akili yako ya kuzaliwa na usomi wako acha kuendekeza njaa.
 
Nilianza kuona shida baada ya kifo cha jaji Augustino kwanza walivaa mabarakoa mpaka kwenye MiC Judge kuna kitu anaamini ambacho naona sio sahihi mana taarifa za afya anazo Rais na Waziri mwenye dhamana ivo Rais ni final say
 
Kweli kabisa, Jaji Mkuu anarudisha hofu kwa wananchi,hofu ambayo Mh. Rais JPM alishaiondoa kwa mafanikio makubwa
 
Spika Ndugai kampitishia bajeti ya mahakama akiwa hajavaa barakoa akiwa kazungukwa na wabunge na mawaziri na watumishi wengine karibu 700
 
Mleta maada heshimu mgawanyo wa mihimili wakili gani koko wewe? hujui mihimili mitatu iko independent yaani serikali,bunge na mahakama? hujui hilo?

Kama ulipitishwa kuwa wakili uko kwenye hilo kundi aliyekupitisha kakosea sana
Hiyo mihimili 3 inayojitgemea Ni ya nchi gan we papasi??

Bongo ambapo Jiwe ana makucha kila mahali?

Bongo ambapo Jiwe analisimamia bunge, anaisimamia mahakama?

Mnafeli, muda wenu wa kuwafanya watumwa wabongo umeisha, mhame nchi kabisa, hatutawavumilia
 
Mleta maada heshimu mgawanyo wa mihimili wakili gani koko wewe? hujui mihimili mitatu iko independent yaani serikali,bunge na mahakama? hujui hilo?

Kama ulipitishwa kuwa wakili uko kwenye hilo kundi aliyekupitisha kakosea sana
Mwakili koko hawa kwani jaji mkuu kawaambia hakuapisha kwa kuwa kuna korona .acha upuuzi
 
Jaji mkuu hana madaktari wa kumpa hali ya corona ila JPM ana access ya taarifa za hali ya kiafya nchini

Pale mlimani udsm darasa lina wanafunzi 300, Jaji Mkuu anashindwa kukaa na mawakili 500 akawaapisha?
Chinembe ni tusi kubwa sana hupaswi kutukanwa tena
 
Anapewa na serkali sasa huyu anazosema kazitoa wapi na wapi jaji kasema kuna korona

Ukiwa upinzani na akili inakufa
Nani kafa? Kuna mtu kwenye statistics za vifo na chanzo kuliko Rais na wizara ya afya? Jaji mkuu anatoa wapi statistics ?
 
Back
Top Bottom